anguko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Je, Mfululizo wa sintofahamu unaendelea kuibuka CCM ndio nyakati za anguko kubwa kwa CCM na serikali yake?

    Ni dhahiri shairi kuwa kuna fukuto kubwa linaendelea ndani ya chama tawala ambalo ni kero kubwa kwa wanachama wao wengi. Jambo la kufurahisha na kutia moyo ajenda kubwa ya chama kikuu cha upinzani CHADEMA ya No reform no election imeingia kwa kasi ya mwendo wa Ngiri katika jumba la kijani...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Anguko la kihistoria limekaribia

    Dalili ya mvua ni mawingu,historia yeyote duniani huwa inamtindo wa kujirudia, pia hakuna kitu kisicho na signs zake , hakika anguko kubwa lipo njiani ,kitu ambacho kilikuwa hakina budi kotokea,sasa kipo njiani kutokea,mwenye macho aone na mwenye masikio asikie,hii sio ndoto tena bali ni...
  3. mager6

    JamiiForums Tanzania Kuna shule moja inaonyesha anguko matokeo

    Hizi shule za binafsi tusiziamini sana Kuna wakati zinapaa lkn upepo Huwa unabadilika haraka mno
  4. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Tamaa chimbuko na anguko letu

    Katika maisha ya kila siku Kuna mapambano yanayoonekana, na kuna yale yasiyoonekana. Mapambano ya nje huweza kuangaliwa na watu, lakini yale ya ndani – vita kati ya roho na tamaa – ndiyo vita halisi ya maisha ya mwanadamu. Ukishinda huko ndani, umeshinda kila kitu. Tamaa ni kivuli...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa mwisho kwa CCM: Achaneni na Tundu Lissu, mnavyozidi kudeal nae ndo mnavyozidi kuharakisha anguko lenu, East Africa Spring iko njiani.

    Tundu Lissu ni mjumbe wa Mungu kuja kufanya jambo moja tu Tanzania nalo ni kufanikisha upatikanaji wa Katiba Mpya inayoweka mamlaka kweli kwa Wananchi na kujenga Mifumo imara ya kuwawajibisha Watendaji na Viongozi wanapokiuka Katiba na Sheria. Kwa alipo Tundu Lissu sasa, lolote mtakalojaribu...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Dunia inashuhudia anguko na mwisho wa Pep Guardiola

    Kocha bora kwa muongo mmoja na nusu uliopita bila shaka ni Josep “pep” Guardiola kutoka Spain. Huyu akiikamata mechi atakutawala kwanzia possession, mashambulizi, magoli yaani kila kitu. Kama unabisha muulize Sir Alex Ferguson pale Wembley. Guardiola akatawala soka la Spain akiww na Barca bora...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mkulima awahamasisha Wasukuma kumkabili Bashe anguko la bei ya Pamba

    MTANZANIA Mzalendo, Thomas Nkola maarufu Mkulima kutoka Kanda ya Ziwa ametoa wito kwa wakulima wote wa zao la Pamba kuandaa mashambulizi ya kumkataa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuua zao la Pamba kwa kumtuhumu kuwa ni mnunuzi mkubwa wa zao hilo akishirikiana na baadhi ya wabunge. Kupitia...
  8. mtoto mdogo sana

    JamiiForums Tanzania "Kila anguko lina inuko lake"

    Habari za Muda huu Wataalam I hope weekend yenu pia iko sawa. Kwa upande wangu namshukuru Mungu. Kupitia visa na mikasa na matukio ambayo huwa nakutana nayo hapa JamiiForums nimejifunza mengi. Kwangu mimi JF is more of a Home to me. Kupitia matukio na majaribu na masaibu na mateso niliyopitia...
  9. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Kulipigania penzi kunaweza kuwa ndio sababu ya anguko lako na majuto ya milele maishani mwako.....weka ukomo wa uvumilivu....(True story)

    Habari za muda huu waungwana wa hapa..... Leo nimemkumbuka mdogo wangu wa kike mtoto wa mama yangu mdogo..... Mdogo wangu ambaye alikuwa binti ambaye familia ilikuwa na matumaini makubwa sana kwake kutokana na wajihi na tabia zake njema....... Kwa kufupisha story safari yake ya kielimu...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Anguko la Samia litakuwa na mshindo mkubwa sana

