anatafutwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BISLETT STADION

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anatafutwa mwanamke wa kuolewa

    Anatafutwa mwanamke anayetaka kuolewa mwenye sifa zufuatazo, Awe na miaka kuanzia 27 mwisho miaka 35. ASIWE NA MTOTO. ASIWE NA ANATUMIA DAWA YA KUFUBAZA. Anaweza akawa nesi, mwalimu, banker, akauntanti, auditor, maketia, afisa habari, mchumi, mwanasheria, afisa ugavi, mkutubi, police...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Bibi amepotea Mindu, Morogoro. anatafutwa na ndugu zake

    Bibi mwenye umri wa takriban miaka 80 aitwaye Mwanahamisi Salimu Mtari (Bibi Keja) alipotea Jumatatu tarehe 21.10.2024 kata ya Mindu mtaa wa Mikoroshini nyumbani kwa mwanaye majira ya saa 11 jioni. Ana tatizo la kupoteza kumbukumbu kwa sababu ya umri wake. Alikuwa amevaa gauni la bluu...
  3. HONDA XL

    JamiiForums Tanzania Msimamizi wa shamba anatafutwa

    shamba lina kilimo na ufugaji. kilimo ni mahindi, alizeti na mpunga, mifugo ni ng'ombe na mbuzi. makazi ni shambani hapo hapo. shamba liko kigoma wafanyakazi waliopo shambani kati ya 20 hadi 30. kwa mwenye uzoefu wa usimamizi mashamba makubwa akiwa na taaluma ya kilimo na mifugo au Agro...
  4. Nyaishozi College

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi: Radiographer anatafutwa

    Wanahitajika walio na Diploma au Degree ya Kwanza ya Radiography haraka. Wasilisha CV kupitia info@nyaishozicollege.ac.tz au tuma kwa Whatsapp 0745009792
  5. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Mjasiriamali wa kuunda kutengeneza manati anatafutwa?

    Ukiwa Mbeya ni sifa ya nyongeza 🤝 lakini popote tutazungumza tu. Kuna malighafi ya kuundia manati mipira bora kabisa inatafuta mjasiriamali. Acha kutumia iliyotumika kwanza ni hatari kiafya. Hizi hapa tekenya zimeisha muda wake badala ya kuzichoma hebu tufanye upcycle.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Hoteli za Pilipili- Zanzibar anatafutwa kwa kosa la Udanyifu Poland

    Raia wa Poland, Wojciech Zabinski, mmiliki wa hoteli za Pili Pili Zanzibar, anadaiwa kutafutwa nchini Poland kwa kosa la udanganyifu. Inadaiwa aliendesha shughuli zake za ulaghai Zanzibar kwa kutoa ahadi za mapumziko ya kifahari kwa raia wa Poland, ambazo ni za uongo Mamlaka za ndani zimedai...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Said Jamal Athumani anatafutwa

    Ndugu zangu: Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Huyu ndugu anayetafutwa asili yake ni Zanzibar, Baba yake mzazi alishafariki. Lakini amekulia Dar es salaam. Ana mjomba wake maeneo ya Kinondoni. Mjomba wake by 2020 alikuwa ni Dr. Hapo maeneo ya Kinondoni. Said Jamal ATHUMANI katika maisha...
  8. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Prosper Mnjari adaiwa kupotea baada ya kuchukuliwa Agosti 2 na watu waliojitambulisha TANESCO

    Anaitwa Prosper Theonas Mnjari, anatafutwa alichukuliwa nyumbani kwake Chamazi Mbagala tarehe 2/8/2024 saa 5 asubuhi na watu waliojitambulisha Tanesco, toka walivyo mchukua simu ilizimwa haipatikani na hajaonekana, niwaombeni ukimuona au kuwa na Taarifa zozote kumuhusu tafadhali wasiliana na...
  9. kihongwe11

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi computer aliyeko Mbagala

    Nahitaji fundi computer aje anisaidie kurepair window 10 maeneo ya mbagala sabasaba kwa mpili
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single Mother anatafutwa

    Wasaalam. Kutokana na pigo nililopigwa Leo! Nimebadilisha msimamo. Natafuta mwanamke angalu mwenye mtoto mmoja wasizidi wawili. Hope huyu atakuwa ashapigwa matukio ya kutosha! Na Mimi pia. Utakuwa ni mwanzo wa kupeana pole, Na kuyasahau ya nyuma. Single mothers karibu DM tuyajenge! Ukiwa...
  11. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa wizi wa Carbon ya dhahabu

