anatafutwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mke anatafutwa, awe anajiheshimu

    Natafuta dada au mama yeyote awe na watoto au la. Awe anajiheshimu na kujua majukumu ya kumtunza mme. Umri wowote mpaka miaka 35. Awe anajiweza kiuchumi sitaki wakuja kulialia bila kuchangia maendeleo ya maisha Yetu. Asiwe mshirikina, awe nahofu ya Mungu. Mimi ni kati ya .wafanya biashara...
  2. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa Mwalimu wa Tuition

    Anatatafutwa mwalimu kwa ajili ya kufundisha katika 'Tuition Centre'. Sifa 1. Elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea. 2. Kidato cha sita awe amesoma PCM na atafundisha masomo ya Physics, Mathematics na Chemistry. 3. Mwalimu awe mkazi wa Dar es Salaam, kwa sababu Centre ipo maeneo ya...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Bashe anatafutwa ajae kwenye mfumo, sijui kama atafika Pasaka

    Nakupa dokezo. Yote yaliyotokea wiki jana na yanayoendelea huku mkuu akiwa kimya, ni kwamba anayetafutwa ni Bashe. Makonda hatoi matamko dhidi ya Bashe kwa bahati mbaya. Kuna ligi ya siasa na magomvi yanayoendelea kule kwao. January walijaribu kumtafuta kwenye vikao vya kamati, ikashindikana...
  4. ejorisa

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa kuchat anatafutwa

    Habari zenu,naitwa epi Niko dar umri miaka 30 natafuta marafiki wa kuchat nao na kurelax akili yangu.angalizo naitaji marafiki tafadhali na cyo wapenzii ......Asante
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke awe Msukuma au Mhaya

    Wandugu baada ya miaka mingi ya kuzurula au niseme kuhama kambi moja kwenda nyingine, rasmi nimeamua kuoa. Nimeamua kuoa serious kabisa na sina utani hata kidogo! Makabila yote nayajua ila nimeamua kuchagua Msukuma. Kwa sasa sioi kwa sababu ya ngono, ila naoa kwa sababu ya maisha. Mwanamke...
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa binti mfanyakazi wa ndani

    Familia ya Dar es Salaam yenye kuthamini utu inatafuta mfanyakazi wa ndani wa kike mwenyewe umri mwisho miaka 22 kwaajili ya kazi za ndani. Mfanyakazi ataishi vizuri na dada mwenye nyumba kwani anathamini utu. Mfanyakazi azingatie haya awe mchamungu. Mawasiliano: WhatsApp 0623745875
  7. Josephat Sanga

    JamiiForums Tanzania Msaada: Binti kapotea Shinyanga, anatafutwa

  8. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kuuza duka la jumla

    Sifa za mwombaji 1. Kijana anayejituma 2. Anayejua kuandika na kusoma 3. Mkazi wa kigamboni 4. Atakayeweza kufanya kazi kwa siku sita za wiki 5. Mwenye mdhamini aliyemkazi wa kigamboni na awe na mali isiyohamishika 6. Mwenye kitambulisho cha NIDA TUWASILIANE HAPA KWANZA*
  9. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: DCI Kingai kaniandikia barua ya wito wa kuripoti ofisini kwake. Nipo nje ya nchi, wiki ijayo narudi kumkabili

    Baada ya mawakili Mwabukusi, Madeleka & Ruge Nshala, sasa ni zamu yangu. Leo DCI Kingai ametuma watu kuleta barua ya kuripoti ofisini kwake. Wamerudi nayo baada ya kujulishwa niko nje ya nchi. Nitarudi wiki ijayo kuwakabili. Madalali wa bandari zetu wasitutishe! Rais anayesaini mikataba ya...
  10. National Anthem

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

    NB Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu. Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza (life partner). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu. Sifa zake : Ajira: Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea Kipato: Jamaa ana kipato kizuri (daraja la kati) Elimu: Ana mawe...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene ahamishiwa Utumishi na Utawala Bora, Jenista arejeshwa Sera, Bunge na Uratibu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo: Amemteua Mhe. Jenista Joakim Mhagama (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Mhe. Mhagama anachukua nafasi ya Mhe. George Boniface...
  12. Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwanzilishi Wa Kikundi Cha Wagner Anatafutwa Na FBI, Dau Lawekwa Kwa Atakayempata

    Interesting. The FBI offers a 250K reward for the capture of Yevgeniy Viktorovich Prigozhin, founder of the Wagner Group. https://www.fbi.gov/wanted/counterintelligence/yevgeniy-viktorovich-prigozhin
  13. Wilson Gamba

    JamiiForums Tanzania ANATAFUTWA: Michael Juma anatafutwa na mwanae. Alikuwa askari magereza, mkazi wa Masasi na Mtwara mjini

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, huyu ndugu alikuwa askari magereza katika gereza la Musoma miaka ya 1980 na aliondoka Musoma mwaka 1983. Anatafutwa na kijana wake anaitwa Matiku alimzaa na mama mmoja anaitwa Monika mwenyeji wa Musoma Vijijini,alizaliwa miaka ya 1981.Kwa mujibu wa mama...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa PCB pre form one anatafutwa. Mwanza mkolani

    Uwe na uwezo wa kufundishaa yote matatu pre form one. Npigie kweny number 0683669735
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa English pre form one anatafutwa. Mwanza mkolani

    Mwalimu wa English pre form one anatafutwa. Piga namba 0683669735
  16. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mhudumu wa mgahawa

  17. Eswa

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa Semeni Bundala

    Habarini wanajamvi.?. Jana katika ziara ya kikazi kijiji cha Matanga - Kongwa Dodoma, nilikutana na huyu mama, katika maongezi yetu aliniomba kumsaidia kumtafuta binti yake anayeitwa SEMENI BUNDALA waliachana naye muda mrefu sana, baba wa mtoto anaitwa BUNDALA NDUNG'O MANYELE (Maarufu kama...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta watu wenye uzoefu katika kutengeneza beats

    Tunatafuta watu wenye uzoefu katika kutengeneza beats, kucheza solo guitar na bass, tutafanya kazi katika studio yetu kubwa iliyoko Mbuyuni Salasala. Kama kuna mtu unamfahamu ni-PM au 0621 014 638
  19. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa Mining Sorveyour haraka sana

    1. Nimepewa kazi ya kumtafuta mining Sorveyour mwenye uzoefu usio pongua miaka 2 akiwa kwenye mining industry. 2. Nikimpeleka mimi hatokua na usaili kwasababu ninaaminiwa na General Manager. 3. Atafanya kazi kwenye mgodi mdogo na mpya ambao ndio unaanza. 4. Mshahara hautopungua 1.5M...
  20. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ualimu wa Chemistry na Mathematics

    Natafuta mwalimu Fresh from school katika somo la Kemia na Mathematics (O-level) awe mbeya mjini na awe na utayari wa kufanya kazi bila kusukumwa na mwenye uwezo wa ku cope na wanafunzi wenye uwezo tofauti tofauti. MAWASILIANO: 0620257513
Back
Top Bottom