asset

In financial accounting, an asset is any resource owned by the business. Anything tangible or intangible that can be owned or controlled to produce value and that is held by a company to produce positive economic value is an asset. Simply stated, assets represent value of ownership that can be converted into cash (although cash itself is also considered an asset).
The balance sheet of a firm records the monetary value of the assets owned by that firm. It covers money and other valuables belonging to an individual or to a business.One can classify assets into two major asset classes: tangible assets and intangible assets. Tangible assets contain various subclasses, including current assets and fixed assets. Current assets include inventory, while fixed assets include such items as buildings and equipment.
Intangible assets are nonphysical resources and rights that have a value to the firm because they give the firm some kind of advantage in the marketplace. Examples of intangible assets include goodwill, copyrights, trademarks, patents and computer programs, and financial assets, including such items as accounts receivable, bonds and stocks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Asset na Liability: somo ambalo watu wengi hawalielewi

    Watu wengi hufanya kazi kwa bidii ili kupata pesa, lakini si wengi wanaojifunza jinsi pesa zinavyofanya kazi. Moja ya misingi muhimu kabisa ya kujenga utajiri ni kuelewa tofauti kati ya Asset na Liability. Kwa lugha rahisi ✅ Asset ni kitu kinachoweka pesa mfukoni mwako au kinaongeza thamani ya...
  2. JamiiForums Tanzania Bado mnatumia Excel kufuatilia mali (Asset) za kampuni?

    kampuni nyingi bado kufuatilia laptop, printer, furniture au vifaa vya kazi kwa makaratasi au Excel. Changamoto inaanza vifaa vinapopotea au kukosekana kwa taarifa nani anatumia kifaa gani. Asset Management System inasaidia, 1. Kufuatilia vifaa vyote kwa urahisi 2. Kujua nani amepewa kifaa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania To me Gambo is a liability and not an asset. Wanasheria wanasema Time is of essence

    1. Tumesahau ya Frederick Sumaye 2. Lowasa Ngoyai 3. Mashijji ( sikui huyu aliokotwa jalala gani) 4. Etc etc etc Huyu Gambo ni CCM kiwango.cha.kuteka Wanachadema. Leo kwa vile katemwa "kwao".CCM mnamkumbatia Tuombe uzima nitaurudisha uzi huu the future to come?
  4. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Misses asset declaration target as Compliance falls below 50%

    More than half of Uganda’s civil servants failed to declare their assets by the April 30 deadline, raising fresh concerns about transparency, enforcement, and accountability in public service. 📸: The IGG Aisha Naluzze Batala (L) looks on during the launch of the 2026 online declaration of income...
  5. JamiiForums Tanzania Relationship Manager; Asset Financing at NMB Bank October 2025

    Relationship Manager; Asset Financing (1 Position(s)) Job Location : Dar Es Salaam Zone, Mandela Road Job Purpose: Grow both Liabilities (Deposits) and Assets (Loans) from Small and Medium Enterprises (SMEs) and Commercial clients for Asset financing business, advising Agri retail department...
  6. JamiiForums Tanzania Balozi Mike Huckabee — Hazina Kuu ya Kifahm na Kifikra kwa Israel

    Ni nadra sana kushuhudia Piers Morgan akikubali mtazamo wa dunia ulio tofauti kabisa na msimamo wake. Piers Morgan, ambaye yeye mwenyewe ni mashine kali ya hoja na fikra, anajulikana kwa kuingilia hoja za wapinzani wake na mara nyingi kuzikatisha au kuzipangua vilivyo katika mijadala. Lakini...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni Asset ya Rostam Aziz ya Muda Mrefu Kimsingi Kawauza Wenzie wa ACT

    Bwana Zitto tangu akiwa chadema amekuwa akipata ufadhili wa kifedha wa Rostam. Uswahiba wao umeendelea zaidi hata wakati wa sakata la fedha za ESCROW ambapo zitto alikuwa upande wa Standard Chartered Hongkon yenye uhusiano na Rostam. JPM hakumpenda zitto maana alimjua ipasavyo vile vile...
  8. JamiiForums Tanzania Swali ni moja tu, je huyu mwamba ni asset au liability?

    Bila kuelemea upande wowote, kijana wetu (Polepole)kaacha kazi ya ubalozi Kaacha maokoto, kaacha vitu vyote vinavyoambatana na hadhi ya ubalozi Kimsingi, huo ni ujasiri mkubwa, ameamua kusimamia kile anachoamini Kwa kiasi fulani, kaacha unafki, kachagua upande bila ya kujali gharama kubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Fursa hazidumu; Wewe ni Asset! Jitumie!

