anahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Think2

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika

    Sifa zifuatazo Asiwe mfupi Umri kuanzia miaka 20-25 Dini awe Muislam Elimu angalau awe na D mbili kwenye cheti chake cha shule Kabila lolote
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji - mke anahitajika

    Rejea kichwa cha habari hapo juu. Mkurugenzi Mtendaji (mke na sio mwanamke) anahitajika. KITUO CHA KAZI: MBEYA MJINI Sifa za muombaji: 1. Awe na nia ya kazi anayoiomba sio kujaribu. 2. Umri miaka 25 hadi 33. 3. Asiwe na mtoto 4. Matured enough 5. Mwenye hofu ya Mungu 6. Aanzie elimu ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume asie na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

    Habari! Mimi pia nina changamoto ya hii.hivyo nimekuja hapa serious kama kuna mwanaume anauhakika anapito hili ambalo kiuhalisia linaumiza sana. lakini binafsi kisaikolojia nimepona nahitaji mwenza.nina miaka 41, nina degree.mume awe mcha Mungu,kiuchumi vizuri,.ndugu zangu ukiwa na changamoto...
  4. MKWANO

    JamiiForums Tanzania Anahitajika wakala wa pos/eftpos terminal

    Mwenye kujua alipo wakala wa kutoa hela iliyoko mtandaoni ( E MONEY CARD) tuwasiliane inbox au nipe location,awe mwanza,Arusha au Dar es Salam
  5. C

    JamiiForums Tanzania Msaada anaejua namna ya Kuandaa ndizi kwajili ya Export kwenda nje ya Nchi Nimuajiri anahitajika hata saivi

    Habari Ndugu Nina ndugu zangu waarabu wamepata tenda uko kwao ya kupeleka ndizi kwa maana ya export kwenda nje ya nchi za uarabuni na wamenieka mimi kuwa mtu kati yao niwasaidie na tunagawana percent ila sina ninachojua kwenye uandaaji na packaging ili zifike salama ninachojua ni ndizi...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi mlinzi anahitajika wa kike au kiume

    Anahitajika mfanyakazi kazi ya ulinzi awe wa kike au wa kiume. Eneo la kazi ni Iringa mjini , mshahara 150.000. Shift ni usiku. Mawasiliano 0699626644
  7. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Mtu wa IT anahitajika haraka

    Habari zenu wadau. Kuna nafasi mbili za watu wa IT wanahitajika haraka. Sifa: Wenye Bachelor au Diploma ya IT na uzoefu angalau mwaka mmoja. Nicheki WhatsApp namba: 0683535699
  8. U

    JamiiForums Tanzania Anahitajika dada wa kufanya kazi saloon Dodoma

    Anahitajika dada au mkaka wa saloon anaejua kusuka mitindo yote vizuri, kufanya Makeup, kushonea weavings, kubond n.k Kama Yupo tafadhali anichecki: Inbox Eneo la kazi ni Makulu. NB: Salon ni mpya hivyo anahitajika mtu ambae ana uzoefu na asiwe anakaa mbali sana.
  9. Tony Yeyo

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtaalam wa kuchambua siasa za kimataifa

    Wakuu habar zenu Nahitaji mtalamu wa kuchambua siasa na habari za kimataifa ili tufanye kazi katika Chaneli ya youtube , malipo ni makubaliano Sharti awe mkoa wa mbeya
  10. Koschei

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wakuoa kwa ambae yupo tayari tafadhari tuwasiliane

    Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35. Nina mtoto mmoja na nimfanya biashara wa mitumba. Napatikana Mwanza Ilemela, natafuta mke wakuoa kwa ambae yupo tayari tafadhari tuwasiliane DM ipo wazi. Umri wowote unaruhusiwa mradi uweserious
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Mgumba anayejielewa anahitajika awe na sifa hizi

    Habari wanaJF Kichwa kimejieleza hapo juu ni jambo serious kwa huyu ndugu yetu kwani siku zote ukweli humweka mtu huru na amethubutu kuniweka wazi. Ni mjomba wa miaka 36 lakini amejikuta anapitia changamoto nzito sana katika mahusiano yake kisa matatizo yake ya uzazi(ugumba). Mimi sio...
  12. Betason

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana wa kupaka kucha rangi

    Eneo la kazi ni kijichi mbagala kuu, malipo ni kwa siku baada ya makubaliano..kama upo tayari nichek pm kwa maelekezo zaidi
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mke anahitajika

    Wakuu hodi humu, Nimekuja na nia ya dhati kabisa kutaka Binti mmoja tu awe nami, sijali kuhusu elimu yake. Awe tu katulia, life is too short kumanga manga. Kama nia yako imenyooka karibu PM Iko wazi tuanzie hapo. Nawasilisha
  14. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Dating Website designer anahitajika

    Ninaye rafiki yangu ame download dating website templates sio app, sasa anahitaji mtu wa kumsadia kufanya installation maana tayari amesha sajili domain name na hosting ameshalipia. Just installing templates na kuweka majina. Pls njoo dm kama unaweza kazi hiyo uje na bei yako. Usije bila bei.
  15. BENEDICT ISEME

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Bachelor Pharmacist

    Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy Location: Dar es Salaam NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY SALARY : NJOO NA DAU LAKO Mawasiliano: 0767810030
  16. BENEDICT ISEME

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Bachelor Pharmacist

    Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy Location: Dar es Salaam NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY SALARY : NJOO NA DAU LAKO Mawasiliano: 0767810030
  17. BENEDICT ISEME

    JamiiForums Tanzania Pharmacist mwenye leseni anahitajika kusimamia Phamarcy

    Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy Location: Dar es Salaam NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY SALARY: NJOO NA DAU LAKO Mawasiliano: 0767810030
  18. Matata25

    JamiiForums Tanzania Secretary wa like anahitajika Mwanza

    Maconcept Enterprises Tunatangaza nafasi moja ya secretary mwenye sifa zifuatazo 1. Jinsia ya kike 2. Awe na umri usiozidi miaka 30 3. Awe uzoefu wa program mbalimbali za computer za designing 4. Awe anajua vizuri kiingereza na kiswahili 5. Awe mwaminifu na woga wa mali za watu 6. Elimu...
  19. Wasomba

    JamiiForums Tanzania Mke anahitajika miaka 35-45

    .,.,.,
  20. Kumi4

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu mwenye familia kusimamia mifugo (ng'ombe) Iringa, Malangali kijijini

    Wakuu habari za nyakati hii, nashukuru kwa mliojitokeza kwenye matangazo yangu ya awali ila kwa leo nina uhitaji na mtu wa kusimamia Ng'ombe mkoani Iringa, kijiji cha Malangali, nyumba ya kuishi ipo tayari na chakula kipo pia sharti tu awe ni mtu na familia yake ili wakifika wafanye makazi ya...
Back
Top Bottom