ardhi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Asimulia alivyojifungua kwa upasuaji katikati ya tetemeko la ardhi

    Maria Florida ameeleza furaha yake baada ya kujifungua salama mtoto wake wa nne kwa njia ya upasuaji wakati tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 likitikisa eneo la Nusa Tenggara Mashariki mwa Indonesia. Tetemeko hilo lilitokea Agosti 15, 2026 na kuleta madhara makubwa mashariki mwa Indonesia...
  2. B

    JamiiForums Tanzania WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA

    Aug 15, 2026 Manyara WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA https://m.youtube.com/watch?v=kXulqFbp-ak Naye mkulima mwekezaji Bi. Jeta aelezea sakata zima la tukio hili la shamba, zana za kilimo na kiwanda cha sukari guru kuchomwa moto. Wananchi wa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ardhi yetu itufaidishe sisi kwanza kabla ya dini au wakoloni

    Angalia hii video
  4. JamiiForums Tanzania Ardhi yako ni yako hata bila Hati? Rasimu hii inasema ndiyo, na inaweka Ukuta dhidi ya Unyang'anyi

    Kila mkoa nchini Tanzania una hadithi yake ya ardhi. Kijiji kinachoambiwa kihame kwa ajili ya uwekezaji. Familia inayonyang'anywa ardhi ya mababu kwa sababu haina hati. Mwekezaji wa kigeni anayepewa maeneo makubwa huku wenyeji wakisukumwa pembeni. Swali linalorudia kila mara ni hili: je ardhi ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi njoo Maswa kuna madudu mengi

    Mheshimiwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, wananchi wa Wilaya ya Maswa wamepokea kwa masikitiko taarifa ya kuahirishwa kwa ziara yako. Wengi walikuwa na matumaini makubwa kuwa ujio wako ungekuwa mwanzo wa kupata ufumbuzi wa migogoro ya ardhi inayowatesa kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ardhi na Gharama yake katika Mikoa na Wilaya

    Naomba tushare gharama za maeneo kulingana na
  7. M

    JamiiForums Tanzania Niwekeze wapi kati ya hisa au ardhi?

    Siku mmoja tulipa mgeni kutoka wataalamu wa mambo ya uwekezaji akatuma elimu juu y uwekezaji wa hisa, bond nk kwa kweli ilikuwa ni elimu nzuri na niliweza kujifunza kitu. Kitu ambacho nilibaini kila unapoitaji kupata elimu hakikisha unapata elimu kila maeneo ili uweze kujifunza na kupata...
  8. JamiiForums Tanzania Dodown la chini ya ardhi (underground warehouse) linakodishwa – Upanga

    🏢 Eneo Bora | Fursa Adimu Godown kubwa la chini ya ardhi kwa matumizi mbalimbali: ✔ Waagizaji na Wasafirishaji wa Bidhaa ✔ Wasambazaji na Wauzaji wa Jumla ✔ Kampuni za FMCG na Usafirishaji ✔ Biashara zinazohitaji sehemu salama ya kuhifadhi bidhaa ⭐ Moja ya magodown makubwa ya chini...
  9. JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yasema Wananchi wa Gezaulole (Bagamoyo) waliovunjiwa makazi yao walishindwa kesi Mahakamani

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia vyombo mbalimbali vya Habari imepokea taarifa kuhusu uvunjwaji wa maendeleo ya wananchi takribani 110 wa Kijiji cha Gezaulole Kata ya Makurunge Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani. Taarifa zinaonesha zoezi hilo limetekelezwa na kampuni ya Nolic...
  10. U

    JamiiForums Tanzania BILL CLINTON Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi lakini hawakutaka kuwa na nchi yao bali kuua Wayahudi!

    RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI BILL CLINTON ADAI KUWA Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi wa mto Jordani (West Bank) lakini kiuhalisia Wapalestina hawakutaka kabisa kuwa na nchi yao wenyewe bali walichokitaka ni kuendelea kuua wayahudi
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kazi za Afisa Ardhi daraja la II zimetangazwa na degree ya Sheria imetajwa kama moja taaluma zinazohitajika lakini kwenye Ajira Portal huwezi omba

  12. JamiiForums Tanzania Nafikri Geita na Tarime ndio wilaya zenye ardhi yenye dhahabu ya kutosha ila nashangaa Tarime ukuaji upo slow. Kimbieni kule muwekeze vita hakuna tena

    Naelewa mlikimbilia mwanza, rudini, tarime pamekucha. Njoo uwekeze ustaafu kwa raha na sio kupishana na kuku huko mashambani😁
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ardhi Kiganjani badilikeni

    Habarini, Huu mfumo wa Ardhi Kiganjani lengo lake ilikuwa ni kuharakisha huduma lakini imekuwa kinyume chake ambayo ni kuchelewesha huduma. Inakuwaje kupitisha nyaraka ya usajiri wa mkataba ichukue zaidi ya wiki mbili baada ya kulipia? Ofisi ya Msajili wa Hati Msaidizi wa Dar Es Salaam na...
  14. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Ardhi: Msiweke Lamination kwenye hati zenu za Ardhi.

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya (@mmuyakaspar ), ametoa wito kwa Wananchi nchini kuacha kuweka Lamination kwenye hati za umiliki wa Ardhi, akieleza kuwa kitendo hicho kinaweza kuleta changamoto katika uhakiki na matumizi ya nyaraka hizo. Mhe. Mmuya ametoa...
  15. JamiiForums Tanzania Usikatae wito wa Baraza la Ardhi

    Kuitwa katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya si adhabu, bali ni fursa ya kusikilizwa na haki kutendeka
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunaomba Serikali iweze kufuatilia changamoto za ardhi zinazojitokeza katika maeneo ya mkoa wa Ruvuma, hususan Mtangimbole

    Tunaomba Serikali na mamlaka husika kufuatilia changamoto za ardhi zinazodaiwa kujitokeza katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Ruvuma, hususan Kijiji cha Mtangimbole. Inadaiwa kuwa baadhi ya viongozi wa serikali ya kijiji huuza maeneo au mashamba ambayo tayari yana wamiliki halali. Hata katika...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu atoze wenzake kodi kwenye ardhi ambayo wameikuta wote hapa duniani wakati hao watu hawaiitumii kwenye biashara ni makazi tu?

    Ardhi ni urithi wa dunia, mali ya asili ambayo haikuundwa na binadamu yeyote ila imekuwepo kwa vizazi vyote. Sasa ni kwa nini mtu anapaswa kulipa kodi kwa kipande cha ardhi ambacho hakitumii kwa biashara bali ni makazi yake binafsi na familia? Kodi ya jengo inaeleweka kwa sababu inahusisha na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Africa na Mataifa mengine ni mbingu na ardhi.

    Kiwango cha tofauti ya nchi zote kabisa za Africa hasa za watu weus na nchi zingine ni kikubwa kwa kila eneo. Maendeleo, ugunduzi, utafiti, siasa, elimu hata michezo. Muda wote wenzetu kuanzia kwa watoto wao, wanafundisha, wanazingatia, wanajadili, wanaelekeza maendeleo halisi, ugunduzi...
  19. JamiiForums Tanzania Biashara nyingi zina promotion package nzuri, lakini ukija kwenye uhalisia ni mbingu na ardhi

    Kuna biashara ukiona matangazo yake unaweza kujenga picha kubwa sana kichwani. Video ni nzuri, picha ni kali, maelezo yanavutia na kila kitu kinaonekana cha kiwango cha juu. Mwisho wa siku unafanya maamuzi ya haraka kwa sababu umeamini kila kilichoonyeshwa kwenye tangazo. Lakini ukifika dukani...
  20. JamiiForums Tanzania Dangote aichagua Kenya badala ya Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta

    Kampuni ya Dangote (Dangote Industries Limited) imetangaza mpango wa kujenga mtambo mkubwa wa kusafisha mafuta nchini Kenya utakaokuwa na uwezo wa kuchakata pipa 700,000 kwa siku Mabadiliko ya kutoka Tanga kwenda Kenya Mradi huu unakuja kufuatia taarifa za awali za Rais wa Kampuni hiyo, Aliko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…