arusha

  1. JamiiForums Tanzania Arusha: Mrisho Gambo awapatia msaada wa vyakula Wajane 160 kwa ajili ya sikukuu ya Eid-el-Fitr

    Kina mama wajane wapatao 160 kutoka kata nne za jiji la Arusha wamepatiwa msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Iddy. Msaada huo umetolewa na Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mrisho Gambo baada ya kutambua uhitaji wa kina mama hao ambao wengi wao wanaumri mkubwa na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hili suala la wastaafu kupeana Mahekalu, Mwalimu alisema ipo siku Watanzania watalidai Azimio la Arusha

    Katika kizungumkuti hiki kinachoendelea leo, Wakubwa wanapeana Mahekalu na Mabenzi wakati wanananchi mamilioni kwa mamilioni wanatopea kwenye lindi la umasikini, Imenikumbusha kauli ya mwalimu Nyerere kuwa ipo siku wananchi Watasimama na kulidai tena Azimio la Arusha! Binafsi ninajua kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania ARUSHA: Wafanyakazi Naura Hotel na Impala waandamana kwa Mabango kuilalamikia Mahakama

    Wafanyakazi zaidi ya 200 wa hotel za Naura Spring na Impala za jijini Arusha wameandamana katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakilalamikia mwenendo mbaya wa mashauri yao ya madai yaliyopo mahakamani unaolenga kuchelewesha haki ya kulipwa Madai yao yanayofikia kiasi cha sh,milioni 700...
  4. JamiiForums Tanzania Ndoa ya binti wa TB Joshua yafungwa Arusha, tarehe 08/05/20202

    Mtoto wa Muhubiri maarufu TB Joshua, Serah Joshua leo anafunga ndoa na Brian Moshi wa Sinoni mkoani Arusha. Picha wakiwa wanatoka katika nyumba ya Mapadri wa Parokia ya Moyo Safi wa Bikira Maria Unga Limited, wakijiandaa kuingia kanisani. Picha na Daniel Sabuni. Mtoto wa TB Joshua, Serah...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya miaka 4 ya ajali ya watoto wa Lucky Vincent iliyotokea Arusha mwaka 2017

    Simanzi na majonzi kutoka kwa wazazi, walimu na wanafunzi wa St Lucky Vincent katika kumbukumbu ya ajali iliyouwa watoto 32, walimu wawili na dereva mmoja mnamo Mei 6 2017. Mamia ya watu walihudhuria katika ajali hiyo iliyo tokea mei 6,2017 katika wilaya ya Karatu mkoani Arusha ambayo iliibua...
  6. JamiiForums Tanzania Nanunua mahindi bei 350/kg nipo Arusha

    Habari wadau wa nafaka nanunua mahindi yawe yamekauka vizuri sana yasiwe na uchafu bei ni 350/kg malipo ni baada ya kushusha mzigo. Tupo Arusha tunanunua kuanzia tani 10, mahitaji yetu ni tani 100. Mawasiliano 0622115570/0784418789
  7. JamiiForums Tanzania Urgently Sales people Needed (Mbeya, Mtwara and Arusha)

    Habarini Wakuu, Urgently Sales people Needed as specified Location above, Please forwards your CV to mkisidamalizi@gmail.com before 8/05/2021 . Please specify your currently location on your Mail. Company; Keeway Motor Tanzania Ltd. Location; Mbeya, Mtwara and Arusha. Position: Sales Personal
  8. B

    JamiiForums Tanzania Bila rushwa hupati cheti cha Kifo au Kuzaliwa RITA mkoani Arusha

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba kupata cheti cha kuzaliwa au kifo kutoka ofisi ya kutoa vyeti hivyo (RITA) Mkoani Arusha ni shughuli kubwa sana. Ukifika mara ya kwanza unakuta foleni ndefu ya ajabu. Ukifanikiwa kuwakuta watendaji unapewa namba ya kulipia (Kontro namba) ukisha...
  9. JamiiForums Tanzania House4Rent Natafuta chumba cha kupanga (double) maeneo ya Paloti, Arusha mjini

    Hello! Habari wandugu kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza. Bajeti yangu 60,000 to 70,000. Asante.
  10. JamiiForums Tanzania Watatu wapoteza maisha kwa kufukiwa na kifusi Arusha

