Nato anatafutwa aingie kwenye mfumo

Nato anatafutwa aingie kwenye mfumo

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,689
Reaction score
7,850

Drone strikes residential building in Romania (VIDEO)​

Romania’s Defense Ministry claimed that the UAV which injured two people in the city of Galati came from Russia

Drone strikes residential building in Romania (VIDEO)

A residential building damaged by a drone strike in Galati, Romania, May 29, 2026. © ISU Galati
A drone crashed into an apartment block in eastern Romania near the Ukrainian border on Friday, injuring two people, emergency services said.

According to the regional emergency services department, a drone carrying explosives struck the 10th floor of the building, sparking a fire. Around 70 residents were evacuated.

Catalin Sion, a spokesman for the Galati emergency services, said two people were hospitalized with minor injuries, while two others were treated for panic attacks.

Firefighters, police officers, and a bomb squad are working at the scene.

A video posted on social media purports to show the moment of the strike
 
Putin kadai tekniki iliyotumika kurusha hiyo drone haina tofauti na tekniki za Ukraine na hivi karibuni imeonekana kwenye vita vya Iran,anamaanisha kuna mbwa wanataka iingiza NATO mazima kwenye mgogoro wa Ukraine
 
Vita nyingine hii iliyochochewa na Marekani pamoja na wapuuzi wenzake wachache wa Ulaya. Hadi muda huu ni Marekani na wahuni wenzake ndiyo wamenufaika kwa kuwauzia silaha Ukraine ili wauane na majirani zao Urusi.
Kwamba urusi haonekani kabisa na plan yake ya kutaka kuirudisha ukraine kuwa sehem yake?
Tena ukraine washukuru sana bila hiyo kisaada ya silaha ukraine isingekuwepo leo
 
Kwamba urusi haonekani kabisa na plan yake ya kutaka kuirudisha ukraine kuwa sehem yake?
Tena ukraine washukuru sana bila hiyo kisaada ya silaha ukraine isingekuwepo leo
Russia anaamini Ukraine niyake, na kuwa karibu na NATO anaona inahatarisha usalama wake ( wao Russia hapa wanaelewa kwa undani zaidi kuliko sie tunao waza kwa sauti kubwa vichwani na mawazo yetu yanaweza kuwa sawa au sio sawa ). Mataifa makubwa yote kama yatakama jiongeza kihimaya sio USA , sio CHINA wote wale wale tu, ila tu wa wanapishana mbinu xa kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom