arsenal

An arsenal is a place where arms and ammunition are made, maintained and repaired, stored, or issued, in any combination, whether privately or publicly owned. Arsenal and armoury (British English) or armory (American English) are mostly regarded as synonyms, although subtle differences in usage exist.
A sub-armory is a place of temporary storage or carrying of weapons and ammunition, such as any temporary post or patrol vehicle that is only operational in certain times of the day.

View More On Wikipedia.org
  1. Belleringal

    JamiiForums Tanzania Kurejea kwa EPL: Manchester city vs Arsenal

    Juni 17 ndio utachezwa mchezo wa kiporo City dhidi ya arsenal katika dimba la Etihad. Ikumbukwe huu ni mchezo wa kwanza wa Arsenal under Mikel Arteta . Pia ndio mchezo ambao utamkutanisha mtu na boss wake yaani Pep Guardiola vs Mikel Arteta. Je, arteta atafanikiwa kumfunga City?
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kashfa zaendelea kumuandama Lacazette, Arsenal huenda ikampa adhabu nyota huyo

    Arsenal wameapa kumwadhibu vikali mshambuliaji wao matata Alexandre Lacazette baada ya kuibuka kwa ripoti kwamba nyota huyo mzawa wa Ufaransa alipatikana akivuta gesi ya Nitrous Oxide almaarufu 'Laughing Gas' iliyokuwa imejazwa ndani ya puto. Gazeti la Daily Star nchini Uingereza lilichapisha...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Arsenal FC, Mikel Arteta akutwa na Ccorona (covd 19)

    Ni balaa kubwa jaamani nahisi wachezaji wa arsenal kibao watakuwa nao maana walisalimiana hata na yule owner wa olympiacos,duh balaa gani hili huku africa si waahirishe tu hayo mashindano ya CHAn huko cameroon na taifa stars inatakiwa kwenda Tunisia wizara ya afya inakenua meno tu wakati Tunisia...
  4. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Machache niliyoyaona kwenye mechi ya Arsenal vs Olympiacos

    Leo Arsenal imetolewa rasmi kwenye michuano ya kombe la Europa League baada ya kupigwa nyumbani kwake mabao 1-2, mechi ikienda hadi kwenye dakika za nyongeza na mwishowe tukishuhudia Arsenal ikitolewa kwa aggregate ya magoli (2-2) Binafsi kama mpenzi wa soka la ulaya, yafuatayo ni machache kati...
  5. Mr Putin

    JamiiForums Tanzania Matunda ya Arsenal

    Na bado PGS na Rwandan coffee to be consumed in PSG stadium only at everything match.
  6. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Arsenal tufarijiane hapa

    Habari wana jamvi, Msimu huu Arsenal tuna hali mbaya kuliko Misimu yote iliyopita, Emery alietegemewa kufanya makubwa na kikosi cha Arsenal akakibomoa kikosi kwa migogoro na wachezaji. Alianza kwa mbwembwe za kufika fainali ya Europa hatimaye akala kipigo kitakatifu kutoka kwa timu iliyokuwa...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Matamshi ya Mesut Ozil: Kiungo wa Arsenal afutwa kwenye mchezo wa video wa Pro Evolution Soccer (PES) 2020 toleo la Uchina

    Kiungo wa Arsenal Mesut Ozil ameondoshwa kwenye mchezo wa video wa Pro Evolution Soccer (PES) 2020 toleo la Uchina baada ya kuikosoa nchi hiyo kwa kuwatesa jamii ya Waislamu ya Uighur. Ozil, 31, ambaye ni Muislamu, amewaita Wauighur (Wachina wa asili ya Kiislamu) "mashujaa wanaokabiliana na...
  8. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Wanavuta bangi pale Arsenal?

    Hilo ni swali ambalo Mmiliki wa liverpool John w.Henry aliwahi kuuliza hasa msimu wa 2012/2013 pale ambapo Arsenal walitaka kumsajili Suarez kwa Paund mil. 40 wakaambiwa waongeze hela wakaongeza Paund mil. 1 na kuwa 41! Yeye W. Heny aliwaona kama mateja wasiojielewa wanataka nini!! Nimeikumbuka...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Arsenal msikosee tena, mchukueni Nuno Espitito Santo

    Ukimfuatilia kwa karibu utagundua huyu ni aina ya kocha ambaye timu ya Arsenal inamhitaji, kwa sasa anafundisha timu ya Wolves.
  10. babu M

    JamiiForums Tanzania Meneja wa Arsenal, Unai Emery amefukuzwa kazi baada ya miezi 18 na timu hiyo

    Kazi ya Unai Emery kama meneja wa Arsenal imefikia kikomo, ikiwa ni miezi 18 tu tangu kuchukuwa mikoba hiyo kama mrithi wa Arsene Wenger. Kuondoka kwa Mhispania huyo kumehibitishwa Ijumaa, ikiwa Arsenal ipo katika nafasi ya nane katika jedwali la Ligi Kuu. Freddie Ljungberg amewekwa kama meneja...
  11. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kuishabikia Arsenal

    Wakuu nimeamua kwa hiyari yangu na pasipo kulazimishwa na mtu yoyote kuitosa club ya Arsenal.Nina sababu nyingi za kuitosa The Gunners. [1] Kukwepa magonjwa ya moyo. [2] Imeshindwa kutwaa kikombe chochote kwa muda mrefu sana. [3] Arsenal imekuwa gulio la kuuza wachezaji wake mahiri kwa Club...
Back
Top Bottom