arusha

  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wananchi arusha wafunga barabara kwa saa kadhaa, kisa ubovu

    Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Kiranyi wilayani Arumeru Mkoani Arusha wamefunga Barabara kwa saa kadhaa kwa mawe na Magogo wakiishinikisha serikali kuikarabati. Soma Pia: Wananchi Hai, Simanjiro na Arumeru wafunga barabara kwa saa nne waitaka Serikali kutatua changamoto Barabara hiyo ya...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga ukumbi wenye uwezo wa kubeba watu 5000 Arusha

    “Mikutano hii tunayoiona ni namna Rais alivyoamua kutekeleza Diplomasia na Rais alisema anataka kuifungua nchi na moja ya namna ya kuifungua nchi ni pamoja na mikutano hii. Na mikutano mikubwa ndio inayotangazwa zaidi lakini niseme mikutano midogo ya Kimataifa ambayo inafanyika Tanzania ni mingi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hadi wazee sasa nao wamekuwa chawa, waunga mkono 'mitano tena' kwa Rais Samia

    Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha limeunga mkono uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kumteua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kugombea tena nafasi ya urais katika uchaguzi ujao. Wazee hao walionyesha uungwaji mkono wao kwa kauli ya “Mitano tena” mbele...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha Mjini: Mrisho gambo azungumza na wazee kuhusu uhamasishaji wa kutoa elimu nishati safi

    Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo anazungumza muda huu lengo ni Uhamasishaji wa Kutoa Elimu a Nishati Safi kwa Viongozi wa Baraza la Wazee Arusha Karibu kufuatilia kinachoendelea. https://www.youtube.com/live/jEzBkft9o9g?si=uw038dewWr2M8B72 Akizungumzia ushirikishwaji wa kundi la wazee...
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mke ampa kipigo mumewe hadi kumuua

    Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua. Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kijana anayeanza kujipata jijini Arusha, ni mazingira gani rafiki au mitaa gani rafiki anaweza anzia maisha ikiwezekana kujenga kabisa?

    Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na unafuu kidogo wa maisha
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Pesa za mafao ya ubunge tusiwape wajumbe, karibuni kuwekeza Arusha

    Mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge,uwekezaji wa Umma PIC, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatatu Februari 17, 2025 amewakaribisha wajumbe wa kamati hiyo ambao ni wabunge wa Bunge la Tanzania kutumia mafao yao kwenda kuwekeza Jijini humo, badala ya kutumia Mafao hayo ya...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TARURA Arusha Yaagizwa Kuharakisha Ujenzi Daraja la Oltukai - Monduli

    TARURA ARUSHA YAAGIZWA KUHARAKISHA UJENZI DARAJA LA OLTUKAI-MONDULI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais- TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amemuelekeza Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha kusimamia kwa haraka hatua za manunuzi kwa ajili ya ujenzi wa Daraja katika...
  9. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania RPC Arusha Anatosha Kwenye Nafasi Aliyonayo ya Kamanda wa Polisi?

    John Peter ni nani kwake? Kwanini ametoa taarifa kwa umma ya kumlinda kwa kusema dereva alishambuliwa na kitu chenye ncha kali wakati alishambuliwa kwa risasi! https://x.com/tanpol/status/1889867546050039931?t=oqQZKG55TfluM2K6FrYdqg&s=19 Sikiliza mashuhuda waliokuwepo eneo la tukio wakitoa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakulaumiwa kukosekana Stendi Arusha ni Mrisho Gambo ambaye amekuwa DC, RC na Mbunge wa Arusha. Ashirikiane na Makonda kuipata

    Ndugu Zangu Watanzania, Nimemsikia Mbunge wa Arusha Mjini Mheshimiwa Mrisho Gambo akisema na kulalamika kuwa ni aibu Kwa Arusha kukosekana kwa Stendi kubwa na ya kisasa Mkoani Arusha. Lakini ikumbukwe na kuwakumbusheni na kumkumbusha Mheshimiwa Mrisho Gambo kuwa Kabla ya kuwa Mbunge Amekuwa DC...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC Makonda Sifa nyingi kumbe Mkoa wa Arusha hauna Stendi ya Uhakika wa Mabasi na Wakazi wanalalamika Kutwa

    Ndiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mikutano mikubwa ya kimataifa Tanzania lazima ifanyikie Arusha na Dar tu?

    Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Manyara na Arusha ndiyo inayoongoza kwa kiwango kikubwa cha ukeketaji kwa 43%

    KUH; MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA UKEKETAJI DHIDI YA MWANAMKE NA MTOTO WA KIKE TAREHE 6 FEBRUARI, 2025 Dar es Salaam, 02 Februari, 2025 Ndugu wanahabari, tarehe 6 Februari, 2025 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga ukeketaji dhidi ya mwanamke na mtoto wa...
  14. Mowwo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi mpya umeibuka jiji la Makonda Arusha ukihusisha jeshi la polisi. Mamlaka naomba zichukue hatua

    Wakuu, umeibuka wizi ambao ningependa kuwasilisha ili mamlaka husika ichukue hatua stahiki na kulinda heshima ya Jeshi la Polisi. Jana, tarehe 4/2/2025, majira ya saa 1 jioni, majirani zangu wawili walikuwa maeneo ya Njiro, Kata ya Lemara, mtaa wa Korongoni wakitembea kuelekea barabara ya East...
  15. N

    JamiiForums Tanzania KERO Ikifika usiku nauli ya Njiro, Arusha inapanda mpaka Tsh. 1,000 kutoka Tsh. 600

    Salama wakulal? Kuna shida hapa Arusha, haisi za kwenda njiro ikifika saa tatu usiku nauli inapanda kutoka mia sita kwenda buku! Kwanini wanafanya hivyo wakati nauli inajulikana ni mia sita?
  16. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Arusha mashuhuda wasimulia dereva na konda walivyotekwa stendi mchana kweupe

  17. B

    JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha jamii ya Wameru wana utaratibu mzuri wa Kuwafunda Mabinti zao kuwa Wanawake bora kwenye Familia

    Declaration of Interest: Mimi nimeoa mmeru Arusha Town. Pamoja na mapungufu madogo madogo kwenye jamii ya watu wa Arusha bado ni jamii bora sana kama unataka Mke wa kujenga familia na Taifa kwa ujumla. Ustawi wa Wanao na Ukoo wako ktk Jamii hutegemea sana malezi mazuri kwa Watoto wako kutoka...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenezi CCM mkoa wa Arusha: Arusha tutampa kura za kishindo Rais Samia

    Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Arusha Saipulani .A. Ramsey amesema wao kama mkoa wanamuombea Mungu Rais Samia Ushindi wa Heshima na watanzania wote wakae tayari kuyapokea maisha mazuri katika miaka mitano mingine ya Dkt.Samia Suluhu Hassan iliafanye ile kazi ya wananchi kwa kuyapokea...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha jiji iangalie utaratibu wa bajaji za ngusero hadi chini ya mti(katikati ya mji) kutoza nauli kubwa kwa abiria

    Bajaji zakutoka ngusero kwenda chini yamti (katikati ya mji) Arusha mjini kutoza nauli kubwa kwa abiria tofauti na maelekezo ya mamlaka husika. Nauli elekezi ni 600/= bajaji wanatoza nauli ya 700/= ambayo nikubwa sana kwa abiri wa hali ya chini. Kama kina mama zetu wenye mitaji midogo...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Azimio la Arusha: Ni muhimu sana rais na cabinet yake yote waisome na kuielewa

    Hivi viongozi wetu wamesoma hii document ya Azimio la Arusha? Pesa tunaitaka, lakini tusifikiri yenyewe ndiyo italeta maendeleo ya nchi. Mikopo inaturudisha nyuma inafanya tuishi maisha magumu sana. Kodi zipo juu ili tu tuweze kulipa mikopo. 😭😭😭
Back
Top Bottom