    FURSA HAZIDUMU; WEWE NI ASSET. JITUMIE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wahenga walisema, liwezekanalo Leo lisingoje Kesho. Wahenga hao! Wakaendelea kusema bahati haiji mara mbili! Unaona mambo hayo! Neno bahati huweza kutafsiriwa kama nafasi au fursa ya kipekee. Katika mapigano yoyote...
  10. JamiiForums Tanzania Rai yangu kwa vijana mliojipata vizuri, tengeneza mazingira ya kuja kumuinua mwanao kwa kumuajiri wewe mwenyewe au kumsaidia mtaji au asset ajiajiri

    Ukweli ni kuwa hakuna mkombozi wa kijana katika huu ukata. Atapigika sana akiendelea kusubiria resume yake ipitishwe. Itakuwa haina maana miaka hio utakuwa una hudumia baby mamas wawili huku mwingine umemfungulia kibanda cha M-PESA lakini kijana wako anatembea na bahasha na kuzunguka kwa kila...
  11. JamiiForums Tanzania Liquid Asset (FD, Bonds, UTT) v/s Fixed Asset (Nyumba ya Kupangisha)

    Kwema Wakuu, Za weekend? Nipo nachanganua hapa. Mfano nikiwa na labda 20,000,000/- nikazitia UTT Kwa riba ya 12% naweza kupata roughly 2,400,000 faida baada ya mwaka mmoja. Alternatively hizi 20,000,000/- kama kiwanja ninacho nikijenga hata Chumba, sebule na choo Kwa eneo nililoko sikosi hata...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa maisha yalivyo, nimewawekea wanangu Asset hii ije iwasaidie baadaye

    Habari wanajamvi, Kwa maisha yalivyo na yanavyoelekea huko mbeleni nimeamua kuwaandalia wanangu mali hii ije iwasaidie baadae Nina watoto wawili wa kiume mmoja Miaka mitano na mwengine Miaka miwili. Nimeamua kila mmoja ninmnulie Ardhi ekari 2 Kila mmoja nitampandia minazi 400 Kwa nini minazi...
  13. JamiiForums Tanzania Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

    Wanabodi, Leo nawaendeshea somo la kitu kinachoitwa assets and liabilities, kwenye siasa. Kwenye biashara assets ni mtaji na rasilimali na liabilities ni madeni, na hasara, biashara ikiwa nzuri, assets ni faida, biashara ikianguka, una dispose some of your assets into liabilities kuiokoa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa CCM, January Makamba ni Asset

    Sijajua imekaaje kumuondoa MTU Kama Makamba ambaye ndo MTU pekee mwenye utulivu, akili, ufahamu ndani ya CCM. Naomba CCM mjitafakari Sana.
  15. JamiiForums Tanzania Wahi Leo!Ofisi Yetu Tunauza Asset Hizi Kwa Bei Ya Kutupa

    Habari zenu. tunapunguza asset ofisini kama zifuatazo: Asset hizo na bei zake kama ifuatavyo: 1.Pressure washer tzs 150,000 (laki moja na hamsini elfu) 2.Tube filler -mashine ya kujazia vifungashio vyenye mdomo mdogo tzs 600,000 (Laki sita) 3.Computer Apple All in One (Huhitaji CPU) tzs...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je, Makonda ni asset au liability kwa CCM?

    Katika maamuzi ya hovyo ambayo CCM wamewahi kuyafanya ni kumrudisha huyu kijana katika nafasi kubwa sana ndani ya chama. Pengine ni katika hali ya kutapatapa kisiasa kwa rais Samia na Pengine kwa sababu ya urafiki wake na Makonda uliomsukuma Rais atumie nguvu na ushawishi wake kumrudisha...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye faida na mwanamke mzigo katika mahusiano au ndoa

    Mahusiano mazuri au ndoa imara inategemea na aina ya mtu uliyenae katika mahusiano au ndoa husika. Naomba niwape siri moja ambayo pengine dada yangu umekuwa ukiichukulia kawaida na kuendelea kuwaita wanaume wote mbwa kumbe kosa ni lako mwenyewe. Na kaka yangu pengine na wewe umeendelea...
  18. JamiiForums Tanzania Senior Product Manager Asset (Re-advertised) at NMB Bank December, 2023

    Position: Senior Product Manager Asset (Re-advertised) (1 Position(s)) Job Purpose: - Responsible for asset product development, management and performance for Retail Banking - Monitoring and ensuring asset product profitability and its end-to-end life cycle Main Responsibilities: Develop...
  19. JamiiForums Tanzania Mkopo wa asset financing - benki ipi inafaa?

    Ninahitaji kununua mashine kwa ajili ya biashara na gharama yake ni kama dola 17,500/= Kama 43.7 Milioni Ni benki gani inafaa kuomba kiasi hicho? 1. Nimesikia kuhusu kuitumia mashine Kama dhamana hili likoje? 2. Riba na marejesho kwa mwezi yatakuwaje? Kama mkopo ukiwa miaka 3? Naomba ushauri...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tuko na hii mifumo ya computer(Application systems)

    Habari wote, Sisi ni wataalam wa kutengeneza mifumo mbalimbali ya computer(Computer Application systems). Na kwa sasa tuna mifumo ifuatayo ambayo inaweza kukusaidia katika kuongeza ufanisi na kupunguza gharama kwa biashara zako. Point of Sale (700,000 Tzs):Hii inatumika kusaidia kuhifadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…