Tunaotumia ARV hatutapata Covid-19?

Kirchhoff

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,367
7,610
Wakuu nimekuwa nikijiuliza Kama sisi 'watumiaji' wa ARV tunaweza kuathiriwa na maambukizi ya Corona Virus maana naona Kinga Yetu IPO juu Sana..

Nje ya Mada:

Je 'tulionyanyapaliwa' hatutamani Corona waje fasta ili walotunyanyapaa na kujidai hawafanyi ngono zembe wapate Covid-19?
 
Wenye kinga ndogo mwili kama wagonjw wa cancer na HIV, Covd-19 inawaathiri sana. Chukua tahadhari.
Bila Shaka safari ya china inakuhusu, serikali yetu sikivu ipo tayari kutoa msaada wa madaktari wake wakapambane na Corona huko.
 
Uzi mbili kwa nyakati moja Tayai

Mwenye kutumia ARV vizuri na kinga zake zipo juu na VL iko chini hawezi patwa Corona

Ukija kwenye wanyanyapaaji wafe
Mkuu utashangaa familia yaki na yangu wanakufa wote(ndugu yangu atanipenda mm ila atakunyanyapaa wewe )hivyo ni mzunguko
Usiwe na roho ya chuki na kisasi jifunze kusamehe na kuachilia moyo
Wakuu nimekuwa nikijiuliza Kama sisi 'watumiaji' wa ARV tunaweza kuathiriwa na maambukizi ya Corona Virus maana naona Kinga Yetu IPO juu Sana..

Nje ya Mada:

Je 'tulionyanyapaliwa' hatutamani Corona waje fasta ili walotunyanyapaa na kujidai hawafanyi ngono zembe wapate Covid-19?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom