Dada wa kazi anahitajika Dar.

Dada wa kazi anahitajika Dar.

aisee... stranger tu unamuweka ndani umuachie nyumba pia akupikie ?

Mtaani huko umekosa ? Hata kijjn kwenu.... ukiuliza uliza kwa ndugu zako maeneo tofauti pia unaweza kupata....
Ndg kuna changamoto fulani wanakuwa nayo kadri muda unavyoenda wanasahau majukumu yao, hilo ndilo tatizo kubwa
 
aisee... stranger tu unamuweka ndani umuachie nyumba pia akupikie ?

Mtaani huko umekosa ? Hata kijjn kwenu.... ukiuliza uliza kwa ndugu zako maeneo tofauti pia unaweza kupata....
Inashangaza sana kwa dunia ya leo kuokota tu mtu baki jijini na kumkabidhi nyumba.
 
Back
Top Bottom