arusha

  1. T

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam ni kupoteza muda na Gharama

    Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Marekani ni sahihi kabisa ila kuzindua Filamu Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam ni kupoteza muda. Kama serikali ilikua serious ilipaswa filamu hiyo baada ya kuzinduliwa Marekani, ikazinduliwe Ulaya na Kisha Asia kama Japan, China, South Korea, Malaysia...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwijaku: Arusha ndio mji pekee Mlima Kilimanjaro unapatikana

    Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro. Mwijaku amekuwa...
  3. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mapokezi kesho Arusha: Watu wanalazimishwa kufanya usafi

    Hiyo Kesho shamra shamra za kuzindua Filamu Arusha. Watu wanalazimishwa kutoka na kufanya usafi mitaani. Kama ni udikteta ndio huu.
  4. Shujaa-zamani

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

    Hamjambo! Nitaenda nchi la Tanzania kukaa katika eneo la mto wa Usa. Mini ni mtu mweusi na mwanaume. Ninataka kuunganisha na jamii ya Usa. Je, kuna vitambaa amavyo ninapaswa kuvaa? Nikitaka vitambaa vilivyotengenezwa, nitanunua wapi? Nitapofika ninaweza kupata wapi vikundi vya kijamii, ni...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtandao wa kuteka, kubaka, kupora wanawake maarufu waanza kudakwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kuwa ni viongozi wa mtandao wa utekaji, uporaji na ubakaji wa wanawake maarufu jijini hapo. RPC wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha kukamatwa kwa watu hao na kuongeza kuna wengine wawili wamekamatwa wakihusishwa na tukio...
  6. Abuu omary

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Package Designing

    Karibu Africa Rise Up, upate design ya uhakika ya bidhaa yako kutoka kwa professional designers wetu. Tunapatikana Mianzini Mataa. Bei:35000/= Tupigie namba: 0788 429 756 0752 466 942
  7. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania The Royal Tour ndani ya Arusha April 28, 2022

    Hongera Mkoa wa Arusha, mmepata upendeleo. Royal Tour ndani ya jiji, ndani ya ukumbi wa AICC. Tarehe tajwa hapo juu. Ngoja tuone uzinduzi huo wa kwanza Tanzania na wa aina yake Mgeni Rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Sita wafariki ajali ya Lori, Noah

    Watu sita wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa katika ajali ya gari baada ya Toyota Noah kugongana na Lori aina ya Scania katika eneo la Alkatani, Kata ya Sepeko, Tarafa ya Kisongo Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha usiku wa kuamkia leo Aprili 20, 2022. Ajali hiyo imetokea katika...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia Arusha bado upo juu, wasichana ni waathirika wakubwa

    Vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto Mkoani Arusha bado vipo juu, hivyo elimu zaidi inatakiwa kutolewa kuhakikisha jamii inaepukana na vitendo hivyo. Aidha, takwimu za mwaka 2021 zinaonyesha kuwa kwa Mkoa wa Arusha jumla ya wanawake 4,510 walifanyiwa ukatili wa kijinsia, huku...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Day Care na shule za chekechea Arusha zimeshamiri kulikoni?

    Ggg
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kama ni mkazi wa Arusha na taa za gari yako zina ukungu au zimefubaa karibu tukung'arishie kwa bei nafuu

    Hii ni kwa wale walioko Arusha Mjini, na taa za magari yao zina ukungu au zimepauka. Tunang'arisha taa hizo kwa kutumia kifaa maalum na kuzirudishia mng'ao wake kwa gharama nafuu kabisa. Tupigie kwa simu namba 0621 846107 (call/WhatsApp). Huna haja ya kutembelea taa isiyomulika vizuri kwa...
  12. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujuzwa kuhusu kozi ya Mechanical Engineering Arusha Tech

    Habar wakuu! Naomba kujua kama chuo cha Arusha Tech wanatoa certificate ya Mechanical engineering na vigezo vyao ni vipi? Ada yao ni kiasi gani? Mazingira ni rafik kwa usomaji?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara ya mtumba

    Nampango wa kuanza biashara ya kuuza mtumba (men jeans) kwa kufungua mabalo plz jeans yeyote ndugu zangu mwenye ujuzi Naomba ushauri kuhusu biashara ya hii pia naombani kwa anaejua wauzaji wa mabalo kwa Arusha
  14. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Watoto wa mtaani wa Arusha

  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa CAF mwaka 2022 kufanyika Arusha, Agosti 10, 2022

    Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepitisha kuwa Mkutano Mkuu wa 44 wa Kawaida wa CAF utafanyika Agosti 10, 2022 Jijini Arusha, Tanzania. Katibu Mkuu wa CAF, Veron Mosengo-Omba amesema kuwa kwa mujibu wa Katiba ya CAF kifungu cha 17(4) na 17(5) Mkutano huo unafanyika mara...
  16. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Moshi: Meya Juma Raibu ang'olewa kwa kupigiwa kura za kutokuwa na imani naye

    Kura 18 zimemkataa. Alikuwa na kashfa ya kushiriki birthday ya shoga mmoja hapo Moshi. Ni kashfa iliyotrend sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari kama magazeti. Nafikiri ndio hiyo imemng'oa labda kama kuna sababu nyingine tutajua Kapigiwa kura Leo, 18 zimemkataa na 10 zimemkubali...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Arusha na Kagera wana Wabunge wa Majimbo Bungeni?

    Kwanza niseme bunge la sasa laweza vunja rekodi ya utoro, viti asilimia kubwa vipo empty. Lakini Mkoa wa Arusha umekuwa ukituma watu wenye tija kwa nchi Bungeni, leo hii hakuna Mbunge hata mmoja anayezungumza Bungeni ni kama hakuna wawakilishi Kagera tofauti na Mbunge wa viti maalumu wengine...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanawake 500 wapata mimba kwa upandikizaji Arusha

    Mwanamke mmoja (50), amefanikiwa kupata watoto mapacha kwa njia ya upandikizaji mimba jijini Arusha. Mwanamama huyo ni mmoja kati ya wanawake 500 waliofanikiwa kupata watoto kwa huduma hiyo inayotolewa na kituo cha Huduma ya Uzazi na Upandikizaji Mimba cha Avinta Care Medical kilichopo jijini...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania ICT Security Specialist at Institute of Accountancy Arusha

    VACANCY ADVERTISEMENT The Institute of Accountancy Arusha is a parastatal academic institution offering Undergraduate and Postgraduate training programmes. It is established by the Institute of Accountancy Arusha Act No.1 of 1990 and is located at Njiro Hill, seven kilometers Southern-East of...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Michuano ya Golf ya Mount Kilimanjaro Klassic iliyokuwa ifanyike Arusha IMEFUTWA, washiriki wamelipwa fidia, sababu hazijulikani

    Michuano ya Mchezo wa Gofu ya Kilimanjaro Golf Tourney ‘Mount Kilimanjaro Klassic’ ambayo imepangwa kufanyika Arusha, wiki ijayo, imefutwa na wachezaji husika ambao walikuwa katika maandalizi ya mwisho kwa ajili ya kushiriki wamejulishwa. Michuano hiyo ilikuwa itumike kama sehemu ya kutangaza...
Back
Top Bottom