Sabaya kesho kujulikana kama ana kesi ya Kujibu ama la!!

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Mahakama ya hakimu Mkazi Arusha kesho inatarajia kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha na kupora Mali na fedha inayomkabili Sabaya na wenzake wawili iwapo Sabaya na wenzake kama wanakesi ya Kujibu ama la.

Uamuzi huo utatolewa kesho majira ya saa tatu asubuhi na hakimu Mkazi Mwandamizi, Odira Amworo baada ya upande wa jamhuri kukamilikasha mashahidi 11 wa mashtaka.

Pia hakimu ametupa pingamizi la mawakili wa utetezi waliopinga kuwasilisha mahakamani baadhi ya vielelezo na kukubali vielelezo hivyo vitumike kama ushahidi katika kesi hiyo.

IMG_20210806_091156_874.jpg
 
Sikumjua sabaya, bali staili tu SWAPO viwanja vya mahakama ni MTU mwenye dharau,kiburi na kujiamini kupita kiasi.ni kama mwanaharakati wa Shari. Hivi ilikuwaje akawa Mkuu wa wilaya,watumishi wa ofisi ya mkuu wa wilaya watakuwa na mengi
 
Back
Top Bottom