Tuko na hii mifumo ya computer(Application systems)

Mijicho

JF-Expert Member
Jan 20, 2009
280
212
Habari wote,

Sisi ni wataalam wa kutengeneza mifumo mbalimbali ya computer(Computer Application systems).
Na kwa sasa tuna mifumo ifuatayo ambayo inaweza kukusaidia katika kuongeza ufanisi na kupunguza gharama kwa biashara zako.

Point of Sale (700,000 Tzs):Hii inatumika kusaidia kuhifadhi taarifa za mauzo na manunuzi kwenye biashara yako huku ikionyesha faida na hasara.Mfano Pharmacy,supermarket etc.Bei hii haijumuishi hardware anazohitjai mteja kama computer ,printer,barcode scanner.

Asset Management: Hii inakusaidia kumanage Assets zako na pia imejumuishwa na Assets Code na scanner kwa ajili ya kuhesabu assets zako

Garage Management system(700,000Tzs): Hii inakusaidia kuweka rekodi katika garage yako kwenye mauzo ya vipuli na huduma unayotoa pamoja na manunuzi .

Hotel Management system(1,000,000): Hii inakusaidia katika manunuzi ya hotelini na mauzo pamoja na huduma zingine kama Laundry ,jikoni katika kuhifadhi rekodi na kadhalika.

Nimeambatanisha na bei zake kasoro Hiyo Asset Managament system kwa sababu inahitaji pia kujua mahitaji ya mteja yanaishia wapi na kama atanunua vifaa vingine vinavyohitajika e.g Scanner


Karibuni DM kwa mhitaji ambaye yuko serious
 
Hiyo POS ni one time purchase au kila mwaka nalipia?

#YNWA
One time purchase Boss kama itakua on premise.

Lakini ukitaka tukuwekee online kuna gharama kdg zitaongezeka kwa ajili ya kuregister domain na kulipia domain yearly.Ni kama laki 2 kwa mwaka .So kwa ambayo itakua kwa cloud utalipa hiyo one time purchase 700,000 + 200,000(recurring yearly)
 
Back
Top Bottom