asubuhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ''I love you Baby, kissess mwaaah'' ndio maneno nakutana nayo kila asubuhi, wewe je?

    Haya haya sasa, mimi kila nikiamka asubuhi, mume ananiambia morning babes! I love you, na mabusu tele, mwaaaah! Sasa sijui upande wako ukiamka kunakuwaje? Unaamka na stress za kausha damu (Marejesho/madeni)? Kuwa mkweli basi tuambie, ni stress au mabusu? Msiopata mabusu asubuhi nawasalimu kwa...
  2. H

    Watanzania milioni 60 tunaamka asubuhi kila siku tunakula chakula kinachopikwa kwa mkaa na kuni is a Terrible.Ni uharibifu mkubwa wa mazingira

    Weekend ikiwa inaishia nawasalim. Wakati mjadala wa bandari ukiendelea basi tusitingwe sana kiasi cha kusahau mambo mengine muhimu Ukiona unakula umeshiba ujue kuna mti umedondoka uko porini na kufanya idadi kupungua na kufanya nafasi tupu kuonekana ambayo hatutegemei kama itazibwa na mti...
  3. TANZIA Dkt. Elineema Kisanga wa UDSM Idara ya Uchumi afariki Dunia

    Dkt. Elineema Kisanga lecturer wa shule ya Uchumi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amefariki Dunia Leo asubuhi. Taarifa zinasema kuwa mauti yamemfika akiwa mazoezini, Leo asubuhi ambapo alianguka na kufariki hapo hapo. Kwa wale mliosoma undergraduate, masters na Phd UDSM hope mtakuwa mnamkumbuka...
  4. U

    Mliowahi kuamka asubuhi na kukuta hali hii naombeni ushauri!

    Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala! Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni, shingoni, mapajani, kifuani au mgongoni!! Husababishwa na ninini? Maana inawasha balaa! Naombeni majibu muafaka! Nimeweka picha!!
  5. Morning Express ya UFM ni kipindi bora cha asubuhi kwa Tanzania

    Habari zenu jamani, Beberu nawasalimu kwa bashasha kubwa, Kwa vipindi vya Asubuhi ndani ya nchi hii hakuna kipindi bora zaidi ya Morning Express cha UFM. Napendea kipindi hiki vitu vifuatavyo: ✓ Wanatumia kiswahili sanifu sana, Hakuna kiswanglish huku ✓ Wanareport kwa utaratibu, hakuna...
  6. Faida za kunywa maji asubuhi

    Katika mwili wa binadamu, unywaji maji husaidia sio tu kuondoa kiu anayokuwa nayo mtu, bali pia kufanya kazi mbalimbali katika mwili ikiwa ni pamoja na kutuepusha dhidi ya magonjwa mbalimbali. Maji huchukua karibu asilimia 70 ya mwili wa binadamu, na seli za ubongo zina karibu asilimia 85 ya...
  7. Faida ya kukimbia asubuhi na masuala ya kuzingatia

    Watu wengi tumekua tukikimbia barabarani nyakati za asubuhi. Hizi hapa faida na masuala ya kuzingatia: 1. Unapata faida ya jua la asubuhi ambalo wengi tunalikosa tukiwa katika pilika za kawaida. 2. Muhimu kuhakikisha unafanya warm-up ya kutosha kwa sababu asubuhi mwili unakua hauna mijongeo ya...
  8. SoC03 Labda asubuhi ya kesho itakuwa bora

    “Labda kesho nitafanikiwa…Labda ni kwa kua sikusoma...au Labda sina nyota”. Ni msururu wa mawazo unaopita kwenye akili ya kijana Rakimu ila siku asubuhi kabla ya kuamka na kufungua dirisha na kugundua kuwa kila kitu kipo kama alivyokiacha jana. Jiji kubwa na tupu la Dar-es-Salaam linamtazama...
  9. Kuna haja ya kuondoa/kuzuia vipindi vya michezo asubuhi redioni na TV

    Hili kwa ukweli wizara husika (ya habari) ilizingatie. Saa mbili, saa tatu asubuhi unaanza kusikia habari za nani kafungwa nani kahamia club fulani, kocha kafanyaje, n.k. Muda wa asubuhi ni muda wa kupata taarifa muhimu za matukio yanayoendelea duniani kuanzia siasa, uchumi, utamaduni, sheria...
  10. H

    Hivi hii kanuni ya biashara ni kweli mwenye duka hakupi kitu bila hela asubuhi mpaka auze kwanza?

