arsenal

An arsenal is a place where arms and ammunition are made, maintained and repaired, stored, or issued, in any combination, whether privately or publicly owned. Arsenal and armoury (British English) or armory (American English) are mostly regarded as synonyms, although subtle differences in usage exist.
A sub-armory is a place of temporary storage or carrying of weapons and ammunition, such as any temporary post or patrol vehicle that is only operational in certain times of the day.

View More On Wikipedia.org
  1. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Arsenal, Hector Bellerín kuhusu Vita ya Ukraine

    Jamaa ameongea ukweli.
  2. May Day

    JamiiForums Tanzania Goli la Simba dhidi ya Mbeya City na Goli la Brentford dhidi ya Arsenal

    Jana wakati nafuatilia mechi ya Arsenal na Brentford nimeona mfanano mkubwa wa tukio kwa haya magoli. Hebu tutafakari na nafasi ya Waamuzi, maana sisi wa nje ni wepesi sana wa kuhukumu tukisahau kwamba tuna faida ya kurudia kuangalia tukio zaidi ya mara hata tano. Brent Vs Arsenal anzia dk ya 1:30
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona jinsi Chelsea ilivyoteseka kwa Brentford, nikaelewa Arsenal hakuwa na namna nyingine zaidi ya kufungwa!

    Brentford wanaupiga mwingi sana, has a wakiwa nyumbani. Watu wengi waliwadharau sana Arsenal walipofungwa 2 bila na Brentford mechi ya mwanzo. Kusema ukweli haka katimu kalikopanda daraja mwaka huu ni moto wa kuotea mbali! Mashabiki wa Chelsea walipata wakati mgumu sana kipindi cha pili...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania EPL: Arsenal sasa yaburuza mkia , yawa nafasi ya ishirini katika msimamo wa timu 20

    Ni vema ukafahamu jambo hili mapema ili usije ukapata matatizo ya kiafya, kwamba timu iliyokuwa inapigania ubingwa leo hii inaburuza mkia , hii ni baada ya game 3 tu. Wachambuzi wanaitabiria kushuka daraja .
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Antony Conte ahusishwa na kufundisha Arsenal

    Hii ndio taarifa iliyotolewa na Sky Sports , kwamba kuna dalili za club ya soka ya Arsenal kuzinduka kutoka kwenye limbwata la Mikel Arteta na kumtupia virago , huku ikihusishwa na Kocha wa zamani wa Inter Milan Antonio Conte . Ngoja tuendelee kusubiri .
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame amekerwa na Arsenal kushindwa

    Mzuka wanajamvi! Rais wa Rwanda Paul Kagame amekerwa na kuhuzunishwa kwa Arsenal kufungwa 2-0 na vibonde Brentford waliopanda daraja EPL. Kagame alisema kama mshabiki mkubwa wa Arsenal amehuzunishwa na kukerwa na matokeo hayo. Nakuomba mabadilikoyawepo haraka sana. Ikumbukwe Rwanda inailipa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal kuwa wa kwanza kuongoza ligi ya EPL kesho msimu huu

    Mzuka wanajamvi! Natoa pongezi ya mapema (in advance) kwa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Arsenal FC the gunners kwa kuwa timu ya kwanza msimu huu mpya wa 2021/22 kwa kuongoza ligi. Arsenal itafungua msimu kwa kucheza na vibonde Brantford FC waliopanda daraja kesho saa nne usiku. Kwa...
  8. Mkazamoyo

    JamiiForums Tanzania Vunja Mbavu: Barua ya Wazi ya shabiki wa Arsenal, Yanga kwa Sa Godi

    C&P From mwanaspoti REJEA kichwa cha habari juu baba. Mimi mja wako naomba unipatie ujasiri mkubwa. Wa kuachana na ushabiki wa hizi timu baba. Wewe mwenyewe unazijua vyema baba. Moja ipo hapo Kariakoo nyingine huko kwa Mabeberu. Zinanipa majaribu makubwa baba. Nashindwa kuelewa ni ibilisi gani...
  9. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Arsenal asipochukua ubingwa wa ligi msimu 2021/2022 watakuwa wamejitakia wenyewe

    Wanahamu na ubingwa hawa sema tu wabahili •Man United watakuwa na kikosi kizuri lakini hawana kocha wa makombe😂 •Man City Target yao kubwa kuchukua ubingwa wa UEFA. •Liverpool kocha atafukuzwa kwa maslai mapana ya klabu. •Chelsea wataonyesha ushindani top 4. •Tottenham top six •Arsenal ni...
  10. Mnyuke junior

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Spotify atoa ofa nyingine ya kuinunua Arsenal

