anguko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, ni namna gani ongezeko la elimu, anguko la malezi, na matumizi ya simu janga yanacchochea ufuska kwenye jamii?

    Hello JF, 👇👇👇 Naomba nichokoze kidogo kuhusu eneo la maarifa, matokeo ya utandawazi kwenye tabia na hulka za jamii aidha kuendeleza ama kasi ya ongezeko. Ni kwa namna gani ongezeko la watu wanaopata elimu, anguko la malezi na matumizi ya simu janja yanachochea ufuska kwenye jamii zetu hapa...
  2. Tetesi: Mjadala wa "debt ceiling" unaondelea sasa USA: ni anguko la dollar ya Amerika au kitisho kwa uchumi wa dunia?

    "Debt ceiling" ni mjadala fikirishi. America kama ipo kwenye anguko la kiuchumi vilee.., na pia wapo kama vilee kwenye kubana mzunguko wa dollar yao kutishia uchumi wa dunia kuanguka kama mbinu ya kutafuta uungwaji mkono wa kidiplomasia kutengeneza washirika wapya juu ya vita vya kuinusuru...
  3. Namna ambavyo freemasonry walivyo kuwepo kabla ya 1717

    Kuna vyanzo vingi vinavyo elezea kuwepo kwa freemasonry Kabla ya 1717, vyanzo hivyo ni vingi, vinahitaji muda na uyakinifu ilikuweza kutofautisha baina ya almasi na vipande vya vioo. Kuna vilivyo andikwa kwa nia nzuri tu, kuna vilivyo andikwa kwa ajili ya kupotosha, na kuna vilivyo andikwa na...
  4. Mungu anaratibu anguko la CCM. Hakutakuwa na ombwe la uongozi

    Umofia kwenu nyote, Nimefuatilia kwa jicho la uchambuzi nimengundua Kuna kani (nguvu) isiyo ya kawaida inatendakazi kwa namna ya ajabu sana. Niliwahi kuandika kuwa Mungu ameondoa kauli kwenye midomo ya watawala kuanzia juu hadi ngazi za chini. Mungu amesikia kilio chq Watanzania. Mungu...
  5. Marioo, utovu wa nidhamu ndio anguko lako

    Wote tunamjua Marioo kama msanii anaejitafuta ila bado ajajipata. Wote tunajua anakopi sana swaga za Mbosso Khan. Wote tunajua kusoma na kuandika bado ni mtihani kwake. Lakini huyu dogo baada ya kupigwa kidogo nyimbo zake mtaani amekuwa na dharau anavimba sana haswa kwa wasanii aliowakuta...
  6. Hivi inawezekana vipi walimu watatu wakafundisha wanafunzi 700 katika shule moja.

    Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili wasiumizane na warejee majumbani kwao salama Nimeshuhudia haya maeneo mengi ya vijijini Hakuna...
  7. Dedollarisation ndilo anguko la Marekani?

    What is Dedollarisation ? Is a process of substituting or reducing US Dollar as the currency used for (i) trading oil and/or other commodities(i.e.petrodollar),(ii) buying US dollars for the forex reserves,(iii) bilateral trade agreements, and (iv)dollar-denominated assets. Kwa uelewa zaidi...
  8. R

    WanaCCM wana mengi kuhusu Hayati Magufuli, tutasikia mengi tuwe na akiba ya maneno

    Habari JF, Ni wazi kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi wa 2025 kwa namna yoyote ile. Hili liko wazi hata kwa wapinzani ambao tayari wamelielewa. Na hii sifia sifia ina ahadi nzuri ndani yake. Hivyo, 2025 goli liko wazi kwa nafasi za ubunge na udiwani. Kitakachotokea ni kwamba wabunge wataingia...
  9. Je hili ni anguko la Simba?

    Mwanzo nilitoe shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kunipa uhai huu adimu Nije kwenye mada simba jumamosi imefungwa 3.0 na raj sio kuwa raj hawakustahili kupata ushindi mbele ya simba ila tatzo ni timu inavyocheza wachezaji wanaonekana kama wanamgawanyiko hawako pamoja pili kocha kukana kikosi...
  10. Moses Machali, bila kutumia busara za kiuongozi, anguko lako la kisiasa litatokea Bukoba. Samia anataka majadiliano, wewe umefunga maduka Wilaya nzima

    Moses Machali anafanya Siasa au uongozi wa kitoto kitoto. Viongozi hukaa na kusikilizana na kushauriana. Huyu anaenda kwa viongozi anaanza kuwatukana na kuwadharau, hajui humo ndani ndio Kuna kura za wananchi, wakiamua kukichafua, hiyo kagera ataiona ya moto Huyu ni mabaki ya wale waliokuwa...
  11. Zengwe: CHADEMA isipojiangalia Itaanguka Baada ya 2025

