Arsenal kuwa wa kwanza kuongoza ligi ya EPL kesho msimu huu

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
7,576
2,000
Mzuka wanajamvi!

Natoa pongezi ya mapema (in advance) kwa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Arsenal FC the gunners kwa kuwa timu ya kwanza msimu huu mpya wa 2021/22 kwa kuongoza ligi.

Arsenal itafungua msimu kwa kucheza na vibonde Brantford FC waliopanda daraja kesho saa nne usiku.

Kwa uhakika Arsenal itashinda iyo mechi na kujinyakulia pointi tatu na kuwa timu ya kwanza kuongoza ligi msimu wa 2021/22.

Nawapa hongera na pongezi za dhati mashabiki wa Arsenal.

Screenshot_20210813_055540.jpg
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
17,770
2,000
Mzuka wanajamvi!

Natoa pongezi ya mapema (in advance) kwa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Arsenal FC the gunners kwa kuwa timu ya kwanza msimu huu mpya wa 2021/22 kwa kuongoza ligi.

Arsenal itafungua msimu kwa kucheza na vibonde Brantford FC waliopanda daraja kesho saa nne usiku.

Kwa uhakika Arsenal itashinda iyo mechi na kujinyakulia pointi tatu na kuwa timu ya kwanza kuongoza ligi msimu wa 2021/22.

Nawapa hongera za dhati mashabiki wa Arsenal.

Chaliifrancisco
Asee Myebusi hawa Brentford sio wakitoto kiivyo asee uliona ile playoff final waliyocheza na Swansea?

Wana striker wao huyo Ivan Toney huwa namfananisha na Didier Drogba.

Hiyo game ya kesho mimi naona Arsenal na Brentford watatoa draw. Kwahiyo still Arsenal ataongoza.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
25,019
2,000
Mi naona game ya kesho Arsenal tuna nafasi kubwa ya kufungwa.

Kwakua akili ya Arteta ipo pale pale kumtumia ST ambaye ni Auba na Auba kashaonyesha anahitaji spark ya AM ambaye hayupo.

On the other hand Brentford wana forward inayojua kuscore na iko vizuri katika kuscore so naona Arsenal tutamiliki mpira ila hatutakua lethal badala yake Brentford akipata mpira nyasi zitakua zinatafutana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom