arv

  1. BARD AI

    Uganda: Bunge lashangazwa na Ripoti kuwa Wafugaji wanatumia ARV kukuza na kunenepesha Kuku na Nguruwe

    Kamati ya Bunge ya VVU/UKIMWI ya Uganda imepokea taarifa hiyo kutoka Mamlaka ya Taifa ya Dawa Nchini humo ambayo imekiri kufahamu Dawa za Kurefusha Maisha na Kunenepesha zimekuwa zikitumika kwa Wanyama na haikuchukua hatua zozote. Mkaguzi Mwandamizi wa Dawa kutoka NDA, Amos Atumanya amesema...
  2. N

    Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV inaweza sitishwa na Marekani. Je, Tanzania imejipanga vipi na suala hilo?

    Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV unaweza sitishwa na marekani. Je Tanzania imejipanga vipi na suala hilo? Nimekaa nikatafakari sana, huenda miaka ijayo misaada inayotolewa na marekani hasa dawa za kufubaza hawa virusi vya vinavyosambabisha UKIMWI. Kutokana na hali hii marekani atabaki kuwa...
  3. YE67NBE

    Wauza mechi hiki kipindi cha baridi msisahau kununua ARV, Azuma na Powercef

    Wasaalam wadogo kwa wakubwa😀😀 Natumai nyote wazima wa afya. Niende kwenye mada kama mnavyoona huu ni mwezi wa 6 sasa, na mjuavyo baridi imeingia mpaka DSM sasa. Na kama mnavyojua miili yetu, baridi ikiingia akili na mwili hutafuta joto na hilo joto lenyewe, hupatikana sehemu za siri huko😋...
  4. Nyuki Mdogo

    Makopo ya ARV yamezagaa mtaani kwangu

    Hii ni ishara mbaya sana. siku ya tano leo nakutana na makopo ya kubebea ARV kwenye haka kamtaa ninakoishi. Yanatupwa tu yani hadi watoto wanayachezea kabisa. leo ndio nimejua kuna kopo za vidonge 30, 90 hadi 100 Hii nchi kwa maeneo ya mjini kuna rate kubwa ya mambukizi ya UKIMWI.
  5. BARD AI

    Tabora: Aliyeua mtoto baada ya kumkuta mama yake na ARV ahukumiwa kifo

    Hukumu imetolewa na Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora dhidi ya Haruna Ndayanze baada ya kumkuta na hatia ya mauaji hayo kwa madai alibaini Mama wa mtoto anatumia Vidonge vya Kufubaza Virusi vya UKIMWI. Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya, Demetrio Nyakunga alisema Mahakama imeridhika na ushaidi na...
  6. BARD AI

    UTAFITI: Maambukizi vya VVU kutoka kwa Mama kwenda kwa Mtoto bado ni makubwa Tanzania

    Dawa zinazotumiwa na wajawazito wanaoishi na virusi vya Ukimwi (VVU) kukinga maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto zimeonyesha kujenga usugu kwa kiwango kikubwa kwa mujibu wa utafiti uliofanywa mikoa 19 Tanzania. Matokeo ya utafiti huo uliofanywa katika mikoa 19 umeonyesha dawa hizo...
  7. BARD AI

    Watu watano wanaacha kutumia dawa za ARV kila mwaka

    WAZIRI wa afya Ummy Mwalimu ameeleza kati ya watu 100 Tanzania wanaoishi na virusi vya ukimwi 95 wanatumia dawa za kufubaza virusi (ARVs) huku watano kati yao wanaacha dawa hizo ,suala ambalo linakwamisha juhudi za mapambano dhidi ya gonjwa hilo. Aidha amewaasa , wanaoishi na Virusi vya Ukimwi...
  8. JanguKamaJangu

    Ruvuma: Waathirika 4,023 waacha kutumia dawa za ARV sababu ya imani ya dini

    Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Ruvuma ambao ni wathirika wa Virusi vya UKIMWI (VVU) wamebainika kutotumia ARV ambazo ni dawa za kufubaza makali ya VVU wanazopewa vituoni kutokana na imani ya dini. Mratibu wa Kudhibiti UKIMWI Mkoani Ruvuma, Josephat Kalipesa amesema hatua hiyo imebainishwa licha ya...
  9. The Transporter

    Mume agundua mkewe anameza ARV ila yeye anafichwa

    Ipo hivi nina rafiki yako ambae shughuli zake ni dereva sasa amenipa mkasa wake na kuomba ushauri. Jamaa mwanzo mwa miaka ya 2000s alimpata Binti wakakubaliana na kuamua kuishi pamoja wakabahatika wakapata watoto watatu wakiume wawili wa kike mmoja. Ila kutokana na sababu kadhaaa wakawa...
  10. heartbeats

