Natafuta Wateja wa Websites. Niko Arusha

libera

Member
Mar 14, 2022
15
15
Habari za wakti huu;

Kwa jina naitwa Libera Niko Arusha ni binti wa miaka 22.Ninafanya biashara ya kuuza website na bidhaa nyingine za kidigitali.Mwanzoni nilikuwa nafanya shughuli ndogo ndogo lakini nikapata mwalimu akanifundisha jinsi ya kutengenza website kwa kutumia wordpress.Kwa sasa natafuta wateja ambao wanaweza kuniunga mkono katika biashara yangu ili niweze kumudu maisha na kuepuka kuwa Tegemezi.

Najua kuna watu ambao wanahitaji websites huku.Naomba mniunge mkono mimi mdogo yenu.Kama utakuwa Arusha au mkoani nitakufanyia kazi kwa uaminfu mkubwa na gharama nafuu.

Gharama zangu ni kama ifuatavyo:

Domains zote zinaanzia shiling 35000 kwa mwaka
Hosting ya wordpress inaanzia shilingi 45,000 kwa mwaka uunapata 3mail 2
Designing ya website nafanya 15000 kwa kila page
Hosting kwa CPANEL inaanzia shilingi 115000 kwa mwaka unakuwa na email kwa idadi yoyote
Email za google workspace ni shilingi 16500 kwa mwezi kwa moja domain ni 35000 kwa mwaka
Dedicated server kwa ajili ya hosting inategemea na size unayotaka
Mfumo wakutunza kumbukumbu za biashara kwa njia ya mtandao ni shilingi 35000 kwa mwaka
Mfumo wa kutunza kumbukumbu za biashara wa kuinstall kwenye mashine yako ni shilingi 25000(Nainstall remotely)

Mfumo wa EFD kwa njia ya intanet ambao unaweza kutumia kwenye compyuta au simu bila kuhitaji mashine za efd za kawaida ni shilingi 175,000 kwa mara yakwanza na shiling 70,000 kila mwaka.Ukihitaji pamoja na printer maalum ya risiti ni shilingi 325,000

Iwapo unaweza kuniunga mkono au unamfahamu mtu anayehitaji moja ya huduma hizi naomba tuwasiliane pm au nitumie email:liberaenock1@gmail.com

Asanteni na Mungu awabariki
 
Umejifunza bila kusoma computer science,IT nk kama degree au diploma?
 
Umejifunza bila kusoma computer science,IT nk kama degree au diploma?
Sijasoma degree wal diploma ya IT,Nimejifunza na hata sasa bado najifunza na pia huwa nafanya kazi kwa kushirikiana na wengine hasa pale ninapokwama.Kama una uzoefu pia tunaweza kufanya kazi pamoja.

Karibu
 
Nitumie namba yako kwa email nitakupigia.Kwa sasa hivi namba yangu ni binafsi ila soon nitaweka namba ya kazi na nitaiweka humu.
 
Habari yako kuna unaweza shulirikaina nasi katika akzi zetu, huduma yetu ya website hosting inaanzia 3500 kwa mwezi na unapta aunlimited emails na kila email inakuja na 10GB....
 
Habari yako kuna unaweza shulirikaina nasi katika akzi zetu, huduma yetu ya website hosting inaanzia 3500 kwa mwezi na unapta aunlimited emails na kila email inakuja na 10GB....
Reseller account utaniuzia bei ngapi kwa mwaka?
 
Mi nataja website ya kuuzia ngua za kike na accessories zao. Web ni sh ngapi kutengeneza. Kama una mifano tuonyeshe.
 
Back
Top Bottom