anatafutwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maji Chai

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa dada wa kusupply matunda maofisini

    Habarini ndugu zangu, kuna ndugu yangu anatafuta mdada ambaye atakuwa anamsaidia kusambaza matunda maofisini,ila awe anakaa Dar. Kwa mdada yeyote atakayekuwa yupo tayari awasiliane nae kupitia 0766281783
  2. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa msichana wa kazi - kuuza duka - anaeishi kwao mikocheni "A" karibu na "Palm village" mwendo wa kutembea

    Msichana wa kwa ajili aje auze Duka la makasha ya simu na charger nk. Awe anaishi kwao umbali wa kutembea tu karibu na pale PALM VILLAGE Mikocheni A ili mambo ya nauli yasiwepo. Malipo kwa mwezi ni shs.100,000/- (laki moja Tu) kwa kuanzia. contact 0628501029 Asanteni.
  3. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Peter Mwakatundu, nakutafuta rafiki

    Wakuu habari za mida hii, Naomba kwenda kwenye maada tajwa hapo juu: Namtafuta mtu huyu kwa Jina lake halisi ni Peter Mwakatundu nimepotezana nae miaka kadhaa nyuma, kwa kumbukumbu ya machache ninayokumbuka. Tuliwahi abudu pamoja nae kwenye kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), pale...
Back
Top Bottom