anahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. cocastic

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa masuala ya computer science na software engineering anahitajika

    Hey Wana JF Nina uhitaji wa mtu mwenye ujuzi wa computer science na software engineering. Awe na weledi katika masuala haya. Blogs, Apps, Logos designs, Wallpapers, Photography, Broadcasting Network. Muhusika mwenye sifa tajwa na mwenye utayari, naomba aje PM. kwa mawasiliano zaidi. .....
  2. Shobi

    JamiiForums Tanzania IT Intern Arusha anahitajika

    Fursa hiyo
  3. The bump

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi anahitajika alie Karibu na Kimara/Morogoro Road Mshahara 150k

    Kijana wa kike/kiume Umri kuanzia Miaka 20 na Kuendelea. Uwe na elimu walau Form 4 na Kuendelea Ujue Kusoma na Kuandika na Kuhesabu (hesabu za Jumlisha na Kutoa zipande haswa) Muda wa Kuingia kazini : 12:50 asubuhi,means saa 1 kamili igonge upo kazini) Muda wa Kutoka kazini : 3:50...
  4. Mwiba1

    JamiiForums Tanzania Anahitajika muwekezaji au mnunuzi wa mgodi wenye riport zote za exploration upo Geita

    Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji muwekezaji au mnunuzi WA mgodi, mgodi huu umefanyiwa drilling hivyo sample na majibu ya sample vyote vipo. Alie na connection anitafute DM
  5. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa virus kwa computer anahitajika

    Wakuu virus hapana aisee mpaka sasa nimetumia 30000 ila bado an kuna huyu anaitwa KASPERSKY aisee anaficha file zangu hapa.. Anaficha file ambazo ukiweka tu flash hayaonekani mpaka u search. Hatua ya kwanza niliyofanya nilipiga window ila wapi.. Nipo katika hatu ya pili hapa ya kudownload ant...
  6. DENLSON

    JamiiForums Tanzania Web developer anahitajika

    Web developer anahitajika, awe na uwezo wa kudevelop Web yenye uwezo mkubwa na muonekano mzuri from the scratch. Njoo dm kwa maelekezo zaidi
  7. Nkuba25

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Ndani Anahitajika

    Habari wakuu, Nahitaji mfanyakazi wa ndani. Sehemu ya kazi; Bunju A - Dar es Salaam Mwenye kuweza kuniunganisha au kunipatia, nitashukuru sana. Number ya mawasiliano - 0767836872. Asante.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano

    Mimi ni Me 40yrs, nahitaji mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano awe anapatikana Rukwa Sumbawanga. Karibu PM
  9. Keagan Paul

    JamiiForums Tanzania Accountant mwenye CPA Anahitajika

    Wakuu bado tunahitaji Accountant mwenye CPA, Mawasiliano yetu ni hrfbde@gmail.com
  10. Keagan Paul

    JamiiForums Tanzania Accountant mwenye CPA, Aliyepo Dar anahitajika

    Habari zenu Wakuu, Accountant mwenye CPA anahitajika, Usahili ni Jumatatu tar 11 August 2025. Tuma CV yako hrfbde@gmail.com
  11. Keagan Paul

    JamiiForums Tanzania HR aliyepo Dodoma anahitajika

    Habari zenu Wakuu. Anahitajika HR aliyepo dodoma, mwenye uzoefu wa kufanya kazi Kiwandani. Tuma CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com
  12. V

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mhudumu wa huduma za uwakala

    Habari wanajamvi anahitajika mhudumu mwenye uzoefu wa huduma za uwakala wa simu na benki sharti awe na mdhamini na anaishi dar es salaam maeneo ya kibamba Mwenye kukidhi vigezo aje pm
  13. Bexb

    JamiiForums Tanzania Anahitajika muhudumu wa ofisi mwanamke

    Habari ya jioni wakuu. Natoa tangazo hili kwa niaba ya kampuni inayomilikiwa na wageni wa kutoka China, inayojihusisha na huduma za utengenezaji magari iliyo na ofisi zake Mikocheni, industrial road jirani na TPDC. Anahitajika muhudumu wa ofisi kwa ajili ya kufanya majukumu yafuatayo: 1...
  14. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania (Re-advertised) Anahitajika Mwalimu

    Shule: Prime MIkocheni. Idadi: Walimu Watatu. Sifa: Degree ya Elimu mfano (Bachelor of arts with Education). Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 na 2025. Awe mkazi wa Dar es Salaam. Namna ya Kutuma: Andika jina lako, mwaka wa kuhitimu chuo, jinsia yako, mahali ulipozaliwa, na mahali unapoishi kwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kinyozi anahitajika

    Habari. Nahitaji vijana wawili wanaojua kunyoa vizuri kwa ajili ya kazi eneo: Kigamboni. Kazi ni ya hesabu kwa wiki
  16. James 25th

    JamiiForums Tanzania Dada wakazi anahitajika

    Habari wapendwa. Anahitajika Dada wa Kazi (nyumbani). Location: sinza. Mshahara : 70elf Kukaa kwa Boss Kama upo Dsm Nipigie 0627776134
  17. D

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Secretary (Karani) haraka

    AJIRA AJIRA AJIRA Aslaam Aleyku 🙏 Anahitajika Secretary (karani) Mwenye Sifa zifuatazo. Umri: Usizidi miaka 35 Ujuzi:Awe amesomea u secretary(u karani)Mwenye ujuzi wa computer vizuri. Jinsia: Mwanamke. Anapoishi Dar es salaam kwa maana Ofisi zipo Toangoma Dar es salaam hivyo awe karibu na...
  18. Isaack Newton

    JamiiForums Tanzania Mpiga picha nzuri anahitajika

    Habari, nahitaji mpiga picha mzuri aje ofisini kwetu kuwapiga picha staff wakiwa kwenye uniform .Hizo picha zinahitajika na ofisi zitumike kwenye marketing. Idadi ya picha ni nne tu Tupo mikocheni 0679464974
  19. S

    JamiiForums Tanzania law graduate

    Anahitajika kijana aliyemaliza degree ya SHERIA. Umri usiwe zaidi ya miaka 30 awe mkazi wa Arusha.
  20. D

    JamiiForums Tanzania Muuguzi (RN) anahitajika

    Anahitajika muuguzi (Registered Nurse). Eneo la kazi ni Dar es Salaam, Kiluvya Madukani (Madukani Dispensary). Maombi tuma kwa E-mail. jndasika3@gmail.com AU Whatsapp 07589181
Back
Top Bottom