Mkuu wa Mkoa amesema ana taarifa za baadhi ya wilaya kuwa na wawekezaji waliotakiwa kulipa fidia Sh400 milioni kwa wananchi takribani, lakini wameshindwa kulipa huku wakiendelea kushika ardhi ya wananchi.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Buriani amewaagiza wakuu wa wilaya kuhakikisha...
Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo
Katika safari ya uwekezaji kwenye majengo, kuwa na Mastermind Group ni muhimu sana kwa sababu ya faida nyingi ambazo kundi hili linaweza kuleta.
Mastermind Group ni kundi la watu wenye malengo...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Timotheo Mnzava (Mb) imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya shilingi...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imehitimisha mafunzo ya siku tatu kwa watumishi wa wizara hiyo kuhusiana na viashiria hatarishi.
Mafunzi hayo yamefanyika jijini Dodoma yakihusisha Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Waratibu wanaosimamia masuala ya viashiria hatarishi kwenye...
Kabla ya kuwekeza fedha zako kwenye ardhi na majengo, ni muhimu kupata maarifa sahihi kwa sababu kadhaa.
Kwanza, maarifa haya yatakusaidia kuelewa hali halisi ya soko la ardhi na majengo, ikiwa ni pamoja na bei, mahitaji, na mitindo ya uwekezaji inayofaa. Bila uelewa huu, unaweza kupoteza...
Nimemshuhudia mara kadhaa, akitunushiniasha misuli na mawakili na hata kuwatamkia maneno yasiyo ya kistaarbu mbele ya wateja wao.
Najiuluza, kama Kuna tatizo mahala, hakuna namna nyingine ya kueleweshana badala ya kufokeana na kuoneshana umwamba mbele ya lay persons?
Kama sio frustrations...
Wananchi wa Kijiji cha Ndaleta Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wameilalamikia Halmashauri ya Wilaya hiyo wakidai imehusika kuhujumu Wananchi kwa kiwango kikubwa katika masuala ya mgogoro wa ardhi yanayoendelea.
Wameeleza kuwa wamefikisha malalamiko yao mara nyingi kuhusu mgogoro wa ardhi lakini...
Hapa ndio inabidi tujiulize, kama lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili kulinda eneo la hifadhi, wanapata ugumu gani kukanusha madai kuwa lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili ardhi yao apewe Mwarabu?
Binafsi naamini wanashindwa kukanusha kwasababu wanajua muda utawaumbua.
CCM must go!
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo, tarehe 20 Agosti 2024, kimezindua Ripoti yake ya Taarifa ya utoaji msaada wa kisheria kwa mwaka 2023.
Wakili Msomi Fulgence Masawe ameeleza Umri wenye migogoro mingi zaidi ya Ardhi ni miaka 45 hadi 54. Katika kesi za ardhi 66% ni Wanaume lakini...
Karibu siku 5 zilizopita limeibuka sakakata la kitapeli kutokana na wajihi wa mlalamikaji Ndg Marijani Msofe aka Papa Musofe chuma cha reli hakiingii kutu.
Papa Msofe anadai anamiliki ardhi yapata miaka 7 hajawai kwenda wala serikali ya mtaa haimtambui kama ni mmiliki na ardhi hiyo karibu...
Mwenyekiti Ngome ya Vijana- ACT Wazalendo, Abdul Nondo amesema "Serikali iwatumie vijana wengi wahitimu ambao ni Surveyors, Town planners. Wapo mtaani hawana kazi Serikali iwape majukumu hawa vijana waipime ardhi nchi nzima bure bila kudai fedha kwa Wananchi.
"Serikali itapata faida nyingi...
Peace, (Mods naomba msibadili tittle ya uzi huu pia nitashukuru kama hamta uunganisa. Asante)
Wakuu, (hasa vijana) ardhi bado zipo nyingi sana maeneo tofauti na za kila aina, unapotaka kununua ardhi KAMWE usinunue ardhi yenye makaburi. Wenye makaburi wana haki na kwa hakika watakuja...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amefanya kikao kazi na wataalamu wa Idara ya Maendeleo ya Makazi pamoja na Idara ya Upimaji na Ramani Agosti 13, 2024 ambacho kimefanyika Makao Makuu ya Wizara Mtumba jijini Dodoma.
Soma Pia:
Waziri Ndejembi ataka uadilifu na...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la leo, hivi sio aibu sana kwa nchi yetu Tanzania kuagiza chakula kama mchele, ngano, sukari na mafuta...
Vitendo vya utapeli vinavyofanywa na kampuni ya KMM LAND USE CONSULTING CO.LTD, yenye namba ya usajili 0359-T0218, iliyo na ofisi Sinza - Dar es Salaam. Kampuni hii ilipewa kibali cha upimaji katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, lakini imeshindwa kutoa huduma kwa wananchi kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.