arusha

  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Nashauri Rais Samia ambadilishie kituo cha kazi Paul Makonda. Arusha inatosha, aende mahali pengine

    Joto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana ! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia ! Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba yaifuata Coastal Union Arusha bila Camara na Che Malone

    Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es Salaam leo asubuhi kuelekea jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union utakaopigwa keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Simba yenye pointi 51 inahitaji ushindi katika mchezo huo ili kuendelea kuipa upinzani...
  3. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Mtu ni Afya kwa sasa imewafikia Namanga Arusha

    Kampeni ya Mtu ni Afya kwa sasa imeufikia mkoa wa Arusha na tarehe 27 Februari 2025 imeendelea katika Wilaya ya Longido mji wa Namanga na kata zake lengo ikiwa ni kuwafikia wakazi wa meeneo yote kuwaeleza manufaa ya afua tisa za kampeni hiyo. Judithi Meela ni Afisa Afya wa Wilaya ya Longido...
  4. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Diwani wa Kimandolu Arusha akishirikiana na mwenyekiti wa mtaa wa Kitengare kugandamiza na kukwamisha haki ya mwananchi

    Hapo vip! Kwanza nianze kwa kumpa pole huyu mwananchi kwasababu viongozi wengi sana wa kiafrika ni watu wanaopenda rushwa,kuabudiwa,kunyenyekewa na kutukunza ila haya yote ni kwasababu ya umaskini,ujinga,IQ ndogo, na asili ya kiafrika..nimesema haya kwasababu wazungu hawana hizi mambo. Sasa...
  5. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Meya jiji la Arusha: Tutahakikisha tunafunga CCTV Camera mitaa ya Arusha

    Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Matle Iranqhe, amesema Halmashauri ya Jiji hilo imetenga zaidi ya shilingi bilioni 4 kwa mwaka wa fedha 2025 kwa ajili ya kuboresha miundombinu, ikiwemo ununuzi wa mitambo ya kutengeneza barabara. Akizungumza na waandishi wa habari Februari 26, 2025, Meya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Dalili mojawapo ya umasikini ni majungu na fitina

    Vita ya makonda na Gambo inaendelea kupaba moto huko Arusha, Makonda adai dalili mojawapo ya umasikini ni fitina na majungu. Yanini kupanda fitina, fitina, fitina huu ushirikina mtaacha lini jamani? Sababu unajua dalili mojawapo ya umasikini ni majungu, fitina, yani ukikuta sehemu kuna fitina...
  7. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Waziri mkuu awasema viongozi wanaojipanga na kugombania vyeo

    Kunazidi kuchangamka sasa, ni kama ujumbe umetumwa kwa machalii wa Arusha, Gambo na Makonda === Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa kisiasa na wa dini kuwa mstari wa mbele katika kuhubiri amani na mshikamano, akisisitiza kuwa migogoro mingi ya...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Sisi tunamgombea wetu, Makonda tutamjazia fomu kwa lazima

    Baadhi ya wananchi vijana wameungana na madiwani wa Arusha Mjini kumtaka Paul Makonda ambaye kwa sasa ni mkuu wa Mkoa wa Arusha kuchukua hatua ya kugombe nafasi ya Ubunge katika jimbo la Arusha Mjini Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa za uwakilishi za Arusha mjini zimeharibika sana na kukosa ustaarabu kabisa

    Kuna habari nimieona ambapo madiwani wa Arusha mjini walikuwa kwenye kikao rasmi cha kazi. Jambo la kusikitisha ni kwamba hicho kikao kilikuwa kama kikao cha chama huku watu wenye maslahi yao binafsi wakifanya siasa za minyukano. Mambo mengine ya ajabu katika hiko kikao ni pamoja na diwani...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo hauhitajiki tena Arusha, Mwachie Paul Makonda

    Kwa sasa, ni wazi kabisa kwamba Mheshimiwa Paul Makonda hana mpinzani wa kweli kwa ushawishi alionao hapa Arusha Mjini. The undeniable truth is that the regional commissioner of Arusha possesses exceptional administrative ability and an innovative mindset, always bringing tangible development...
  11. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Arusha Mjini - Siyo Gambo wala Makonda - CCM iwatose wote.