    Watu watatu wamefariki Dunia na wengine watatu wamejeluhiwa baada ya kuangukiwa na Kifusi wakati wanapakia Molamu katika Machimbo ya Molamu yaliyopo Kisongo Wilayani Arusha. Machimbo hayo yalishawahi kuuwa RAIA wengine na kufungwa na aliyekuwa mkuu wa Arusha ,Magesa Mulongo ,hata hivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Taasisi za Kihabari katika siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani (WPFD) iliyoadhimishwa kitaifa mei 3, 2021 Jijini Arusha, Tanzania

    HOTUBA YA TAASISI ZA KIHABARI KATIKA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI (WPFD) ILIYOADHIMISHWA KITAIFA MEI 3, 2021 JIJINI ARUSHA, TANZANIA Mhe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa; Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Iddi Hassan Kimata; Naibu Waziri wa...
  12. JamiiForums Tanzania Binti wa TB Joshua kuolewa Arusha

    Binti pekee wa mhubiri wa kimataifa wa Naijeria, Temitope Joshua almaarufu TB Joshua, anafunga ndoa jumamosi hii tarehe 8/5/2021 jinini Arusha. Binti huyo ajulikanae kwa jina la Serah anaolewa na kijana wa kichaga anaeitwa Brian Moshi. Ndoa itafungiwa kanisa la RC- Unga Limited na kufuatiwa na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA Arusha Mjini

    Nafasi ya kazi kuuza duka la vifaa vya TEHAMA: Kituo cha kazi: Arusha mjini Mwisho wa kupokea maombi: 14 May 2021 Taarifa kuhusu kazi: Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA (Computer networking accessories). Kazi za kufanya: • Kuuza vifaa vya data kwa wateja watakaofika...
  14. JamiiForums Tanzania ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

    Askari Polisi saba wakiwemo watano wa kituo cha Polisi Usa Wilayani Arumeru Mkoani Arusha na wawili wa Kituo Kikuu cha Polisi Arusha wamefukuzwa kazi kwa fedheha kwa kosa la kushawishi na kuomba rushwa ya shilingi milioni 100. Wiki iliyopita Kamanda wa TAASISI ya Kuzuia na kupambana na Rushwa...
  15. JamiiForums Tanzania New Government Vacancies UTUMISHI At Arusha Technical College (ATC), April 2021

    3.0.1 JOB TITLE: INSTRUCTOR II – 2 POSTS 3.0.3 JOB TITLE: MECHANICAL ENGINEERING DEPARTMENT – 1 POST 3.0.2 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To teach up to NTA level 6 and may assist teaching in higher NTA levels; ii. To assist in conducting tutorial and practical exercises for students under...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna Mvua kubwa sana Arusha. Mikoa mingine hali ipoje?

    Kuna mvua Kubwa sana inanyesha hapa usiku huu Nipo ndani lakini nahisi ni ya mawe, Hata usingizi hauji kutokana na hofu. Mvua ni kubwa kwa kweli kama itakuwa na madhara kesho tutapata taarifa rasmi.
  17. JamiiForums Tanzania Bei halisi ya kiwanja 20x20 kwa Moshono Arusha

    Habari wanajamii forums, Nilikuwa naulizia bei ya kiwanja 20x20 kwa maeneo ya Arusha hasa moshono,maana mdau kaniambia sio chini ya milioni 10,kwa wadau WAZOEFU kiwanja ukubwa huo naweza kukipata kwa bei gani ambayo ni halali kabisa. Ahsanteni.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Waziri mwenye mamlaka chunguza Idara ya Kazi mkoa wa Arusha

    Wasalam! Mkoa wa Arusha naweza sema kumekuwa na malalamiko mengi sana juu ya ukiukwaji wa sheria za kazi hasa kwa makampuni binafsi. Naomba nisiyataje hapa ila nishauri tuu kuwa ipo haja ya kupitia malalamiko ambayo ni mengi mno yamefikishwa idara ya kazi mkoa wa Arusha lakini bahati mbaya...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bitter Kenyans are still trying to frustrate EACOP

    Case against pipeline project delays in Arusha WEDNESDAY APRIL 21 2021 By LUKE ANAMI A case seeking to stop construction of the oil pipeline from Uganda to Tanzania for failing to conduct an environmental and social impact assessment has failed to take off even as the two countries proceed with...
  20. JamiiForums Tanzania Nipo Arusha natafuta kazi yoyote

    Kama wahenga walivyosema kwenye miti huwa hapakosi wajenzi Mimi ni kijana umri wangu miaka 25 natafuta kazi jamani ya Aina yoyote elimu yangu ni kidato Cha sita ni kijana muaminifu na mtiifu pia jamani nataka kufungua ukurasa mpya kwenye maisha yangu ukweli ni kwamba. Nilikuwa kwenye moja ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…