Angalia vipaumbele vya Waafrika wapokea misaada Vs Wagawa misaada

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
39,607
50,381
20240710_105019.jpg
20240710_105441.jpg
20240710_105457.jpg
20240710_110313.jpg

Mmoja ni msafara wa nchi wapokea misaada, misfara mingine miwili ni wagawa msaada Netherlands na Uingereza.
 
Mada nyingine za kipuuzi kweli
Kwa hio unatakaje na viongozi wa huku watembee na baiskeli au
Acha ushamba ingawa kuna mataira yatakusuport
Sio lazima viongozi wetu kuiga kwa kutembea kwa baiskeli, ila kuonesha wanajali kubana matumizi ya serikali msafara ungepunguzwa ukubwa wake, maofisa wengi hapo wangeweza kushea usafiri mmoja mfano, kuna ubaya gani RC akishea usafiri na DC's??.
Sio kila ujinga wa viongozi unasapoti tu ndio tatizo la kuwa chawa.
 
Mbona hasira dogo
Kweli viongozi wa kiafrika wanapenda anasa
 
Sio lazima viongozi wetu kuiga kwa kutembea kwa baiskeli, ila kuonesha wanajali kubana matumizi ya serikali msafara ungepunguzwa ukubwa wake, maofisa wengi hapo wangeweza kushea usafiri mmoja mfano, kuna ubaya gani RC akishea usafiri na DC's??.
Sio kila ujinga wa viongozi unasapoti tu ndio tatizo la kuwa chawa.
DC anakuja kufanya nini kama RC yupo... unless Rais anatembelea wilaya husika,then DC atahudhuria shughuli mahsusi(DED, WAKUU WA IDARA WOTE HAWAHITAJIKI KWENYE MSAFARA) . Jambo la Msingi ni Mkuu wa Mkoa au RAS kukusanywa ripoti na kuwakilisha kwa kiongoz Mkuu...Rais ahitaji kupewa ripoti detailed...yeye anatakiwa kupewa general information, mambo ya kitaalamu ni mambo ya makatibu wakuu na watendaji wao...no need kuongozana na meneja wa Tarura ,Ruwasa au REA kwenye MSAFARA wa Rais
 
Sasa kama li Rais lenyewe nalo linapenda msafara wao wafanyeje sasa? Nchi hii kwa kweli tuna utumbafu mwingi sana. Cha kushangaza hata mwongozo wa ziara za mkuu wa nchi huwa hawauzingatii! Kama mwongozo ungefuatwa msafara wa Rais ulipaswa kuwa na magari yasiyozidi 15.
 
Back
Top Bottom