    CEO na Mmiliki wa mtandao wa uuzaji wa nyimbo online (spotify) DANIEL EK anajiandaa kupeleka ofa nyingine ya kuinunua gunners ambayo inakadiriwa kufikia £2bn, ikumbukwe awali alipeleka ofa inayokadiriwa kufika £1.8bn kwa mmiliki wa washika mitutu hao wa london kroenke lakini ofa hiyo ilikataliwa...
  11. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Europa: Mbivu na mbichi za fainali kujulikana leo

    Michezo miwili ya nusu fainali ya Europa kurindima hii leo majira ya saa 4:00 usiku katika viwanja viwili tofauti ,ambapo Roma itakuwa nyumbani kuialika Manchester United huku Arsenal ikiikaribisha Villarreal Ili Roma kutinga fainali inatakiwa kushinda goli 4-0 Kwingineko Arsenal inahitaji...
  12. H

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: UEFA ni Chelsea FC vs Man City na EUROPA ni Arsenal vs Man United

    Kama kichwa cha habari kinavyosema mwaka Huu itawakutanisha team za Uingereza fainal kuanzia Uefa mpaka Europa make it in your mind.
  13. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Kwanini nikivaa jezi za Arsenal na Yanga warembo wanakuja wenyewe kunipa namba za simu?

    Mimi ni mpenzi wa hizo timu mbili, nikivaa jezi za timu hizo warembo wanakuja kunipa namba wenyewe, imenitokea mara nyingi sana. Halafu mimi kwa sasa nimeokoka sitaki kabisa dhambi, kuna siri gani jamani?
  14. Samaritan Nemesis

    JamiiForums Tanzania Arsenal nini kifanyike na nini tatizo?

    Gunners wenzangu, huu takribani msimu wa4 tumekua tunaikosa UEFA, ukiangalia kipindi cha Wenger hatukua tunakosa. Match ya Jana dhidi ya liverpool ndo imekata tumaini kabisa. Tatizo ni wachezaji, bodi au vocha?!!!!
  15. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Europa: Manchester United uso kwa uso na Real sociedad, Arsenal kumenyana na Benfica

    Takwimu zinaonesha Manchester United imeshinda mechi moja tu kati ya tisa za nyumbani walizocheza dhidi ya timu za Uhispania, wakishindwa kufunga katika mechi mbili. Mechi moja waliyoshinda ilikuwa dhidi ya Real Sociedad katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Ulaya msimu wa 2013-14 Kwa...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi aliyesema Arteta hafai kuwa kocha wa Arsenal?

    Nauliza tu kwa Uzuri siyo kwa ubaya. Yuko wapi yule mwanajamvi aliyesema Mikel Arteta hafai kuwa kocha wa Arsenal? Ni vizuri kuweka akiba ya maneno. 'Mungu mbariki Arteta' 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni lazima Mikel Arteta atimuliwe ili Arsenal isishuke daraja

    Huu ndio ushauri ninaoupeleka kwa Bodi ya wakurugenzi ya Arsenal, Washabiki na wapenzi wao. Arteta hana uwezo wowote wa kufundisha timu kubwa kama Arsenal, hana kitu na wala uwezo wake hauna tofauti na Kuku kishingo, bila kumuondosha huyu kocha Arsenal itashuka daraja, kama mnabisha subirini.
  18. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Arsenal yaibuka na Ushindi Old Trafford baada ya miaka 14

    Washika Mitutu wa London, Arsenal the Gunners wameibuka na Ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mashetani wekundu, Manchester United Goli lililofungwa na P. Aubameyang kwa mkwaju wa Penati kunako dakika ya 69 lilitosha kuiandikia Arsenal ubingwa katika Dimba la Old Trafford kwa mara ya kwanza ndani ya...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Baada ya jana kuingia fainali ya michuano ya klabu bingwa Ulaya, PSG yavunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Arsenal

    Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) kutoka Ufaransa, jana imefanikiwa kuingia fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kuifunga Klabu ya RB Leipzig ya Ujerumani goli 3-0 Mchezaji wa PSG, Angel di Maria alikuwa nyota wa mchezo jana kwa kutoa pasi mbili za magoli na kufunga goli moja, na...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Kagame ni Shabiki wa Arsenal FC unadhani Rais Magufuli nje ya kuwa Mwana Simba SC huko Ulaya atakuwa ni Shabiki wa Timu gani?

    Bravo,Congrats ARSENAL for a well deserved and needed win -FA CUP. We,FANS and supporters kept Faith in you...going forward let's aim at much bigger things. WE CAN... !!! paulkagame
Back
Top Bottom