Sohan asali (Persian: سوهان عسلی, romanized: sohān-e asali; from asal "honey") is a kind of Iranian cuisine pastry or candy (sohan). It is made of honey, sugar, saffron, almond or other nuts and cooking oil.
Ni mara ya tatu sasa naenda kwenye duka la linalomilikiwa na serikali linalouza asali ila sijawahi kufanikiwa. Duka lipo karibia na mataa ya Chang'ombe kama unaelekea mkuki house (Dar es Salaam).
Lile duka hawapokei cash malipo ni kwa control namba, lakini hata hiyo control namba mara zote ni...
Hii nchi inaumiza sana moyo. Yaani wakati wananchi wa kipato cha chini wanaumia na maisha magumu wakilambishwa Shubiri.
Kuna mtu anatamba kuwa wao wanalamba asali. Na mbaya zaidi kuna watu wanampigia makofu na kushangilia. Hili ndilo lililoniumiza zaidi.
Yaani form one wanacheka na form two...
Haijawahi kutokea na haitakaa itokeee free ride kama waliyonayo wafanyabishara wa Tanzania kwa sasa, usishangae leo ukakuta sabuni ya kuogea inauzwa 500 kesho asubuhi ni 1200 ukilalamika unaambiwa ni vita ya ukraine
Rais wa nchi kama mara tatu kwenye hotuba zake amekuwa akisisitiza kwamba ni...
Habari wadau, ninahitaji mfanyabiashara wa asali au mfugaji wa nyuki ambae ana vibali stahiki vya kuuza na kusafirisha maana nina wafanyabiashara wapo kenya wanasafirisha asali kwenda dubai n.K, hvyo nahtaji mtu wa kushirikiana nae soko tayari lipo ila mim sina mtaji na utaalam wa kuitambua...
Kumekuwa na maswali mengi kutoka kwa watumiaji asali ambao wengi wamekua wakiuliza kutaka kujua kama asali iliyoganda ni nzuri au imechakachuliwa. Wengine wamekua wakiamini asali iliyoganda imechanganywa na sukari guru.
Lakini hata baadhibya wafugaji na wauza asali pia wamekua wakiogopa kuiuza...
Kuna mtazamo wa watu wengi sana kuhusiana na nyuki lakini kwa kifupi nataka tujifunze mambo machache kuhusu hawa wadudu na umuhimu wao sana katika muendelezo wa jamii ya mimea mbali mbali
Nikuibie siri tu ni kweli nyuki wanazalisha asali lakini kuna kitu kikubwa sana wanakifanya kwa mimea...
Habari wandugu.
Napenda kuwataarifu ya kwamba nauza Asali kwa Bei ya jumla. Ninauza Hadi madumu hamsini ya Lita ishirini. kwa atakayehitaji tuwasiliane. Bei ya dumu moja la Lita ishirini ni shilingi laki moja themanini 180,000 Tanzanian shillings. Asali yetu ni original haijachujwa Wala...
Habari wakuu. Ninaanza ufugaji wa nyuki kwa hiyo sina uzoefu. Kuna changamoto moja nimeisikia kwamba nyuki wana tabia ya juiacha mizinga na kuhamia sehemu nyingine. Kana hii ni kweli naomba kujua mbinu za kuwafanya wasihame. Natanguliza shukrani.
Wakuu nina swali kuhusu utengenezaji wa mizinga ya nyuki. Mzinga in lazima utengenezwe kwa mbao au unaweza kutengenezwa pia kwa material nyingine kama plastic?
Awuor aliruka na kukimbia katika kituo cha polisi cha Dandora kumshtaki Otieno kwa kukosa kushiba tendo la ndoa Alisemaalimpakulia utamu wa mwili wake kwa masaa mawili baada ya kulipa KSh 4000 lakini hakuwa akishiba Ilibidi amtoe juu na hivyo uzushi ukazuka na Otieno kuharibu vitu nyumbani kwake...
Salamu Waungwana na Wataalamu wa Baraza letu hili la Afya. ninaomba kujuzwa suala hili ambalo limekuwa likinitatiza sana.
Baada ya kupata matatizo ya Kisukari, miongoni mwa Ushauri niliopewa in ule wa kutumia Asali kwenye Chai na Maziwa ninayokunywa badala ya kutumia Sukari.
Ninaomba utaalamu...
Ni kipindi kirefu sana millard ayo aliacha kupost contents za Diamond,
Ishu hii iligeuka fursa kwa wenye channel za youtube maana milard alipanua wao wakaingiza, kusema kweli ilitoa fursa kwa youtube channels nyingine kupata subscribers na views wengi kwa habari za wcb
Matokeo yake ni channels...
Habari zenu wapendwa natafuta asali kwa mtu mwenye nayo naomba tufamiane tufanye biashara
Asali nyuki wakubwa kwa wadogo
awe havuni kwa kutumia moto (traditional way ) awe anavuna kwa njia tofauti na moto.
Iwe pure asali mimi niko moshi nitafute kwa 0769625978 tufanye biashara
nahitaji kiasi...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Jumatano Septemba 30, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Kaskazini viwanja vya Bitale Sokoni kwa lengo la kuomba kura pamoja na kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma...
Wanabodi,
Kwanza sikiliza hii
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, ni moja wa Ma RC very bold katika kuusema ukweli bayana!, leo amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwasababu hawa ni viongozi wa kiutendaji, lakini RC John...
Wandugu, salaam.
Naomba nisaidiwe jinsi ya kuchanganya dawa ya kikohozi ya asali na pia je ikiwa mtu anakunywa hizi dawa za hospitali akachanganya na hiyo ya asali yaweza leta shida?
Asanteni kwa ushauri.
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake...
Nauza asali mbichi napatika Dar es salaam eneo la Buguruni Sheri.
Bei yake ni
Robo lita 3000
Nusu lita 6000
Lita moja 12000
Lita 5. 55000
Lita 20. 200000
No 0746696878
Kila mtu asali, sali kuliombea hili Taifa. Ni kama mchezo wa masihara vile ila utaunguza Nyumba.
Ni moto mkali sana utakaobadilisha dira na mwelekeo wa taifa hili. Tulishatabiri ila sasa itakuwa kweli.
Pray for the nation pray for your family. We as Tanzanian God will remember us.
Update...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.