angalia

Angalia (Tazama) - Neno hili linamaanisha kuelekeza macho kwenye kitu fulani ili kukiona.
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Scholarship kwa Waafrika wote angalia nchi yako

    Scholarships now open!! — Curtin University warmly welcomes students from eligible African countries to apply for the Australia Awards Africa Scholarships for our Master's degrees commencing in 2026. Curtin has a developed a holistic platform for engaging with the African continent and African...
  2. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Angalia umri wako ujue kundi lako

    Kumbuka umri wako Vyombo Kumbuka kikundi chako cha umri leo katika mwaka huu 2025 usije ukasahau kusudi lako maishani! Umri wa nyongeza 1925 - miaka 100 1926 - miaka 99 1927 - miaka 98 1928 - miaka 97 1929 - miaka 96 1930 - miaka 95 1931 - miaka 94 Umri wa jua 1932 - miaka 93 1933 - miaka 92...
  3. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Angalia na Useme neno ( Symbolism ).

    Mkitoka kuswali ndugu zangu mje mtueleze Mola gani anayemuomba kijana wenu
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Angalia picha ya nyumba hii toa ushauri

    Nyumba hii ina 1 Master bedroom LIving room KItchen Dinning Store Public toilet Kama una ushauri unaweza kutoa ushauri Kama unahitaji tukuchoree raman yenye muonekano huu nichek 0743257669 Turudi kwenye mada unaonaje hii design
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kumbe mlikuaga mnakula misaada ya Marekani alafu mkija humu JF mnawaita mashetani mara sijui firauni, etc 😂

    https://youtu.be/ShzDBSbPbm4?si=F3MM9-KNiFf54Oqm
  6. A

    JamiiForums Tanzania Je kunawezekana kuwepo wakati ujao kwenye internet?

    Je kunawezekana kuwepo kwa tomorrow kwenye kitu kinaitwa habari au later today? ? Wajuvi wa mambo mniambie
  7. Magical power

    JamiiForums Tanzania KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi

    KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi au blazia, wewe nunua rangi uzipendazo kumuona amevaa📌 Unaweza kuchukua 20k ukanunua nusu dozen ya chupi kiwango ukampeleke kipenzi chako au...
  8. yello masai

    JamiiForums Tanzania Wadau wa ujenzi pitia hii toa maoni.

    Hii ni idea ya ramani ya nyumba. Mdau naomba uipitie utoe maoni yako wapi pa kuboresha. Natanguliza shukrani.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Angalia picha ustaajabu hapo chini

    Ule mradu wetu wa bwawa umefika asilimia ngapi?
  10. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Angalia umri wa afisa mpya wa mawasiliano/habari wa ikulu ya Marekani (White House) pamoja na elimu yake! Njoo bongo!

    Trump amemchagua afisa habari wa ikulu ya Marekani kwa muhula mpya unaokuja. Ni afisa kijana na siyo mara ya kwanza kwa nafasi yake! Angalia umri wake pamoja na elimu yake, hatishi sana kielimu (mtazamo finyu wa watanzania). Unahisi nini kimembeba?? Pamoja na uzoefu wake akiwa ikulu plus...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingi sana za kupata mke mwema. Angalia usifanye kosa hili utajuta

    Binti aliyelelewa na mama peke yake mara nyingi Huwa hawana utii Kwa Waume zao. Sikilizia hapa. PIA SOMA - Je wazijua sifa kumi (10) za mke mwema
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Angalia hii video uchangie, je unajifunza nini kuhusu bedroom politics?

    Katika mkutano wa COMESA, mke wa rais wa Burundi alifika kwa gari la kifahari aina ya limosine, jambo lililowashangaza wengi. https://www.youtube.com/watch?v=XS4TEkbAsZ0
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Video: Angalia wanachofanyiwa Wanajeshi wa Israel na Hezbollah

    Wanaukumbi. Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, na sifa njema ni zake. Tazama Mujahidina wa upinzani wakipambana kwa mbali na jeshi la wasomi wa Kizayuni waliokuwa wakiingia, na wengi wao waliuawa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Maombi yako kwa Mujahidina wa Gaza na Lebanon Ewe Mola...
  14. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Angalia jinsi ndege isiyotumia rubani (drone) ikikatiza kwenye anga la Israel mpaka kwa Netanyahu!

    Vipi waliiacha makusudi?? Helikopta ilishindwa kuitungua?? Nyumbani kwa Netanyahu Nb:Muda utasema!
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar vinahitaji maboresho, angalia hali ilivyo

    Licha ya kuwa Viongozi wengi wa Kiserikali wamekuwa mstari wa mbele katika kusisitiza usafi kwenye mazingira ya ofisini na hata kwenye makazi ya watu lakini upande mwingine wapo ambao huwa wanasahau kujitazama wao. Hivi ndivyo hali ilivyo katika Vyoo vilivyopo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
  16. njiwaji

    JamiiForums Tanzania Angalia kimondo mkia leo mara baada ya machweo karibu na upeo wa magharibi

    Kuanzia Oktoba 14 na kwa siku chache zinazofuata unaweza kuangalia Kimondo mkia ATLAS Tuchinshan upeo wa magharibi mara baada mara baadanya machweo angani palipooneshwa katika picha hizi za 14-19 Oktoba. Kwa hiyo kuanzia usiku huu wa Jumatatu tarehe 14 Oktoba ambapo sayari Zohai itafichika...
  17. njiwaji

    JamiiForums Tanzania Angalia leo usiku - Sayari Zohali kufichwa na Mwezi

    WATCH TONIGHT - Lunar Occultation - Moon will hide Saturn today October 14 from 8 pm to 9:30 pm ANGALIA LEO USIKU - Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo Oktoba 14 kuanzia saa 2 usiku hadi saa 9:30 English version is below the Kiswahili information Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo usiku...
  18. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Angalia kimbunga Milton kilivyotua huko Marekani! Angalia maajabu ya ndege! Angalia urefu wa wimbi!

    Picha linaanza kwa ndege kunusa hatari! Mpe Mungu maua yake! Angalia urefu wa hilo wimbi! Mpe Mungu maua yake! Kisha mwamba Milton akatua! Mpe Mungu maua yake! https://twitter.com/home Nb: Watu wanakimbia kuokoa roho zao na siyo fedha! Mpe Mungu maua yake!
  19. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Kidali: Ingia BBC iPlayer angalia kipindi kinaitwa ‘war games,

    Tanzania tunachukulia vitu poa sana. Weka VPN ingia BBC iPlayer angalia kipindi kinaitwa ‘war games’ uone jinsi usalama wa taifa wa marekani walivyoogopa hii scenario na kutaka kujifunza hii situation isitokee tena kwa siasa za demagogue na wapotoshaji. Sasa endeleeni kuwachekea...
  20. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Je, uzoefu siyo tatizo kwa wayahudi huko vitani? Angalia umri wa huyu kamanda aliyeuawa huko Lebanon.

    Kuna kamanda ameuawa na Hezbollah huko Lebanon, ukiangalia umri wake halafu ndiyo kiongozi, napata shida kidogo! Wajuzi wa vita tupeni elimu! Israeli commander killed in Lebanon, Israel says The Israeli military says an army squad commander has been killed in Lebanon. It's the first combat...
Back
Top Bottom