Kinyozi anahitajika dodoma

Kinyozi anahitajika dodoma

Nevergive up

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2024
Posts
584
Reaction score
919
Kinyozi anahitajika dodoma akabidhiwe ofisi.kama uko interested nicheki PM
 
Kumbuka umeweka tangazo linaonwa nchi nzima na tangazo halijatosheleza hasa kinyoz atokee wapi,atakaa wapi,atalipwa au atakabidhi kipande,je kaz ni saloon ya kawaida au bbshop?
 
Weke kitu kilicho nyooka jamii ione hayo mambo ya dm ndio ukanjanja wenyewe
 
Kumbuka umeweka tangazo linaonwa nchi nzima na tangazo halijatosheleza hasa kinyoz atokee wapi,atakaa wapi,atalipwa au atakabidhi kipande,je kaz ni saloon ya kawaida au bbshop?
Mkuu nishatoa maelekezo.anahitajika dodoma.nimesema saloon yan ya kawaida .akipatikana ndo tutajua hayo mengine uliyouliza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom