Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Dkt. William Samoei Ruto amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 7 Machi, 2026 katika Makao...
𝟐𝟓𝐓𝐇 𝐄𝐀𝐂 𝐇𝐄𝐀𝐃𝐒 𝐎𝐅 𝐒𝐓𝐀𝐓𝐄 𝐒𝐔𝐌𝐌𝐈𝐓
📍 Arusha, Tanzania
🗓️ 7th March, 2026
🔹 During the Summit, the Heads of State are expected to launch the EAC Customs Bond; a single regional customs guarantee that replaces the current requirement for multiple national bonds along transit routes.
🍃 Under the...
Naziomba mamlaka za Mkoa wa Singida zitusaidie watumiaji wa Barabara ya Singida - Arusha kuboresha kipande kilichopo Manispaa kuanzia NBC Banki hadi kwenye jiwe lililopo katikati ya barabara maeneo ya Kirima Night Club.
Maeneo hayo kuna mashimo ya kutisha sehemu za watembea kwa miguu ambayo...
Anonymous
Thread
arusha
barabara
haya
maelekezo
mkuu
singida
waziri
waziri mkuu
Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa.
Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa wanakwambia utoe laki wakusaidie ku-push upate pasipoti kwa haraka.
Kuna nini kinaendelea hadi...
Mmiliki wa Bar ya Mrina Arusha nyuma ya Golden Rose na Mrina Bar and Hall ya Manzese karibu na Lambo Bar amefariki.
Ninachojuwa, huyu gwiji alikuwa maarufu kwa matukio ya "front" kwenye magodown ya mali na kwenye utekaji wa magari ya transit.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Arusha halipi malipo ya watumishi kwa wakati.
Watumishi wanalalamika kwa kukaa na madokezo miezi kadhaa bila kulipa na hata akipigiwa simu anajibu 'msinifundishe kazi'.
Kuna kero nyingi na Waziri yupo "busy" na Mamlaka nyingine. Waziri uje Arusha na ukae na...
Anonymous (c723)
Thread
arusha
maji
maji arusha
mamlaka
mkurugenzi
wajibu
wako
MAANDALIZI YA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA EAC YAANZA JIJINI ARUSHA
Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo unaotarajiwa...
Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha.
Mkutano huo Maalumu wa...
Mimi ni Muhimu Chuo Kikuu kutoka Chuo Cha Uhasibu Arusha 2025 KERO yangu ni Kuna baadhi ya wahitimu wakienda kuchukua vyeti vyao unakuta matokeo yaliyoandikwa kwenye TRANSCRIPT ni Tofauti na Yale Mwanafunzi alipata kwenye mitihani yake.
Mfano alipata A transcript imeandikwa B+ katika module...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 24, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani unaotekelezwa katika eneo la Bondeni City katika Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Mradi huo ambao utagharimu shilingi bilioni 14.3 una lengo la kuboresha...
Imagine mahakama ya ICC wanatangaza kufungua uchunguzi rasmi wa makosa ya jinai dhidi ya Samia, mara anajiandaa kusimama kizimbani huko The Hague, halafu machawa mnazindua uwanja wa AFCON na kuupa jina lake. Hapo italeta picha gani? Hapo hata Motsepe mwenyewe atawakimbia.
Naona kuna kasi ya...
Hii barabara inafika hadi Waterfall (NAPURU WATERFALLS) kuanzia mwisho wa lami pale ofisi za ARUSHA DC kupandisha juu ni kero.
Barabara imejaa mashimo, na madimbwi ya maji, tunaomba TARURA washughulikie hii barabara.
Greda zipo hapo Ofisi za ARUSHA DC zimepaki toka Mwaka jana mpaka matairi...
Anonymous
Thread
arusha
barabara
changamoto
hii
kero
kuanzia
kupandisha
lami
mwisho
ofisi
sana
wakazi
Alimsaisia Batlda Brian kushinda uchaguzi 2010 as per Godbless Lema. I guess alikuwa CCM.
How comes anatekwa? CCM hawatekwi!
Bifu za buashara?
Mwenye fununu atupe please
Abdilah Musa alimaaruf kama Banjoo alitikisa Arusha kwa ubabe wake na ujuzi wa kuishika na kuitumia bereta kwa ufanisi wa hali ya juu sana.
Alikuwa mwizi wa madini na magari na mbabe haswa.
Soma Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani
Aliwahi kwenda magereza kwa vipindi tofauti lakini kesi yake...
Sijui kama Kuna Mji wowote ambao ni makao Makuu ya Mkoa au Mji wa kibiashara ambako Serikali ya Samia haijajenga au kuendelea na ujenzi wa stendi.
Mfano Mkoa wa Manyara Mji wa Kateshi Kuna stendi Mpya ya Samia lakini hajaishia hapo anajenga stendi nyingine Mpya Mjini Bahati
Kiufupi ni Mikoa...
Sis watanzania na Serikali yetu hii yaani jiji la Arusha linakuwa na uwanja wa ndege wa ajabu ajabu namna ile mapato ya utalii yanaenda wapi? Kwanini serikali isiupanue uwanja na kuwa wakimataifa zaidi.
Just imagine AFCON2027 itakuaje kama kiwanja cha ndege ndo kile ukitoa hako kajengo...
Ukiangalia ramani ya uwanja mpya unaojengwa wa Arusha utaona viboksi boksi vingi vinavyoashiria majengo ya aina fulani.
Tukumbuke eneo lililochaguliwa kujenga uwanja huu ni nje kabisa ya mji na hakuna makazi yoyote yaliyo karibu na uwanja huo kwa sasa.
Wenzetu wakiamua kupeleka viwanja nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.