    Naomba msaada Huyu mtu kaiba mali ya kutosha Plant. Carbon zenye Dhahabu atakayemuona naomba tuwasiliane 0744419100 Kuna zawadi nono itatolewa. Sehem Carbon zimeibiwa na Majengo, sangambi chunya Mbeya. NB; NIMEIKUTA KWENYE MTANDAO WA X
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mke mwenye vigezo hivi

    Rej:- Natafuta MKE. Vigezo/ Mwembamba kiasi/mrefu kiasi/rangi yoyote. Mkristo na awe ametokea familia ya kikristo. Elimu yoyote. Awe anafanya kazi. Umri/24-29 Kabila lolote. Asiwe na mtoto. Mimi sasa. Elimu/diploma Kazi/ nimeajiriwa Umri/30 Naishi/ Dar Dini/ mkristo Mungu awabariki wote.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mfamasia anatafutwa, awe amesajiliwa na baraza la wafamasia

    Pharmacist anatafutwa. Requirements: Awe na cheti kilichosajiliwa na baraza la wafamasia Location: Dar es salaam Payment: 800,000Tsh Contact: 0782121208
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ikitokea ajali tunaambiwa dereva ametoroka na anatafutwa, kwanini mkiwapata hamtuambii?

    Yaan hizi taarifa nikisiaga nafungaga simu. Sijawahi sikia dreva anasababisha vifo amekamatwa. Nasikiaga tu dreva anatafutwa. Ushauri mkiwapata mtuoneshe pia amekamatwa hasa hawa wanaobeba wasomali na waethiopia, unasikia dreva amekimbia na watu waliokuwepo. Wakipatikana mtujuze basi.
  15. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba misimu 3 makocha 7 anatafutwa kocha wa 8, mna uhakika kuwa shida yenu ni makocha?

    Hii sio afya kwa mafanikio ya wenzetu mbumbumbu, muda mwingine inabidi kuwapa ushauri tu ambao mnaweza kuchukua ama kuuacha ikiwapendeza kwa maana akuna Yanga Bora bila Simba imara na akuna Simba Bora bila yanga imara! Aiwezekani makocha ndio wawe mbuzi wa kafara Kila mara pindi mambo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Pharmacist anatafutwa, awe na cheti kilichosajiliwa na Baraza la Wafamasia

    Natafuta Pharmacist Requirement: awe na cheti kilichosajiliwa na baraza la wafamasia Location: Dar es salaam Payment: 600,000Tsh Contact: 0782121208
  17. M

    JamiiForums Tanzania Pharmacist anatafutwa

    pharmacist anatafutwa Requirements: awe na cheti kilichosajiliwa na baraza la wafamasia Location: Dar es salaam Payment: 600,000Tsh Contact: 0782121208
  18. neggirl

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/4/2024)

    Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/4/2024) 🔹 Awe amemaliza kidato cha 4 au zaidi. 🔸ANAEJUA HESABU. 🔹Umri miaka 25 au zaidi. 🔸AWE ANAISHI MADALE, WAZO, KULANGWA, TEGETA au maeneo mengine jirani. MWENYE UZOEFU ATAPEWA KIPAUMBELE...
  19. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anatafutwa, awe anajiheshimu

    Natafuta dada au mama yeyote awe na watoto au la. Awe anajiheshimu na kujua majukumu ya kumtunza mme. Umri wowote mpaka miaka 35. Awe anajiweza kiuchumi sitaki wakuja kulialia bila kuchangia maendeleo ya maisha Yetu. Asiwe mshirikina, awe nahofu ya Mungu. Mimi ni kati ya .wafanya biashara...
  20. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa Mwalimu wa Tuition

    Anatatafutwa mwalimu kwa ajili ya kufundisha katika 'Tuition Centre'. Sifa 1. Elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea. 2. Kidato cha sita awe amesoma PCM na atafundisha masomo ya Physics, Mathematics na Chemistry. 3. Mwalimu awe mkazi wa Dar es Salaam, kwa sababu Centre ipo maeneo ya...
Back
Top Bottom