Marioo, utovu wa nidhamu ndio anguko lako

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
Wote tunamjua Marioo kama msanii anaejitafuta ila bado ajajipata.

Wote tunajua anakopi sana swaga za Mbosso Khan.

Wote tunajua kusoma na kuandika bado ni mtihani kwake.

Lakini huyu dogo baada ya kupigwa kidogo nyimbo zake mtaani amekuwa na dharau anavimba sana haswa kwa wasanii aliowakuta.

Nidhamu kwake imekuwa ni mtihani.

Anapewa pesa ya ghost writing yeye anaenda media kutangaza nandy nimemuandikia mimi barnaba nimemuandikia mimi...huu ni utovu wa nidhamu na kukiuka makubaliano si ustaarabu.

Lakini yote kwa yote amevuka mipaka sasa anamvimbia Simba.
Marioo wa kumwambia Simba anatafuta kick kupitia wewe wakati ulikuwa unapanga foleni ya kumuona pale mbezi ili asimamie project zako?! Mbona kina Barnaba king mopao wanakubali Simba aanawapush wewe umeenda kuomba alafu unasema Simba anatafuta kick kwako si ndio basi sawa.malipo ni hapa hapa duniani

Muziki unahitaji discipline..muulize talented aslay kuvimba kulimfikisha wapi na waliokuwa wanamshika masikio walipotelea wapi sasa hivi ata pakuishi amekuwa anabebwa.

Chunga sana kijana

20230420_224717.jpg
 
marioo na mboso wap n wap

sema una chuki na dogo

unasema kusoma na kuandika kwake mtihani, alafu unasema kawaandikia watu anajisifu (sasa aliwaandikiaje na kusoma na kuandika kwake mtihani)

wewe ndo mwenye akili ndogo mnooooo, una chuki za kipumbavu mnoooo
 
Wewe ni mwongo mbosso hajui kitu Kwa mario
Sawa malizeni maneno yote sisi tupo hapa

Kuna hii thread watu walimaliza maneno Ila kuna mtu aliwaonya hawakuskia.. discipline

Wote tunamjua marioo kama msanii anaejitafuta ila bado ajajipata.

Wote tunajua anakopi sana swaga za Mbosso Khan.

Wote tunajua kusoma na kuandika bado ni mtihani kwake.

Lakini huyu dogo baada ya kupigwa kidogo nyimbo zake mtaani amekuwa na dharau anavimba sana haswa kwa wasanii aliowakuta.

Nidhamu kwake imekuwa ni mtihani.

Anapewa pesa ya ghost writing yeye anaenda media kutangaza nandy nimemuandikia mimi barnaba nimemuandikia mimi...huu ni utovu wa nidhamu na kukiuka makubaliano si ustaarabu.

Lakini yote kwa yote amevuka mipaka sasa anamvimbia Simba.
Marioo wa kumwambia Simba anatafuta kick kupitia wewe wakati ulikuwa unapanga foleni ya kumuona pale mbezi ili asimamie project zako?! Mbona kina Barnaba king mopao wanakubali Simba aanawapush wewe umeenda kuomba alafu unasema Simba anatafuta kick kwako si ndio basi sawa.malipo ni hapa hapa duniani

Muziki unahitaji discipline..muulize talented aslay kuvimba kulimfikisha wapi na waliokuwa wanamshika masikio walipotelea wapi sasa hivi ata pakuishi amekuwa anabebwa.

Chunga sana kijana

View attachment 2594537
What a fu**ck
Wcb Mmeishia mashairi endeleeni kuimba ngono na kusifia Ushoga hamtoboi ebu angalia nyimbo ya Roma inavyokimbiza.
 
Wote tunamjua marioo kama msanii anaejitafuta ila bado ajajipata.

Wote tunajua anakopi sana swaga za Mbosso Khan.

Wote tunajua kusoma na kuandika bado ni mtihani kwake.

Lakini huyu dogo baada ya kupigwa kidogo nyimbo zake mtaani amekuwa na dharau anavimba sana haswa kwa wasanii aliowakuta.

Nidhamu kwake imekuwa ni mtihani.

Anapewa pesa ya ghost writing yeye anaenda media kutangaza nandy nimemuandikia mimi barnaba nimemuandikia mimi...huu ni utovu wa nidhamu na kukiuka makubaliano si ustaarabu.

Lakini yote kwa yote amevuka mipaka sasa anamvimbia Simba.
Marioo wa kumwambia Simba anatafuta kick kupitia wewe wakati ulikuwa unapanga foleni ya kumuona pale mbezi ili asimamie project zako?! Mbona kina Barnaba king mopao wanakubali Simba aanawapush wewe umeenda kuomba alafu unasema Simba anatafuta kick kwako si ndio basi sawa.malipo ni hapa hapa duniani

Muziki unahitaji discipline..muulize talented aslay kuvimba kulimfikisha wapi na waliokuwa wanamshika masikio walipotelea wapi sasa hivi ata pakuishi amekuwa anabebwa.

Chunga sana kijana

View attachment 2594537
Kaka umeandika pumba sana, anakopi swaga za mbosso
Marioo anajitafuta? Wejamaa dar utakuwa xmass 2
 
Kwa hiyo Bongo mnataka mwanamuziki mkali awe mmoja tu? Hii mindset ingekuwa Marekani basi kusingekuwa na kina Tyrese, Usher, Ginuwine,Ne-Yo ,Chris Brown na wengine kibao. Vijana wa kitanzania badilikeni.
 
Hii inausiana nini na marioo kukosa discipline kwa wenzie?
 
Back
Top Bottom