Mume agundua mkewe anameza ARV ila yeye anafichwa

The Transporter

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
3,475
6,854
Ipo hivi nina rafiki yako ambae shughuli zake ni dereva sasa amenipa mkasa wake na kuomba ushauri.

Jamaa mwanzo mwa miaka ya 2000s alimpata Binti wakakubaliana na kuamua kuishi pamoja wakabahatika wakapata watoto watatu wakiume wawili wa kike mmoja. Ila kutokana na sababu kadhaaa wakawa wametengena watoto wakaenda kwa babu yao (baba wa mshikaji).

Wao kila mtu akaendelea na shughuli zake jamaa amehangaika kwa wanawake kadhaa na kufanikiwa kupata watoto huko wawili na katika hao wanawake mmoja kajifungua mwanzoni mwa mwaka huu huko kote alikuwa anafanya taratibu zote kama kwenda kupima afya na alikuwa salama.

Sasa mwaka jana akarudisha mapenzi kwa mzazi mwenzie wa awali( mama wa watoto watatu) na kupelekea kuanza kuishi wote pamoja kwani huyo mama watoto wake alikuwa single tu.

Sasa juzi kanipigia simu kadata nikamuuliza shida nini?
Akaniambia ana anishi na huyo mwanamke ila kuna siku aliona vidogo vya ajabu na hakuweza kujua ni vidogo vya aina gani kwani alijaribu kuvipiga picha na kumshirisha mtu wake ila hawakuweza kujua kwani havikuwa na jina!

Sasa juzi mkewe akiwa katoka kuna nguo alikuwa anaitafuta katika pekuapekua ndio akakuta kadi ya clinic ya waathirika wa HIV na kadi inamuonesha huyo mama watoto wake toka mwaka 2018 amekuwa mwanachama wa ARV na kinachomuuma zaidi ni kuwa hakumuambia hivyo hiyo ina maana mkewe yupo tayari wafe wote na watoto wabaki yatima!

Na katika maisha aliyoishi naye kwa miezi hii mitatu walikuwa wakiwa wanazungumzia mambo ya HIV mkewe huyo alikuwa anawakashfu sana waathirika kumbe na yeye ni mmoja wapo.
Hivyo ameniomba ushauri je amuambie mkewe au auchune tu mpka na yeye akapime?

Majibu akipata akiwa anao afanye nini na huyo mkewe na akiwa hana maisha yaende vipi hapo?
 
Kurudisha majeshi bila kupima Ni hatari
 
aende kupima, siku hizi HIV ukifuata masharti ya utumiaji dawa unaishi bila shida ila usipofuata masharti kweli hao watoto watabaki yatima.
 
Ipo hivi nina rafiki yako ambae shughuli zake ni dereva sasa amenipa mkasa wake na kuomba ushauri.

Jamaa mwanzo mwa miaka ya 2000s alimpata Binti wakakubaliana na kuamua kuishi pamoja wakabahatika wakapata watoto watatu wakiume wawili wa kike mmoja. Ila kutokana na sababu kadhaaa wakawa wametengena watoto wakaenda kwa babu yao (baba wa mshikaji).

Wao kila mtu akaendelea na shughuli zake jamaa amehangaika kwa wanawake kadhaa na kufanikiwa kupata watoto huko wawili na katika hao wanawake mmoja kajifungua mwanzoni mwa mwaka huu huko kote alikuwa anafanya taratibu zote kama kwenda kupima afya na alikuwa salama.

Sasa mwaka jana akarudisha mapenzi kwa mzazi mwenzie wa awali( mama wa watoto watatu) na kupelekea kuanza kuishi wote pamoja kwani huyo mama watoto wake alikuwa single tu.

Sasa juzi kanipigia simu kadata nikamuuliza shida nini?
Akaniambia ana anishi na huyo mwanamke ila kuna siku aliona vidogo vya ajabu na hakuweza kujua ni vidogo vya aina gani kwani alijaribu kuvipiga picha na kumshirisha mtu wake ila hawakuweza kujua kwani havikuwa na jina!

Sasa juzi mkewe akiwa katoka kuna nguo alikuwa anaitafuta katika pekuapekua ndio akakuta kadi ya clinic ya waathirika wa HIV na kadi inamuonesha huyo mama watoto wake toka mwaka 2018 amekuwa mwanachama wa ARV na kinachomuuma zaidi ni kuwa hakumuambia hivyo hiyo ina maana mkewe yupo tayari wafe wote na watoto wabaki yatima!

Na katika maisha aliyoishi naye kwa miezi hii mitatu walikuwa wakiwa wanazungumzia mambo ya HIV mkewe huyo alikuwa anawakashfu sana waathirika kumbe na yeye ni mmoja wapo.
Hivyo ameniomba ushauri je amuambie mkewe au auchune tu mpka na yeye akapime?

Majibu akipata akiwa anao afanye nini na huyo mkewe na akiwa hana maisha yaende vipi hapo?
Kitu cha kwanza mwambie rafiki yako akapime akisha kupima ikionyesha hana Virusi vya HIV ndipo amwambie huyo mpenzi wake ukweli wa mambo. Na nitafute mimi nipate kumtibia na atapona kwani Ukimwi sio ugonjwa Ukimwi ni Upungufu wa kinga za mwili ukiweza kurudisha Kinga za Mwili huna Tena huo ukimwi.Nitafuteni kwa wakati wenu ili niweze kuwatibia kama munao wote wawili huo Ukimwi.
 
Mbona kama vile ni wewe mwenyewe? Kawaida sana, muombe sana Mungu
 
Kitu cha kwanza mwambie rafiki yako akapime akisha kupima ikionyesha hana Virusi vya HIV ndipo amwambie huyo mpenzi wake ukweli wa mambo. Na nitafute mimi nipate kumtibia na atapona kwani Ukimwi sio ugonjwa Ukimwi ni Upungufu wa kinga za mwili ukiweza kurudisha Kinga za Mwili huna Tena huo ukimwi.Nitafuteni kwa wakati wenu ili niweze kuwatibia kama munao wote wawili huo Ukimwi.

Wewe kuandika tu vizuri huwezi utaweza kweli kutibu huo Ukimwi?
 
Robert heriet ,ameawahi toa bandiko kuhusu vipimo pimia HIV na majibu yake....akasisitiza kivuli Cha mwili kwasasa ndo msema kweli

Nikuulize kitu huna ukimwi sawa, vipi kingo ya utumbo mpana ikosawasawa kama haikosawa wahi anza matibabu muhimu .....usijicheleweshe ukizubaa utajikuta mfumo wa mwili umeshambuliwa ukikalishwa kwenye mti unadondoka tu
 
Back
Top Bottom