    Je, hizi ni ARV's? Vimekutwa kwa begi la mwanamke

    Wakuu nimeshindwa kuropoka jibu kwa huyu jamaa yangu, katika pekua pekua katika vitu vya mpenzi wake akakutana na vidonge vyeupe vibukwa kwa jina la LA75, Alivikuta vitano ktk gazeti vimefungwa kanitumia picha nikaseez kidogo sijampa jibu kamili nimemuacha dilema. Swali nililomuuliza aliona...
  11. Ngaliba Dume

    SoC01 Ushuhuda wa jinsi UKIMWI ulivyotesa familia, kuongeza umasikini na mateso. Tushukuru ARV na wadau wa afya

    Hatukuwa tumewahi kufiwa na mmoja wa wanafamilia,kwa maana ya kaka au dada wa tumbo moja na baba mmoja.Misiba mingi ilikuwa ni kwa ndugu na jamaa tu wa karibu.Msiba huu wa dada yetu aliyekuwa "kichwa" na msaada mkubwa kwa familia ulitokea mwezi March 1993 wakati huo mimi nikiwa nimemaliza kidato...
  12. J

    Prof. Makubi: Wanasayansi Wazalendo wanakaribia kutengeneza Chanjo ya Corona ya Kitanzania

    Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof. Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona. Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe. Source: ITV habari ============= Katibu...
  13. and 998 others

    ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

    Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu. I tell you! UPDATE Kama umeoa bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku...
  14. beth

    Shinyanga: Mume amuua Mkewe akimtuhumu kutumia ARV kwa siri

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia, Peter Elias (29) mkazi wa Ndembezi mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mkewe, Pili Luhende akimtuhumu kutumia dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi (ARV) kwa siri. Akizungumza Ijumaa Mei 7, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Debora Magiligimba...
  15. Red Giant

    Hivi inawezekana sakata la TPIL na ARV feki lilikuwa ni hujuma?

    TPIL(Tanzania pharmaceutical industries limited ) ni kiwanda cha dawa kilichopo jijini Arusha. Zamani kilikuwa cha serikali lakini kilibinafsihwa mwaka 1997. Miaka kadhaa iliyopita kiliingia kwenye kadhfa kubwa ya kutengeneza ARV fake. Kuna ingredients hawakuweka wu walichanganya. Hilo...
  16. Nduka Original

    Naomba kufahamu kuhusu ARV

    Naomba kufahamishwa kwamba ni kweli mgonjwa akisha anza kutumia ARV hawezi kuambukiza ugonjwa?? Kuna jamaa hapa mtaani kaathirika ila anatumia ARV kwa muda na ukimuona afya yake iko imara. Shida huyu jamaa anatembea na watoto wadogo wadogo ila nasikia kwamba sababu anatumia ARV basi hawezi...
  17. mgt software

    Uwezo wa NIMR unafikirisha kutoa Tiba Lishe ya kufubaza Virus vya UKIMWI, tunaweza kuacha na ARV zenye masharti

    Wana JF. Tangu uwepo ugonjwa wa Corona, mapambano ambayo NIMR imeyafanya , imejiongezea umaarufu na kujikutabinajulikana sana baada ya kutengeneza Tiba lishe mbali mbali kupambana na COVID19. Kabla ya hapo watanzania wengi walikuwa hawajui kama kuna kitu kama NIMR kinafanya utafiti wa Tiba...
  18. T

    Tetesi: Uwenda ARV za bure kupotea kwenye hospitali za Serikali ikiwa USA haitobadili sera yake WHO

    Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze. Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya watafiti yamegeukia Africa ambao sisi niwanufaika wakubwa wa mzigo anachangia WHO. USA ana contribute mpaka...
  19. Kevin85ify

    Kenyan scientist unveils ARV drug to be used once a year

    A US-based Kenyan scientist has unveiled the world's first antiretroviral (ARV) drug to be taken once-a-year. Prof Benson Edagwa and his colleagues at the University of Nebraska Medical Center modified an existing ARV drug - cabotegravir - to enable the body to absorb and release it slowly from...
  20. Kirchhoff

    Tunaotumia ARV hatutapata Covid-19?

    Wakuu nimekuwa nikijiuliza Kama sisi 'watumiaji' wa ARV tunaweza kuathiriwa na maambukizi ya Corona Virus maana naona Kinga Yetu IPO juu Sana.. Nje ya Mada: Je 'tulionyanyapaliwa' hatutamani Corona waje fasta ili walotunyanyapaa na kujidai hawafanyi ngono zembe wapate Covid-19?
Back
Top Bottom