Pichani anaitwa Kevin Charles.
Jina la maarufu hapa kibaha maili moja anaitwa Masai.
Ni kijana mzaliwa wa Arusha alikuja kibaha kwa harakati za kutafuta pesa KELVIN CHARLES alipata ajali ya pikipiki na kufariki dunia kipindi anakimbizwa katika hospital ya Tumbi majuzi Jumatatu jioni.
Mpaka...
Wasalaam
Sifa nyingi kapewa mhe.
Kahaidiwa na kupata kura nyingi
Shughuli hii ilikuwa ya kumpa 'mama' maua yake katika mlengo wa kisiasa hasa kupitia chama chake cha mapinduzi?(sina shida na hilo)
Au alialikwa kama mgeni rasmi kwenye sikukuu ya wanawake?
Kama jibu ni la kwanza heko shughuli...
“Mheshimiwa Rais, huu ndio Mkoa [Arusha] ambao kaka yangu Dkt. Nchimbi atakuja kukuletea idadi ya kura nyingi zilizopatikana kwenye uchaguzi. Haya nayasema kwa sauti ya unyenyekevu kwa sababu najua mkutano huu sio wa siasa, lakini nakuhakikishia Mheshimiwa Rais utapata kura nyingi sana.” – Paul...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametania kuwa nyama choma ya Arusha haina uhusiano wowote na mafundisho ya Dkt. Janabi kuhusu masuala ya afya.
"Mhe. Rais, sherehe zetu zilihitimishwa jana na ulaji wa nyama... Nyama ya Mkoa wa Arusha haina uhusiano na mafundisho ya Dkt. Janabi. Sisi...
Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025 Arusha
https://www.youtube.com/live/1noAQDGD9e8?si=MT9ZfW_E_QbmTDZl
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda akitoa salamu za mkoa
"Mhe. Rais, sherehe zetu zilihitimishwa jana na ulaji wa nyama... Nyama ya Mkoa wa Arusha...
Katika hatua ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, wachoma nyama mkoani Arusha wameahidiwa kupewa majiko yanayotumia nishati safi kwa ajili ya kazi yao.
Hayo yamesemwa leo Ijumaa Machi 7, 2025 na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda wakati akikagua maandalizi ya nyama choma kuelekea...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema wapenzi (couple) itakayopendeza kesho katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake itapewa zawadi maalumu.
Makonda ameyasema hayo leo Ijumaa Machi 7, 2025 alipokuwa akikagua eneo ambalo nyama choma italiwa bure kwa wakazi wa Arusha kuelekea maadhimisho...
Maonesho ya aina yake ya mbio za magari yanatarajiwa kurindima wakati Rais Samia akiwasili jijini Arusha na hiyo itakuwa ni sehemu ya staili ya kipekee ambayo inapangwa kama sehemu ya mapokezi hayo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda leo Jumatatu ya Machi 03, 2025 akiwa ameambatana na Waziri wa ardhi Deogratius John Ndejembi kutembelea mabanda kwenye maonyesho ya wiki ya mwanamke Jijini Arusha wamekutana uso kwa uso na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo.
Pia, Soma
Kumekucha...
Habari Wakuu,
Safari City ni mradi wa Satellite City uliobuniwa na NHC mwaka 2016 ni miaka 10 imepita bila mradi kuendelezwa ukienda sasa hivi unakutana na mapori, barabara zimefunikwa na nyasi, ni muda sasa wa kufufua mradi huu muhimu kwani uko pembezoni panapojengwa uwanja wa Afcon nashauri...
Mtoto mwenye umri wa miezi 9 amelawitiwa na baba yake mzazi hadi kufariki dunia.
Tukio hilo limetokea katika kata ya Olasiti mtaa wa Olasiti kati wilaya ya Arusha mjini.
Mwenyekiti wa mtaa wa Olasiti kati Bwana Bruno amethibisha kutokea kwa tukio hilo mtaani kwake na kusema kuwa marehemu ni...
Jeshi la Polisi la Mkoa wa Arusha kupitia mtandao wa Polisi Wanawake limetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye ulemavu wanaosoma katika kituo cha Mafunzo kwa Watu wenye ulemavu kilichopo wilaya ya Arumeru mkoani humo.
Mwenyekiti wa mtandao wa Polisi wanawake Mkoa wa Arusha (TPF NET)...
Heshima sana wanajamvi,
Tangu Makonda ateuliwe Mkuu wa Mkoa wa Arusha amekuwa ni mtu wa harakati nyingi sana ambazo kwa kiasi kikubwa kawaweka watu busy pasipo sababu za maana.
Makonda alianza na harakati za vipimo (Matibabu) katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.Zoezi hili lilileta faraja hasa...
Binti mmoja ajulikanae kwa jina la Hadija mwenye umri wa miaka 17 amefariki dunia baada ya kuchomwa visu kadhaa na kijana wa mwenye nyumba aliyofikia kufanya kazi.
Sababu za kijana huyo kufanya hivyo inaelezwa kuwa ni kijana huyo kutaka kumbaka binti huyo na ndipo yalipotokea kupishana kati...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha , ameahidi kutoa Bajaji mpya na runinga kwa Bi. Arafa Yusuph Matoke (74),ambaye ni miongoni mwa maelfu ya wanawake wanaoshiriki shamrashamra za kuelekea Kilele cha siku ya wanawake Machi 08, 2025.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Baada ya mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuele mbunge Mrisho Gmbo ahojiwena TAKUKURU kuhusu upotevu wa Ths. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda.
Hatimaye viongozi wa boda boda na wao wamaeeleza kuwa wana mashaka na Gambo kwenye upotevu wa pesa hizo na kwamba...
Kampeni ya Mtu ni Afya tarehe 1 machi 2025 imeendelea kutimua vumbi katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kutembelea kata ya Makuyuni kujionea hali ilivyo ya utekelezaji wa afua tisa na kutoa elimu kwa wananchi.
Evance Simkoko ni Afisa Afya kutoka Wizara ya Afya taifa amesema jambo hilo...
Coastal Union VS Simba SC
| NBC Premier League
| Sheikh Amri Abeid Arusha
| March 1, 2025
Soma Pia: FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024
Updates....
Mpira umeanza
Dakika, 19 milango yote ni mingumu si Coastal wala Simba
Dakika, 21 mashambulizi...
Jeshi la Polisi Wilaya ya Arusha limehimizwa kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi na kulinda raia na mali zao huku likikumbishwa kutambua kuwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo Jeshi hilo ndilo lenye dhamana ya kuhakikisha ulinzi na usalama wakati wote wa uchaguzi na baada ya uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.