arusha

  1. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kitu gani kinautambulisha Arusha kama lango la Utalii?

    Mapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii. Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya Utalii? Wageni wengi wa ndani na nje ya nchi wanajiuliza swali hilo hilo hawapati majibu? Ukifika...
  2. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kilichonipa huzuni kuu kwenye iftari ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Bwana Makonda

    Nilipata nafasi nikahudhuria tafrija hiyo fupi iliyoandaliwa na ofisi ya Mkuu wa mkoa Arusha , Kuna mambo machache sana nilijionea yaliyonitoa machozi Kwa muda mfupi niliokaa hapo. Kwanza kabisa watu waliokuja kupata iftari wengi wao walikuwa watu wa kawaida au tunaweza sema watu wa hali ya...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Arusha International Iftar kurushwa live CNN, BBC & Al Jazeera

    Tukio la kutikisa dunia Arusha International Iftar (AII) limerushwa mubashara na Vituo vikubwa vya Televisheni Duniani. Hongera Dr
  4. musicarlito

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda anapata wapi pesa za matamasha na shughuli kama za kulisha watu wote wa Arusha Nyama Choma?

    Wasalaam Bila shaka kama kusingekuwa na makandokando yanayosemwa au kutuhumiwa,pamoja na kauli yetu ya kukiri udhaifu.."binadamu hajakamilika"...lakini basi lau tukachukua katika mizania mtu kama mhe.Antony Mtaka angekuwa anafanya kazi hizi za Makonda...basi Mhe.Paul Makonda ni kiongozi bora...
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha; mkuu wa mkoa Paul Makonda afuturisha watu zaidi ya elf Tano (5,000) leo

    Maelf ya wakazi wa mkoa wa Arusha wakiwa kwenye futari.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Madiwani wagoma kuligawa jimbo la Arusha mjini mara mbili

    Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji. Madiwani wamekataa kwa pamoja madai ya kuligawa Jimbo la Arusha kwa madai kuwa halina...
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha watamalizwa na pikipiki

    Tumetoka arusha asubuhi tumeenda Rombo kumzika jamaa yetu aliyekufa kwa ajali ya pikipiki Wakati tunarudi usiku saa mbili nakutana na ajali ya pikipiki kijana kapata ajali kafa hapo hapo kichwa kimepasuka. Nafika Arusha nakutana Tena na msiba kijana kafa kwa ajali ya pikipiki. Kesho asubuhi...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali yaridhishwa kukamilika mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira

    Arusha, 22 Machi 2025 – Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Japheth Asunga (Mb), ambaye pia ni kiongozi wa msafara wa Kamati hiyo, ameongoza ziara ya ukaguzi wa utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira katika Jiji la...
  9. tamuuuuu

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha tumekuwa tunakatiwa maji pasipo utaratibu na mamlaka za maji

    Ndugu waziri wa maji Juma Aweso pole kwa majukumu. Kwa masikitiko makubwa baadhi ya wananchi huku Arusha tumekuwa tunakatiwa maji pasipo utaratibu na mamlaka za maji.Ukataji umekuwa ni wa kibabe na hakuna makubaliano wala maridhiano.Watu wa maji wanafungua mageti ya watu bila taarifa kwa...
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye mchakato wa kujenga multipurpose indoor arena 4 (Dar es salaam, Zanzibar, Arusha na Dodoma)

    Tanzania hatuna indoor arena ya kubeba kati ya watu elfu 15 mpaka 20 hii inafanya kufanya event nyingi kuwa changamoto kwa Tanzania Kuwepo kwa indoor arena kutavutia events nyingi kufanyikia Tanzania sababu miundombinu kama indoor arena itakuwepo Events nyingi recently zimekua zikifanyikia...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa dini Arusha wamuombea Dua, Mrisho Gambo na Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo amefuturisha viongozi wa Dini ya Kiislam, Yatima na Wajane zaidi ya 1,000 siku ya Jumamosi ya Tarehe 22 March 2025 Jijini Arusha. Kwenye hafla hiyo viongozi wa Dini wamemuombea DUA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gambo afuturisha Arusha, asema anajivunia kuwa sehemu ya shughuli hiyo ya kujenga jamii iliyojaa huruma na upendo

