Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la...
Nitafurahi sana nikipata audio Clip ambayo itazidi dk 5 Rais wetu Mpendwa akichana mistari kwa kiingereza katika mahojiano au maelezo flani sehemu yoyote. Iwe imenyooka haijaungwa ungwa.
Nitafurahi sana. Tuachane na haya madai ya watu kuwa yeye huwa mara nyingi anasoma tu. Tunataka kuwaonesha...
New Professional Microphone
For recording
Podcasts
YouTube videos
Video call & video conferencing
Etc.
Delivery : from Dar es salaam to all regions
Offer: 99,000/-
Call: + 255 658 700 510
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu leo, January 7, 2022 saa 4:00 asubuhi, saa za Afrika ya mashariki, amezungumza na waandishi wa habari.
Chanzo: Chadema Media
https://www.youtube.com/watch?v=WgIY7Q7w2uM
=====
Jaji Mustapha Siyani katishwa akatishika na kuamua kuisigina haki hadharani mchana kweupe....
Amejitoa kuisikiliza kesi hii kwa maumivu makali katika nafsi yake kwa kuisigina haki mchana kweupe akidhani kwa kuwa yeye ni JAJI, wengine wote ni "wajinga" hatutaona upuuzi wake. Amekosea sana...
Wakuu kaTV kangu ka SingSung inch 24 imevunjika kioo. Nimeogonga kwa bahati mbaya. Nauliza TV ikipasuka kioo inaweza kupiga nyimbo kwa USB/flash ya kawaida. Yaani nina uhakika kila kitu kizima kasoro kioo tu ndio kimevunjika.
Sasa kama inaweza kuplay USB nitumie njia gani maana kioo hakisomi...
Microphone for live streaming, video / Audio conferencing, podcasting, etc
New condenser microphone
Noise/ echo cancellation
YouTube, Skype, zoom meetings, podcast, etc
Just plug & play
OFFER: 99,000 /-
COD: Dar es Salaam/Kibaha but we can ship to all regions.
Call: +255 658 700 510
Muwe na Ijumaa Njema wadau...
Audio Battle.
......Tukutane hapa kidogo...
Hizi ni ngoma ambazo zilifanya vizuri saana,saana...Miaka kadhaa iliyopita..
Ukiambiwa uchague moja unadhani ipi ilikuwa kali zaidi kwa upande wako..
Mgwair ft Dark Master__She Got Ngwan.
Vs
T.I.D ft Jay...
Toyota IST ncp61. Huo mlio wa kugonga gonga kwenye engine unasikika baada ya engine kupata joto (warm up). Yaani unapowasha gari hausikiki, ila baada ya muda fulani engine ikiwa imewaka au ukiendesha halafu ukapark at idle ndipo huo mlio unasikika. Gari ikiwa kwenye mwendo hausikiki. Nikisimama...
Habari wanajamii forums wenzangu hususani wa jukwaa hili la technologia!!
Shida niloyonayo ni kushindwa kupata drivers za laptop aina ya Dell vostro 14 3000. Nimejaribu kuangalia ktk driver pack solutions sijaweza kufanikiwa na pia dell drivers online support nazo sijaweza kufanikiwa...
Siku 100 za Rais Mama Samia Suluhu nimeziadhimisha kwakufanya uchambuzi kwa mahojiano ya Radio, Kuhusu Hali ya Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, na kuhusu vuguvugu la Katiba Mpya.
Sikiliza mwanzo hadi mwisho!
Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
Naombeni msaada ndugu zangu,natumia samsung s6 edge plus,tatizo nililo nalo ni wakati wa kirekodi video huwa natamani audio iwe ina play lakini matokeo yake nikiplay audio Nikigusa video record Ile audio ina acha kuendelea kuimba.
Hii inanifanya nashndwa kucheza huku nikijirekodi,nataka...
Wataalaamu wa magari,
Sikiliza audio ya silencer kama nilivyoirekodi kwenye engine ya Toyota IST. Kuna mlio wa 'kugonga' hivi kwenye engine.
Asubuhi napowasha gari hamna shida, silencer inakuwa normal and smooth. Lakini jioni au usiku naposimama na kuweka 'P', silencer inakuwa inasikika hivyo...
Eti huu wimbo, unaweza kuwa umerekodiwa wakati wa kuteneneza video? Yani hii video na audi vimefanyika wakati mmoja, vyombo vikipigwa live kama inavyoonekana. Au ni kwamba wamerekodi video wakaimba ila audio ikawa replaced na audio waliosharekodi kwenye studio.
Napenda huyo mpiga drum...
Available in all digital platforms isikilize halafu leta maoni yako hapa
Personally nimependa sana ubunifu wa Diamond platnumz kutumia current situation pale anasema
"Tena wasipoteze muda kwa kura zao za kata,mi ndo kamati kuu hapa jimbo umepata."
All in all nyimbo ni nzuri