Nimesikiliza wimbo wa Harmonize, nyimbo ya maombolezo.
Kwa kweli asante sana kijana wetu, wimbo wako una hisia kali na umenitoa machozi. Kwenye wimbo Kijana kamlilia mzee, anasema kama siyo juhudi za mzee watu wa kusini lile daraja wangelipata wapi.
Kijana kaimba kwa hisia kali kwelikweli...