ateuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Kanali Simbakalia ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ranchi za Taifa (NARCO)

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kanali Mstaafu, Joseph Leon Simbakalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Simbakalia ni Mhandisi wa Jeshi Mstaafu kutoka Kikosi cha Wahandisi wa Umeme na Mitambo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Amewahi kushika nyadhifa...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bahati Ndingo Ateuliwa Kugombea Ubunge Mbarali

    Mbunge Bahati Ndingo Ateuliwa Kugombea Ubunge Mbarali Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua, Bahati Ndingo kuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mdogo jimbo la Mbarali mkoani Mbeya. CCM imetangaza mgombea wa kukiwakilisha chama hicho katika uchaguzi mdogo wa...
  3. ndiuka

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

    Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa Mhashamu Protase Rugambwa sasa Mhadhama. Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora. Hongera sana Mhashamu Rugambwa...
  4. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara. --- PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Ghaamid Abdulbasat, ateuliwa na Umoja wa Mataifa katika Kamati ya Ushauri IAC

    Umoja wa mataifa umemteua Ghaamid Abdulbasat kuwa mwanachama wa Kamati ya Ushauri (IAC) kwa niaba ya vijana Afrika na duniani kutekeleza itifaki ya Nagoya ya mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Bioanuwai/Mazingira. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari, uteuzi wake unalenga...
  6. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Mwijaku ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Machawa wa Rais Samia kwa Mkoa wa Dar es Salaam

    Mwijaku ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Chawa wa Mama Mkoa wa Dar es Salaam. Mtanzania maarufu wa Kituo Cha Redio kongwe nchini Clouds FM Mwemba Burton almaarufu kama Mwijaku ametangazwa kuwa Mwenyekiti wa Chawa wa Mama Mkoa wa Dar Es Salaam. Katibu wa Chawa wa Mama Taifa Neema Karume amesema...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo: 1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, nchini Malawi. 2. Amemteua...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ally Mayay ateuliwa kuwa Mwakilishi katika Bodi ya Ushauri wa Michezo wa Jumuiya ya Madola

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. #PindiChana amemteua Ally Mayay Tembele kuwa mwakilishi wa Tanzania Katika Bodi ya Ushauri wa Michezo ya Jumuiya ya Madola (CABOS) kwa miaka 3. Ally Mayay ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini, ataiwakilisha #Tanzania katika Bodi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia atengua uteuzi wa Jane Nyamsenda Ukuu wa Wilaya Sumbawanga na kumteua Sixtus Mapunda

    UTEUZI: SIXTUS MAPUNDA ATEULIWA UKUU WA WILAYA SUMBAWANGA === TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Sixtus Mapunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga. Bw. Mapunda anachukua nafasi ya Bi. Jane Nyamsenda ambaye uteuzi wake...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad apata Uteuzi CCM

    Kaimu Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya na Malezi ya Jumuiya ya Wazazi CCM mkoa wa Dar es Salaam. Source: Jambo TV Mlale unono! === Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Alhad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Lucia Pande ateuliwa kuwa Katibu Mkuu Mtendaji Red Cross Tanzania

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) chini ya Mwenyekiti wake David Kihenzile, imemteua Lucia Pande kuwa Katibu Mtendaji wa shirika hilo. Awali, Lucia alikua Makamu wa Rais wa shirika hilo. Taarifa iliyotolewa ya Januari 8, 2023 inasema kuwa uteuzi wa...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Elizabeth M. Mrema ateuliwa kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Mazingira - UN

    Katibu Mkuu wa UN, #AntónioGuterres amemteua Elizabeth Maruma Mrema kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Mpango wa #UmojawaMataifa wa Mazingira (UNEP). Mrema anachukua nafasi ya Mtanzania mwingine, #JoyceMsuya aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Msaidizi wa Masuala ya Binadamu na Naibu Mratibu wa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ateuliwa kuwa mgombea wa Uenyekiti wa CCM

    Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imempitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mgombea pekee wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa mwaka 2022 hadi 2027 na jina lake litapelekwa kwenye Mkutano Mkuu December 07 kwa ajili ya kupigiwa kura. Katika mkutano huo pia...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwinyi Zahera ateuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania

    Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC Mwinyi Zahera ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa mkataba wa miezi 6 mpaka mwisho wa msimu. Hivi sasa Mwinyi Zahera anatambuliswa kwa wachezaji wa Maafande hao wa Polisi Tanzania.
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kolo Toure raia wa Ivory Coast ateuliwa kuwa kocha Wigan Athletic

    Wigan Athletic wamemteua beki wa zamani wa Ivory Caost, Arsenal na Manchester City, Kolo Toure kuwa meneja wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu na nusu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 41 anachukua nafasi ya Leam Richardson baada ya kutimuliwa na klabu hiyo ya Championship mapema mwezi huu...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Malaysia: Mpinzani ateuliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya Serikali kupoteza viti vingi Bungeni

    Mfalme Sultan Abdullah amelazimika kumteua Kiongozi wa Upinzani Anwar Ibrahim na kuhitimisha siku 5 za mzozo wa Kisiasa uliosababishwa na Kura zenye utata wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu. Uteuzi wa Anwar unatajwa pia kumaliza miaka 30 ya mvutano wa kisiasa kati ya Serikali na Upinzani na kuweka...
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Prof. Tumaini Joseph Nagu ateuliwa Kuwa Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Florens Martin Turuka bosi mpya DART

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Florens Martin Turuka, Katibu Mkuu Mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Amemteua Bi. Beng’i Mazana Issa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa. Bi. Beng'i ni...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Privaldinho Abiud ateuliwa kuwa Digital Manager wa Yanga

    Priva Abiud (Privaldinho) - Ameteuliwa kuwa msimamizi mkuu wa Digitali na Maudhui (Digital Manager) Karibu kwenye familia ya Mabingwa @privaldinho #DaimaMbeleNyumaMwiko
  19. Shark

    JamiiForums Tanzania Barbara Gonzalez na Wallace Karia wateuliwa CAF

    ===== Watanzania wanne wameteuliwa kuwa wajumbe kwenye Kamati mbalimbali za Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameteuliwa kuwa mjumbe kwenye Kamati mbili. Kamati hizo ni ya Maandalizi ya Fainali za Mataifa ya Afrika...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ally Mayay ateuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo

    Ikukupendeza uwe Azam kuichambua Yanga ikipokea kipigo cha Al Hilal,kama sehemu ya kutuaga fans wako. Namaanisha tushiriki wote kuusindikiza mwili wa marehemu mtarajiwa toka Sudan
Back
Top Bottom