Askofu Benson Bagonza (PhD): Haijawahi kuwa rahisi kuwaongoza watu wenye njaa

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,203
23,020
Ujumbe unajieleza wenyewe.
Sina cha kuongeza zaidi tu ya ku admire hekima ya kipekee na maono aliyo nayo huyu mtumishi wa Mungu

 
Ndio ukweli wenyewe, wametupa jicho wakaona 2020 mkate mkubwa upo CCM (watapewa kura hata za wizi washinde uchaguzi), na ile kauli ya mwenye nchi kwamba mkurugenzi akitangaza mpinzani kashinda hana kazi, kwa hali hiyo nani atabaki upinzani!.

Kuwa na viongozi wanaowaza matumbo yao wakati wote ni ngumu sana kufikia maendeleo ya kweli, mpaka washibe wao na familia zao ndio wakumbuke kumpelekea maendeleo mwananchi wa kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahakama inahusika kubariki wakurugenzi kuiba kura. Ibrahim Juma utalaaniw na vizazi vyote vijavyo kwa kuwa Jaji Mkuu dhaifu na mwoga mnafiki kuliko wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom