Baada ya wazee wenye maono kama Pinda na Mama Makinda kukataa kazi ambayo itafanya historia yao iharibike ya kuwa makamu wa CCM kwenye chama ambacho kwa sasa kinategemea Polisi na usalama kushinda. CCM imemchagua mzee wasira mwenye miaka 80 na anasahau mpaka wajukuu zake majina. Kwa ufupi...
Katika kipindi hiki, kumekuwepo na hali ya kushangaza kuhusu sera za serikali, hasa zinazohusiana na ujenzi wa majengo ya taasisi za elimu na afya.
Serikali ya awamu ya sita imeweka marufuku juu ya ujenzi wa majengo ya ghorofa, jambo ambalo linaweza kuonekana kuwa na athari kubwa katika...
Wakuu za Usiku huu
Leo katika Harakati za Kilimo wakati Jembe la Trekta linapita kuna sehemu likakutana na Jiwe gumu sanaa na kuna alama ya zege la kutisha baada ya Kuuliza wazee wakaniambia Hapa pana Sanduku la Mjerumani na kwa maelezo yao Masanduku hayo yanakuwa na vitu vya thamani so kama...
Mimi Mkazi wa Songea Kijijini, Kata ya Liganga katika Jimbo la letu ambalo Mbunge wetu ni Jenista Muhagama, huku tuna changamoto ya ardhi.
Miaka 10 iliyopita tuliuziwa eneo na Kijiji ambapo kipindi hicho kilikuwa kinaitwa Kijiji cha Liganga, tulilitumia eneo hilo kwa ajili ya kufanya kilimo...
Wakulima 2000 Wilayani Kiteto wamemuomba Raia Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro wao na hifadhi ya Makame WMA iliyodaiwa kupora maeneo yao waliyotumia zaidi ya miaka 15.
Chanzo: EATV
Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri mkubwa, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali
Mimi Mr Why nataka nishare experience yangu ya umiliki wa nyumba na ardhi
Nimemiliki nyumba na ardhi kwa muda mrefu lakini havikunipa fedha za kutosha
Mwanzo nilidhani kuwa...
Habari wadau.
Binafsi ni mkristo. Ila nimependa sana utaratibu uliowekwa kwenye makaburi ya waislamu Tabata segerea.
Kanuni yao namba moja ambayo inakataza kujengea kaburi ni nzuri sana.
Tarehe 01 Desemba, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokutana na viongozi wa kimila na jamii ya kimasai wanaoishi eneo la Hifadhi ya Ngorongoro alitangaza uamuzi wa Serikali kuunda Tume mbili ambapo Tume ya Kwanza itafanya tathmini kuhusu masuala ya...
Wakuu
Nimefanya maombi ya hati ya ardhi mwaka wa pili unakatika. Kutoka dawati moja kwenda lingine faili linaweza kutumia miezi mitatu!
Nyie experience zenu zikoje na hizi ofisi za ardhi?
Kila siku nasema kuwa akili ni nywele.
Ukiwa na akili timamu, utajua tatizo ulilonalo ni lipi na utaweka na kutekeleza mipango sahihi ya kulitatua hilo tatizo.
Wenzetu Kenya waligundua wana tatizo la mipango miji, kwa maeneo mengi kujengwa vibaya bila mpangilio na kufanya wananchi wengi kuishi...
Wakuu,
Nadhani ushawahi kusikia ile notion ya kwamba ardhi ya Tanzania yote inamilikiwa na Rais na kwamba Rais akitaka anaweza kukuondoa muda wowote.
Akiwa anazungumza siku ya jana kwenye mdahalo ambao uliandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Wakili Mwabukusi alisema kuwa huo ni...
Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani, umeiandikia barua yenye malalamiko na manung'uniko mengi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN...
Naomba kama kuna wakili mkali mwenye rekodi ya uhakika ya kesi za Ardhi nitajiwe hapa ...nna ndugu Wana kesi za Ardhi zinawasumbua sana...
Natanguliza shukran
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemuondoa kwenye nafasi yake Afisa Ardhi wa Wilaya ya Korogwe, Nyambega Kichele, kwa kutokufuata utaratibu wa kutoa hati za ardhi na kusababisha migogoro.
Waziri Ndejembi amechukua hatua hiyo wakati wa ziara yake ya siku...
Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024
Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007.
Mbali na hapo uamuzi wa Hayati Rais John Magufuli kuhamishia rasmi makao makuu ya Serikali jijini hapo kumeifanya Dodoma iwe ‘busy’...
Habari wakuu,
Kuna hii application ya Wizara ya Ardhi inayoitwa ardhi kiganjani kuna aliefanikiwa kufungua account maana inasumbua sana sijui tatizo nini nataka nifanye maombi ya hati.
Niliwahi kupokea kejeli miaka kadhaa nyuma baada ya kununua eneo maporini, niliwashirikisha baadhi ya ndugu na marafiki twendeni kuna viwanja vinauzwa na almashauri.
Kejeli zao, nani akaishi mapori, huko wanaishi wanyama, mimi nikajilipua nikasema hii pesa yangu ngoja niiwekeze.
Ni miaka nane...
Kipimo kikuu cha akili na ustaarabu wa binadamu yeyote yule ni namna anavyopangilia maeneo yake anayoishi na kufanya shughuli zake.
Haijalishi kama anajenga nyumba za kitajiri au za kimaskini ila namna gani alivyopima na kupangilia makazi yake ndicho kielelezo pekee kinachoweza kukwambia kuwa...
Wagombea nafasi ya Uenyekiti kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa Chama cha National League of Democracy (NLD) wamebainisha kuwa zipo kero ambazo watakwenda kuzifanyia kazi kwa maslahi ya wananchi kwani ni za muda mrefu.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye mkutano wao wa hadhara ikiwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.