Charles Kitwanga apinga bajeti ya Wizara ya Maji akituhumu ufisadi mkubwa kuliko wa Lugumi. Pia ametishia kupinga Bajeti Kuu

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,441
55,018
Msikilize hoja yake hapo chini.

Wabunge wote wanastahili pongezi kwa kutomkatiza Mh.Kitwanga kwa "taarifa" wakati akichangia.

Sina uhakika kama mbunge wa upinzani angeweza kutoa maoni kama ya Mh.Kitwanga bila kusumbuliwa na kubezwa na wabunge wa CCM.

 
Ukimuona mtu kaamua kuw mkweli kiasi hiki ujue kuna jambo.
Na kwa fikra zangu nadhani hana uhakika wa kupita kura za maoni.
Hawa watu hawajahi kuwa na akili iwapo wamehakikishiwa maslahi yao.

..umezungumza jambo ambalo limenifikirisha.

..je, una maanisha kwamba viongozi wasipokuwa na uhakika na nafasi zao wanakuwa wakweli zaidi?
 
..umezungumza jambo ambalo limenifikirisha.

..je, una maanisha kwamba viongozi wasipokuwa na uhakika na nafasi zao wanakuwa wakweli zaidi?
Obviously..
Pia, wale wanajitoa fahamu wengi pia kama kina Nape na Mwigulu Nchemba (kwa sasa).
Lengo lao nikufunika makosa yao, na kujisafishia njia pale walipo haribu ndio maana wanakuwa watu wa kujitoa fahamu
Mfano:kauli ya mwigulu kwamba aliposema wagonjwa korona wasitajwe idadi yao
 
Samahani sna naomba Radhi km ntakukwaza unafikiri Kuna Mwana CCM yyote mwenyewe kuitakia kheri nchi yetu. Unafikiri vijana wa Lumumba wanamakosa kweli wanapoita Nyumbu...

Sent using Jamii Forums mobile app
nyoosha maelezo yako , umenichanganya kidogo , bado sijajua unataka jibu lipi ? jifikirishe kidogo kuhusu sumu ya Mangula
 
nyoosha maelezo yako , umenichanganya kidogo , bado sijajua unataka jibu lipi ? jifikirishe kidogo kuhusu sumu ya Mangula
Ngoja nikueleze kitu ambacho kipo moyoni mwangu siungi mkono dhuruma inayofanywa na CCM kwenye nchi hii ila sioni Nia yenu ya kutaka kututoa kwenye dhuruma hii ikiwa kila siku mnarukia jambo jipya hv mtu mwenye akili timamu unaweza kweli kumuunga mkono kitwanga baada kukosa fursa ya kupiga uko ndio anajifanya mtetezi wetu...
IMG_20200320_223458.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikueleze kitu ambacho kipo moyoni mwangu siungi mkono dhuruma inayofanywa na CCM kwenye nchi hii ila sioni Nia yenu ya kutaka kututoa kwenye dhuruma hii ikiwa kila siku mnarukia jambo jipya hv mtu mwenye akili timamu unaweza kweli kumuunga mkono kitwanga baada kukosa fursa ya kupiga uko ndio anajifanya mtetezi wetu... View attachment 1432933

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hukunisoma kwa jicho la 3 , hivi tunavyouliza kuhusu sumu ya Mangula unadhani tunaamini kwamba aliwahi kuitakia heri nchi hii hata mara moja ?
 
Sasa hata wabunge wetu wamesitukia “upigaji” ndani ya wizara ya Maji.

Wadau tumelalamika sana kwamba miradi ya Maji haiendi kutokana na upigaji huo.

Mh Kitwanga jana bungeni amehoji juu ya mkopo wa Dola milioni 500 kujenga miradi miji 28 fedha ambazo kwa uzoefu ni nyingi na zingeweza kujenga miradi mara mbili ya miji hiyo 28.

Wadau tuilalamikia sana wizara hii ambayo kila mara imekuwa ikisukuma lawama kwa makandarasi isivyo kweli.

Sasa upigaji wa pesa hiyo umesitukiwa na hata Spika ambaye alionyesha kuunga mkono hoja ya Mh. Kitwanga.

Wizara ya Maji mnalo!
 
Watafukuzwa wawili na mchezo utaendelea kama kawaida
Africa kubadilika ni ndoto za mchana


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kaibu mkuu wizara hii ni bure kabisa.

Mkuu tatizo ni upigaji yaani waziri naona amesalimu amri
Ndio maana nasema africa yote tuna tabia za kufanana ni wizi na rushwa tu
Maendeleo kwetu ni mwiko tunajihujumu wenyewe na kujiibia wenyewe
Aibu hii ni yetu na mataifa makubwa wanatushangaa eti na sisi tunajishangaa na kusema tuna utajiri lakini tunakwama wapi?



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ukurasa wa Slaa ndani ya Chadema umefungwa rasmi
Sina tatizo juu ilo kikubwa mjifunze au tu jifunze kuheshim pia mawazo ya wengine km nyie mnavyosema ukurasa Dr Slaa umefungwa rasmi basi hao wenye akili nyingi km nyie pia ndio wanasema awapangiwi tuheshim pia maamuzi yao kwangu binafsi hkn mtu mweusi mwenye uwezo kutawala Dawa ya Afrika yote ni kurudisha MAGAVANA tu sie watu weusi kazi zetu ni ukarani tu. Si CHADEMA SI CCM SIO CUF SIO ACT...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani sna naomba Radhi km ntakukwaza unafikiri Kuna Mwana CCM yyote mwenyewe kuitakia kheri nchi yetu. Unafikiri vijana wa Lumumba wanamakosa kweli wanapoita Nyumbu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ni kwanini most of CCM huwa hawana huruma na Watanzania wenzao

At least jamaa kajitahidi kuonyesha ni nini maana ya kujadili budget
 
Back
Top Bottom