    Ni dhahili kuwa wote wawili wana makundi makubwa ndani ya CCM * Kundi la Makonda pekee halitoshi kuipa ushindi CCM; Lkn pia kundi la Gambo pekee halitoshi kuipa ushindi CCM. * Kundi lolote litakalojibagua na kuunga mkono upinzani ni wazi kuwa CCM itakuwa na hali ngumu sana; * Kwa msingi...
  12. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini

    Baraza la Madiwani mkoani Arusha kwa pamoja limeridhia na kumuomba Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda kugombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini. Je uamuzi huu wa madiwani wa jimbo hilo ni kwambaa wamekosa imani na Mbunge wa sasa anayemaliza muda wake, Mrisho Mashaka Gambo? Soma zaidi: Pre GE2025...
  13. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Longido Arusha: Shirika la World Wildlife Fund (WWF) lapeleka miradi ya unenepeshaji mbuzi vijiji 4 kulinda uhifadhi

    SHIRIKA la World Wildlife Fund (WWF), limepeleka kwa wananchi wa vijiji vinne vya Alaililai, Gelai Lumbwa, Noondoto na Orpurkeri katika Wilaya ya Longido, mkoani Arusha, miradi ya kiuchumi ya unenepeshaji wa mbuzi, ili kuwasaidia wananchi hao kuwa na kipato mbadala,kitakachowasukuma kuachana na...
  14. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 NIRC wasaini mkataba wa bilioni 17 ukarabati skimu za umwagiliaji bonde la mto wa Mbu Arusha

    SERIKALI ya Awamu ya Sita ,kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini Mkataba Wa kukarabati skimu zilizopo katika bonde la Mto wa Mbu Wilayani Monduli, kwa gharama ya shilingi bilioni 17. Mradi huo unajumuisha ukarabati wa mifereji yenye urefu wa jumla ya Mita 37,484.71, sawa na...
  15. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Mwanafunzi wa darasa la 6 abakwa hadi kuzimia

    Mwanafunzi wa darasa la 6 mwenye umri wa miaka 11 anaesoma katika shule ya msingi Ungalimited amebakwa hadi kuzimia pamoja na kutoka damu nyingi na kijana ajulikanae kwa jina la kelvin anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25. Tukio hilo limetokea wakati binti huyo akiwa njiani akitoka shule...
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Philip Mulugo adai ukiona mbunge analalamika basi ujue huyo haudhurii vikao vya madiwani

    Adai yeye ni muhudhuriaji mzuri wa baraza la madiwani hata kama kutakuwa na vikao vya bunge yeye lazima ataenda kwenye vikao vya madiwani na wale wabunge wanaolalamika huwa hawaendi kwenye vikao. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  17. MoSantu

    JamiiForums Tanzania Arusha na mwanza ukijitafuta unajipata

    Wakuu habari zenu? Kuna hoja apo juu kwa upande wangu katika kuzunguka huku na huko nimekuja kupata majibu kwamba Arusha na Mwanza ni miji ambayo ukikaza kujitafuta unajipata. Nilikua na washikaji wanaishi Dsm wakati huo me nipo kaskazini, wakanishawishi kuamia dsm kweli bana nikasogea jiji la...
  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo: Barabara ya Esso - Long'Dong Arusha mjini kujengwa kwa kiwango cha lami

    Serikali kupitia uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imechukua hatua za kuboresha miundombinu ya barabara kwa kuhakikisha ujenzi wa barabara ya Esso - Long’dong mkoani Arusha, yenye urefu wa kilomita 1.8 unaanza hivi karibuni. Barabara hii inayounganisha...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania NIRC yasaini mkataba wa Bilioni 17 ukarabati Skimu za Umwagiliaji bonde la Mto wa Mbu Arusha

    📌NIRC, Monduli SERIKALI ya Awamu ya Sita ,kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini Mkataba Wa kukarabati skimu zilizopo katika bonde la Mto wa Mbu Wilayani Monduli, kwa gharama ya shilingi bilioni 17 Mradi huo unajumuisha ukarabati wa mifereji yenye urefu wa jumla ya Mita...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wananchi arusha wafunga barabara kwa saa kadhaa, kisa ubovu

    Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Kiranyi wilayani Arumeru Mkoani Arusha wamefunga Barabara kwa saa kadhaa kwa mawe na Magogo wakiishinikisha serikali kuikarabati. Soma Pia: Wananchi Hai, Simanjiro na Arumeru wafunga barabara kwa saa nne waitaka Serikali kutatua changamoto Barabara hiyo ya...
Back
Top Bottom