Serikali kupitia uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imechukua hatua za kuboresha miundombinu ya barabara kwa kuhakikisha ujenzi wa barabara ya Esso - Long’dong mkoani Arusha, yenye urefu wa kilomita 1.8 unaanza hivi karibuni. Barabara hii inayounganisha...
📌NIRC, Monduli
SERIKALI ya Awamu ya Sita ,kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini Mkataba Wa kukarabati skimu zilizopo katika bonde la Mto wa Mbu Wilayani Monduli, kwa gharama ya shilingi bilioni 17
Mradi huo unajumuisha ukarabati wa mifereji yenye urefu wa jumla ya Mita...
Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Kiranyi wilayani Arumeru Mkoani Arusha wamefunga Barabara kwa saa kadhaa kwa mawe na Magogo wakiishinikisha serikali kuikarabati.
Soma Pia: Wananchi Hai, Simanjiro na Arumeru wafunga barabara kwa saa nne waitaka Serikali kutatua changamoto
Barabara hiyo ya...
“Mikutano hii tunayoiona ni namna Rais alivyoamua kutekeleza Diplomasia na Rais alisema anataka kuifungua nchi na moja ya namna ya kuifungua nchi ni pamoja na mikutano hii. Na mikutano mikubwa ndio inayotangazwa zaidi lakini niseme mikutano midogo ya Kimataifa ambayo inafanyika Tanzania ni mingi...
Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha limeunga mkono uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kumteua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kugombea tena nafasi ya urais katika uchaguzi ujao.
Wazee hao walionyesha uungwaji mkono wao kwa kauli ya “Mitano tena” mbele...
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo anazungumza muda huu lengo ni Uhamasishaji wa Kutoa Elimu a Nishati Safi kwa Viongozi wa Baraza la Wazee Arusha
Karibu kufuatilia kinachoendelea.
https://www.youtube.com/live/jEzBkft9o9g?si=uw038dewWr2M8B72
Akizungumzia ushirikishwaji wa kundi la wazee...
Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua.
Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa...
Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa
Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na unafuu kidogo wa maisha
Mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge,uwekezaji wa Umma PIC, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatatu Februari 17, 2025 amewakaribisha wajumbe wa kamati hiyo ambao ni wabunge wa Bunge la Tanzania kutumia mafao yao kwenda kuwekeza Jijini humo, badala ya kutumia Mafao hayo ya...
TARURA ARUSHA YAAGIZWA KUHARAKISHA UJENZI DARAJA LA OLTUKAI-MONDULI
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais- TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amemuelekeza Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha kusimamia kwa haraka hatua za manunuzi kwa ajili ya ujenzi wa Daraja katika...
John Peter ni nani kwake? Kwanini ametoa taarifa kwa umma ya kumlinda kwa kusema dereva alishambuliwa na kitu chenye ncha kali wakati alishambuliwa kwa risasi!
https://x.com/tanpol/status/1889867546050039931?t=oqQZKG55TfluM2K6FrYdqg&s=19
Sikiliza mashuhuda waliokuwepo eneo la tukio wakitoa...
Ndugu Zangu Watanzania,
Nimemsikia Mbunge wa Arusha Mjini Mheshimiwa Mrisho Gambo akisema na kulalamika kuwa ni aibu Kwa Arusha kukosekana kwa Stendi kubwa na ya kisasa Mkoani Arusha.
Lakini ikumbukwe na kuwakumbusheni na kumkumbusha Mheshimiwa Mrisho Gambo kuwa Kabla ya kuwa Mbunge Amekuwa DC...
Ndiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo...
Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
KUH; MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA UKEKETAJI DHIDI YA MWANAMKE NA MTOTO WA KIKE TAREHE 6 FEBRUARI, 2025
Dar es Salaam, 02 Februari, 2025
Ndugu wanahabari, tarehe 6 Februari, 2025 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga ukeketaji dhidi ya mwanamke na mtoto wa...
Wakuu, umeibuka wizi ambao ningependa kuwasilisha ili mamlaka husika ichukue hatua stahiki na kulinda heshima ya Jeshi la Polisi.
Jana, tarehe 4/2/2025, majira ya saa 1 jioni, majirani zangu wawili walikuwa maeneo ya Njiro, Kata ya Lemara, mtaa wa Korongoni wakitembea kuelekea barabara ya East...
Salama wakulal?
Kuna shida hapa Arusha, haisi za kwenda njiro ikifika saa tatu usiku nauli inapanda kutoka mia sita kwenda buku!
Kwanini wanafanya hivyo wakati nauli inajulikana ni mia sita?
Declaration of Interest: Mimi nimeoa mmeru Arusha Town.
Pamoja na mapungufu madogo madogo kwenye jamii ya watu wa Arusha bado ni jamii bora sana kama unataka Mke wa kujenga familia na Taifa kwa ujumla.
Ustawi wa Wanao na Ukoo wako ktk Jamii hutegemea sana malezi mazuri kwa Watoto wako kutoka...
Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Arusha Saipulani .A. Ramsey amesema wao kama mkoa wanamuombea Mungu Rais Samia Ushindi wa Heshima na watanzania wote wakae tayari kuyapokea maisha mazuri katika miaka mitano mingine ya Dkt.Samia Suluhu Hassan iliafanye ile kazi ya wananchi kwa kuyapokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.