    Wakuu naona Iftari zinaendelea kwa wingi Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameandaa Iftar maalum kwaajili ya watoto yatima na viongozi wa dini, iliyofanyika jana Machi 22, 2025. Hafla hiyo ya Iftar iliwaleta pamoja watoto yatima waishio katika maeneo mbalimbali ya jiji la Arusha...
  13. Bromensa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha kuna nini, Kwanini kila kitu kinafanyikia huko?

    Arusha kufanya kongamano la kumpongeza Rais Samia kutimiza miaka minne ya uongozi.
  14. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwe mashindano ya tennis ya kimataifa ya serengeti open yatakayofanyika Arusha kila mwaka

    Kama kisemavyo kichwa cha habari kuanzishwe mashindano ya tennis ya kimataifa yatakayofanyika arusha mjini na yatakua na faida lukuki kwa nchi kama ifuatayo Kutangaza vivutio vya utalii kama serengeti na mlima kilimanjaro na vitaondoa ule uvumi kwamba mlima kilimanjaro na serengeti vipo Kenya...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mama lishe Arusha wamshukuru rais Samia kwa kuwapa nishati safi ya kupikia

    Wanawake wajasiriamali kutoka Mkoani Arusha wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa uwezeshaji wake wa Mitungi ya gesi takribani 1,000 iliyogaiwa bure kwa wajasiriamali wa chakula Mkoani Arusha, wakisema matumizi ya nishati safi hiyo yamekuwa na manufaa makubwa kwao. Kupata matukio na taarifa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu (BoT) Arusha nani anailinda hii taasisi inayoitwa IVOJ inayotoa mikopo maeneo ya Kilombero!

    Kuna taasisi ipo pale Kilombero jijini Arusha jengo la Summit Centre inaitwa IVOJ inatoa mikopo. Taasisi tajwa ni zaidi ya kausha damu, riba ni kubwa sana, ukichukua Milioni moja unarudisha zaidi ya Milioni moja na laki 8. Mbaya zaidi na kinachodhalilisha wamekusanya kadi za benki za hao wateja...
  17. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Arusha Technical College mnachezeamuda na pesa za watu

    Ukistaajabu ya Musa...Arusha Technical College ni kati ya vyuo Bora na vyenye sifa nzuri hasa kwenye swala la ufundi ndo maana serikali imeipa pia jukumu la kufundisha madereva na kutoa vyeti vinavyotambukilika na serikali. Ili kuwezesha hili ATC inapaswa kusajiliwa katika mfumo unaounganisha...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania MIRADI YA MAJI ARUSHA:Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inaendelea na Mradi wa Majisafi wa Mirerani

    MIRADI YA MAJI ARUSHA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inaendelea na Mradi wa Majisafi wa Mirerani. Mradi huu unagharimu shilingi bilioni 4.3 na utahudumia wakazi wapatao 57,607 wa Kata za Endiamtu na Mirerani zinazounda mji mdogo wa Mirerani na kwa sasa...
  19. robbinhood

    JamiiForums Tanzania Inaitajika Toyota Passo, vits au IST, Arusha

    Habari, inaitajika Toyota Passo, vitz au IST Bajeti: ni 5M - 6M Eneo: Arusha
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa mitungi 1,000 kwa mamalishe na babalishe wa mkoa wa Arusha

    Kwaniaba ya Rais Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amekabidhi mitungi ya Gesi 1000, kwa Umoja wa Wajasiriamali wanaopika chakula Mkoani Arusha (Mamalishe na Babalishe), akiwasihi kuendelea kumuombea kheri kutokana na mapenzi yake makubwa...
Back
Top Bottom