    Habari. Mi mwenzenu sijui nikoje haya maimani ya ajabu ajabu yananipa shida sana huku duniani yaani huwa hata siwazagi haya mambo. Sàsa mimi nina ela yangu msimbazi safi nahitaji kitu kwenye duka chenji hana na mimi kutembea na hela ndogo ndogo siwezi namwambia mwenye duka nasi nipe bidhaa...
  11. Asanteni kwa kusikia kilio chetu cha foleni Mwenge asubuhi. Jioni pia ruhusuni magari kwa usawa pande zote

    Ndugu zangu kwema? Kama kuna jambo zuri limefanyika sio mbaya tukipongeza. Barabara ya Mwenge kama mwezi hivi umepita kulikuwa na tabia ya magari yanayotoka Tegeta kupendelewa zaidi kwa kuruhusiwa kupita barabara zote. Soma: Adha ya foleni katika makutano ya barabara ya Mwenge Pamoja na...
  12. J

    Mkuu wa Wilaya Jokate kesho atakuwa na press conference

    OFISI YA MKUU WA WILAYA KOROGWE PRESS CONFERENCE Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo Kesho Tarehe 25-05-2023 atakuwa na 'PRESS CONFERENCE ' MUDA: Saa 5 Asubuhi. MAHALI: OFISI YA MKUU WA WILAYA
  13. SoC03 Ndoto ya asubuhi ya Watanzania ya kuwa na Tanzania ya uchumi wa gesi na madini imo mikononi mwa viongozi wa Taifa hili

    UTANGULIZI Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za gesi asilia na madini katika bara la Afrika na duniani. Hili linathibitishwa na mifano mingi ya madini yenye thamani kubwa yanayopatikana katika mikoa mingi nchini, kama vile dhahabu, Tanzanite, almasi, chuma, nikeli, makaa ya...
  14. Baadhi ya aida za kufanya mapenzi asubuhi

    Huwenda umeshawahi kusikia kuhusu umuhimu wa kushiriki tendo la ndoa asubuhi na ukashangaa lakini ni kweli kuna faida za kufanya tendo hilo kwa afya yako na wataalamu wanasema ni moja wapo ya matibabu. Tunakusogezea baadhi ya faida za kushiriki tendo la ndoa asubuhi kutokana na utafiti...
  15. B

    Kulikoni leo huduma za Simbanking na ATM za CRDB hazifanyi kazi tangu asubuhi?

    Kama heading inavyosema Huduma hizo hakuna kabisa, watu wanahangaika wanataka kutoka pesa kwa ajli ya Eidd, wanadhondwa.
  16. Kutokuwepo kwa umeme kila siku asubuhi na jioni mpaka usiku, tatizo ni nini?

    Kuna mambo yanayoendelea mpaka unajiuliza, hivi nchi hii hatuna watu wenye akili, uwezo na dhamira safi ya kuendeleza Taifa? Nimesafiri na kukaa kati ya wiki moja hadi mwezi mmoja kwenye mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora na Mara. Yanaoendelea katika maeneo haya kuhusiana na nishati ya umeme ni...
  17. M

    Naingia chimbo hadi kesho asubuhi waliomuua Martha watajulikana kwasababu ya huu ushahidi mmoja tu

    Lazima tu kwa magari yote yaliyopaki ama yaliopo nje ya kanisa la Kilutheri Tumbi hapatakosekana yenye Dashcam. Pia njiani kuelekea kwenye pori tengefu lazima hawa watekaji na wauaji walipishana na magari lazima kulikuwa na magari tu yenye Dashcam. Polisi watoe wito wote wenye magari yenye...
  18. T

    Haya maridhiano kuna mmoja atakuja kushtuka imeshakuwa asubuhi!

    Vyenga vya leo vinatosha kabisa kuona kuna mmoja katika maridhiano haya yanampa faida kuubwa sana hasa huko tuendako, na kuna yule ambaye anafurahia vinono vya muda mfupi! Maridhiano kwa nchi kama hii yetu yenye watu waliozoea Amani kama maji ya mtungini ni mhimu sana kwa mstakabali wa nchi na...
  19. Upi Wakati Sahihi Wa Kufanya Mazoezi, Asubuhi Au Jioni?

    Kwenye makala yetu ya leo tunaenda kujifunza na kujibu swali amabalo watu wengi hujiuliza upi ni wakati sahihi wa kufanya mazoezi kati ya asubuhi na jioni. Mara nyingi swali hili humjia mtu pindi anapoamua kuanza kufanya mazoezi ya mwili, sasa anakuwa anashindwa kuchagua wakati gani awe anafanya...
  20. Walimu wa Meru DC watakiwa kujitokeza Jumapili saa 1:00 asubuhi Usa-river wakati Rais Samia atakapokuwa anapita eneo hilo

    Hii kada ni ya wanyonge na wananyongwa kweli. Mke wangu ametumiwa meseji na mratibu wao kuwa yeye (mwalimu mkuu) pamoja na walimu wake wafike bila kukosa eneo la usa-river jumapili saa 1:00 asubuhi bila kukosa ili Rais atakapokuwa anapita basi awapungie mkono. Cha kushangaza hakuna nauli wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…