anahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Anahitajika kijana wa Car wash haraka

    Anahitajika kijana wa Car wash haraka, Mwenye uzoefu na mwaninifu.
  2. N

    Dereva bajaji ya mkataba anahitajika

    Dereva bajaji kwa mkataba anahitajika 1.Awe anaishi na kufanyia route Kigamboni 2.Awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu 3.Awe na leseni 4.Awe anafanya bolt 5.Awe mchapakazi na mwaminifu Mawasiliano:0757208745/0617984818
  3. D

    Anahitajika Gynaecologists mzuri Jijini Dar

    Habari ya asubuhi wadau. Tafadhali nahitaji msaada wa kufahamu wapi ninapoweza kupata Daktari bingwa mzuri wa magonjwa ya wanawake (Gynaecologists) , either ana hospitali binafsi , Polyclinic au anahudumu katika hospitali binafsi au serikali. Nikipata Jina au hata mawasiliano yake nitashukuru...
  4. P

    Kinyozi wa saluni ya kiume anahitajika Kigamboni

    Habari. Natafuta kinyozi wa saluni ya kiume ambaye atakua pia msimamizi iliyopo Kigamboni Geza ambaye tutalipana kwa mtindo wa hesabu. Aliye tayari na mwaminifu anicheki inbox.
  5. Mtaalamu wa masuala ya computer science na software engineering anahitajika

    Hey Wana JF Nina uhitaji wa mtu mwenye ujuzi wa computer science na software engineering. Awe na weledi katika masuala haya. Blogs, Apps, Logos designs, Wallpapers, Photography, Broadcasting Network. Muhusika mwenye sifa tajwa na mwenye utayari, naomba aje PM. kwa mawasiliano zaidi. .....
  6. IT Intern Arusha anahitajika

    Fursa hiyo
  7. Mfanyakazi anahitajika alie Karibu na Kimara/Morogoro Road Mshahara 150k

    Kijana wa kike/kiume Umri kuanzia Miaka 20 na Kuendelea. Uwe na elimu walau Form 4 na Kuendelea Ujue Kusoma na Kuandika na Kuhesabu (hesabu za Jumlisha na Kutoa zipande haswa) Muda wa Kuingia kazini : 12:50 asubuhi,means saa 1 kamili igonge upo kazini) Muda wa Kutoka kazini : 3:50...
  8. Anahitajika muwekezaji au mnunuzi wa mgodi wenye riport zote za exploration upo Geita

    Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji muwekezaji au mnunuzi WA mgodi, mgodi huu umefanyiwa drilling hivyo sample na majibu ya sample vyote vipo. Alie na connection anitafute DM
  9. Mtaalamu wa virus kwa computer anahitajika

    Wakuu virus hapana aisee mpaka sasa nimetumia 30000 ila bado an kuna huyu anaitwa KASPERSKY aisee anaficha file zangu hapa.. Anaficha file ambazo ukiweka tu flash hayaonekani mpaka u search. Hatua ya kwanza niliyofanya nilipiga window ila wapi.. Nipo katika hatu ya pili hapa ya kudownload ant...
  10. Web developer anahitajika

    Web developer anahitajika, awe na uwezo wa kudevelop Web yenye uwezo mkubwa na muonekano mzuri from the scratch. Njoo dm kwa maelekezo zaidi
  11. Mfanyakazi wa Ndani Anahitajika

    Habari wakuu, Nahitaji mfanyakazi wa ndani. Sehemu ya kazi; Bunju A - Dar es Salaam Mwenye kuweza kuniunganisha au kunipatia, nitashukuru sana. Number ya mawasiliano - 0767836872. Asante.
  12. S

    Nahitaji mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano

    Mimi ni Me 40yrs, nahitaji mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano awe anapatikana Rukwa Sumbawanga. Karibu PM
  13. Accountant mwenye CPA Anahitajika

    Wakuu bado tunahitaji Accountant mwenye CPA, Mawasiliano yetu ni hrfbde@gmail.com
  14. Accountant mwenye CPA, Aliyepo Dar anahitajika

    Habari zenu Wakuu, Accountant mwenye CPA anahitajika, Usahili ni Jumatatu tar 11 August 2025. Tuma CV yako hrfbde@gmail.com
  15. HR aliyepo Dodoma anahitajika

    Habari zenu Wakuu. Anahitajika HR aliyepo dodoma, mwenye uzoefu wa kufanya kazi Kiwandani. Tuma CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com
  16. V

    Anahitajika mhudumu wa huduma za uwakala

    Habari wanajamvi anahitajika mhudumu mwenye uzoefu wa huduma za uwakala wa simu na benki sharti awe na mdhamini na anaishi dar es salaam maeneo ya kibamba Mwenye kukidhi vigezo aje pm
  17. Anahitajika muhudumu wa ofisi mwanamke

    Habari ya jioni wakuu. Natoa tangazo hili kwa niaba ya kampuni inayomilikiwa na wageni wa kutoka China, inayojihusisha na huduma za utengenezaji magari iliyo na ofisi zake Mikocheni, industrial road jirani na TPDC. Anahitajika muhudumu wa ofisi kwa ajili ya kufanya majukumu yafuatayo: 1...
  18. (Re-advertised) Anahitajika Mwalimu

    Shule: Prime MIkocheni. Idadi: Walimu Watatu. Sifa: Degree ya Elimu mfano (Bachelor of arts with Education). Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 na 2025. Awe mkazi wa Dar es Salaam. Namna ya Kutuma: Andika jina lako, mwaka wa kuhitimu chuo, jinsia yako, mahali ulipozaliwa, na mahali unapoishi kwa...
  19. D

    Kinyozi anahitajika

    Habari. Nahitaji vijana wawili wanaojua kunyoa vizuri kwa ajili ya kazi eneo: Kigamboni. Kazi ni ya hesabu kwa wiki
  20. Dada wakazi anahitajika

    Habari wapendwa. Anahitajika Dada wa Kazi (nyumbani). Location: sinza. Mshahara : 70elf Kukaa kwa Boss Kama upo Dsm Nipigie 0627776134
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…