Ardhi Kiganjani badilikeni

Ardhi Kiganjani badilikeni

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,393
Habarini,

Huu mfumo wa Ardhi Kiganjani lengo lake ilikuwa ni kuharakisha huduma lakini imekuwa kinyume chake ambayo ni kuchelewesha huduma.

Inakuwaje kupitisha nyaraka ya usajiri wa mkataba ichukue zaidi ya wiki mbili baada ya kulipia?

Ofisi ya Msajili wa Hati Msaidizi wa Dar Es Salaam na wengineo mnazingua yaani hili nalo hadi alalamikiwe waziri wenu.

Waziri husika fuatilia hili.
 
We kwa nn utumue mifumo ya ajabu ajabu? Tafuta dalali nunua kiwanja pita vile. Hakikisha tu hakina mgogoro basi, we hujiuliz ardhi inakuaje kiganjani?
 
We kwa nn utumue mifumo ya ajabu ajabu? Tafuta dalali nunua kiwanja pita vile. Hakikisha tu hakina mgogoro basi, we hujiuliz ardhi inakuaje kiganjani?
Kwa ujinga wako hujui huu ni mtandao unaomilikiwa na wizara husika ,umekalili maisha kwa kuendekeza na kuwaona madalli ni halali kwa maisha yako,uwe unajaribu kuficha ujinga wako!!
 
Back
Top Bottom