    Ataangua anguko kubwa kuliko hata walivyomuhujumu Magufuli What goes around comes around Atakataliwa kila upande na atapingwa na kila mtu Kila aina ya kashifa itafukuliwa Kuanzia Kizimkazi scandal, Dp world, Bagamoyo, IPTL, Ngorongoro, na madudu yote ya CAG Kiufupi Samia atakuwa na mwisho...
  11. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Hekaya za George Soros na Utabiri wa Anguko la CCM

    Kwenu Wanajema, Huu ni uzi mchungu kwa wanaCCM wengi vitatange, kwa sababu nagusia anguko la CCM ambalo nimelichambua na kuliona. **** Picha ya George Soros Kwa wafuatiliaji wa medani za nchi za magharibi na watu wake, George Soros sio jina geni kulisikia. Ni mmoja wa watu waliobahatika...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Azimio la Beijing ndio anguko la mwanamke

    Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii imesema nchi ya Tanzania katika kipindi cha miaka 30 ya azimio la Beijing imefanikiwa kutekeleza malengo ya mkutano wa Beijing kwa mafanikio, ikiwemo kuongeza idadi ya wanawake katika vyombo vya maamuzi. ‎ Habari hii ni njema sana kwa wanawake ambao...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Anguko la uchumi wa mkoa wa Kagera

    Na Mimi kama mwana Kagera nitoe mawazo yangu juu ya anguko la uchumi wa mkoa wa Kagera. Nimeona majadiriano ya kila aina ya sababu ya anguko la uchumi wa mkoa wa Kagera. Ni kwa bahati mbaya kwa majadiriano hayo, wengi huchukulia picha ya mji wa Bukoba tu kuwa kiwakilishi cha mkoa wa Kagera...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Anguko la kiwanda cha urafiki textile mill mpaka kuuzwa kwa nhc kwa tzs 3 billion

    Kampuni ya Tanzania-China Friendship Textile Company Limited (FTC), inayojulikana zaidi kama Urafiki Textile Company Ltd., ilikuwa miongoni mwa viwanda vikubwa vya nguo nchini Tanzania, iliyoanzishwa mwaka 1968 kwa msaada wa Serikali ya China chini ya mpango wao wa msaada wa kiufundi...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwijaku wa Kenya asema yeye sio chawa tena bali ni Balozi wa Rais Samia. Uchawa unaenda kuwa anguko la Samia!

    Wakuu, Kwa jinsi mambo yanavyoenda uchawa unaenda kuwa anguko la CCM. Rais Samia unaweza usiwe na ufahamu mkubwa kupambana na mavitu complex, lakini hata hili dogo la uchawa unaacha mpaka linakuwa out of hand namna hii? Anayekushauri anakupotosha, hawa machawa ndio watakuja kutumika dhidi...
  16. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Panda Shuka Na Anguko La Kagera Sugar Football Club

    KAGERA SUGAR KUMALIZA NAFASI YA TATU 2017, MSTARI WA KUSHUKA DARAJA SASA NA ANGUKO LA MISIMU SITA NYUMA KAGERA SUGAR FOOTBALL CLUB kuanzia msimu wa mwaka 2018/19 hadi sasa wanashuka, hapa nitakupa Tathmini yao ya MISIMU SITA kuanzia alama zao kisha idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa pamoja...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Anguko la vijana wa kileo

    VIJANA WA KIUME: VIJANA WA KIKE:
  18. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania That's life kwa yoyote aliyechangia anguko la huyu mwamba ubaya utamrudia tu

    Komando kipensi alikiwasha sana akiwa kwenye ubora wake pale Clouds Bad luck ni kama kila kitu kimegeuka kwa sasa
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Namuona Mwamposa nyuma ya anguko la kiroho la Mch. Moses Magembe na Ustaz Mazinge

    Kuna mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe. Nianze kwa ku declare interest. Am neither a Christian nor a Muslim. Mimi sio Mkristu wala si muislamu. Ingawa nimezaliwa sio tu kwenye familia ya kiislamu bali natoka kwenye kabila ambalo asilimia 99.9 ni waislamu. So...
  20. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi Mkuu ujao anguko la FRELIMO liwe funzo kwa vyama ng'ang'anizi. Zama zinabadilika, vijana wa sasa wakichoka hawaogopi risasi wala majeshi

    1962 mondlane aliasisi chama Kikongwe kwa ajili ya kuikomboa msumbiji kutoka kwenye makucha ya wareno !kutoka na Hali ya msumbiji nyakati hizo iliwalazimu frelimo kuweka makao yake makuu jijini dar es salaam! Mapambano makali wakisaidiwa na serikali ya Tanzania chini ya jemedari hayati mwalimu...
Back
Top Bottom