    Umewahi kujiuliza kwanini vyama vya siasa hupoteza mvuto au kufa kabisa na vinaibuka vyama vingine ambavyo huchukua nafasi hiyo na kuwa na nguvu ambayo haukuwahi kufikiwa? Yawezekana sio mara nyingi jambo kama hili kutokea katika uwanja wa siasa ya vyama vingi duaniani lakini inawezekana kabisa...
  12. Anguko la Bashe ni ruzuku ya Mbolea

    Wabunge wanaendelea kujadili ripoti ya CAG Bungeni wabunge wengi wmeonekana kulalamikia ubabaishaji mkubwa uliopo kwenye mfumo wa utoaji wa ruzuku ya mbolea huku wengi wakidai utaratibu huo unawanufaisha matajiri huku wakulima wakiendelea kulia. Mbunge Condescha Sichalwe na Vita Kawawa...
  13. Anguko la soko la dhahabu

    Habari wana jukwaa, Ni mjadala huru kwa wafanya biashara wa dhahabu nchini, wakubwa kwa wadogo. Ni kama swali hivi, kumekuwepo na kuporomoka kwa soko la dhahabu kwa kipindi cha takribani ya miezi miwili mfululizo na matumaini ya kupanda kwa dhahabu kwa mda mfupi ujao hayaonekani kiukweli, je...
  14. Uamuzi wa Rayvany kuondoka WCB utampelekea kupata anguko kubwa katika mafanikio yake.

    UAMUZI WA RAYVANY KUONDOKA WCB UTAMPELEKEA KUPATA ANGUKO KUBWA KATIKA MAFANIKIO YAKE: Ikumbukwe kuwa Rayvany alishajiondoa WCB lebo mama iliyomkuza tangu alipoondoka kwa Madee akiwa msanii mchanga. Dhumuni la Rayvany kuondoka WCB pengine ni yeye kupata mafanikio makubwa kuliko yale aliyokuwa...
  15. SoC02 Wizara ya Afya chukueni hili kwani afya zetu, anguko letu ama maendeleo yetu

    Sekta ya afya ina mchango mkubwa sana katika maisha ya kila siku kwa kila mmoja katika taifa,hii inapelekea akili yangu kuwaza sekta hii ina uelekeo gani.Je,inaleta anguko ama inaleta maendeleo katika jamii?.Tazama jinsi mnyororo wa afya ulivyo na athari katika jamii,iwapo mtu mmoja ambae ni...
  16. Anguko la Rais Samia Suluhu Hassan lipo mikononi mwetu, tusimuangushe, tupambane kwa pamoja kukuza uchumi wetu kwa kuchapa kazi

    Habari za wakati huu enyi walimwengu wa Karne ya mwisho wa dunia, mliopo katika ardhi yenye baraka ya Tanzania, na hata msiokuwa Tanzania. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Awali ya yote nipende kukushukuru wewe unayesoma makala hii kwa kutenga muda wako ili uweze...
  17. Anguko la Euro; Je, ni fursa au hasara kwa nchi za kiafrika?

    Habari wakuu nawasalimu, Siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa pesa ya ulaya ikipoteza thamani na kuwa sawa na dola ya kimarekani. Huku Urusi wakiendelea kupokea malipo yote kwa pesa yao, na India wakitaka kuanza kufanya miamala yote kwa pesa yao(rupee). Je, hili linatafsiri gani kwa nchi za...
  18. Sri Lanka yatangaza anguko la uchumi, watu wafa kwenye foleni za kusubiri mafuta

    Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ametangaza kuanguka kwa uchumi wa nchi yake kulikosababisha na bei ya mafuta, umeme na uhaba wa chakula. Colombo ambao ni mji mkuu wan chi hiyo umeshuhudiwa kuwa na misururu ya watu wakitaka kupata mafuta. Ambapo hadi sasa watu 11 wameripotiwa kufa...
  19. Naliona anguko la Ramaphosa kama la mtangulizi wake Zuma

    Tarehe 9 mwezi wa pili mwaka 2020 Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa alikuwa mkutanoni Jijini Adis Ababa Ethiopia. Huko nyuma nchini kwake katika shamba lake la wanyamapori la PHALA PHALA lililopo Jimbo la Limpompo linatokea tukio la kuvunja na kuiba. Mfanyakazi wa ndani wa Rais pale...
  20. Balile: Kwa miaka sita mfululizo Tanzania ilikuwa na anguko la uhuru wa vyombo vya habari mpaka Rais Samia ulipolidhibiti

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania akiwa Arusha kwenye siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani amesema ripoti zinasema kulikuwa na anguko wa uhuru wa vyombo vya habari nchini kwa miaka sita mfululizo lakini sasa hali inatia matumaini. Balile amesema anguko lilikuwa linaendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…