Anahitajika Fundi Pikipiki Dar es salaam Kunduchi

Anahitajika Fundi Pikipiki Dar es salaam Kunduchi

wilson255

Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
7
Reaction score
8
Natafuta Fundi Pikipiki mwenye uzoefu, mwaminifu na mweledi wa kazi yake, ambaye yuko tayari kufanya kazi nasi.

📍 Eneo: Kunduchi Mtongani, Dar es Salaam

Mtu mwenye sifa hizo na ambaye yuko tayari kufanya kazi, tafadhali wasiliana nami kupitia:

📞 0657 736 223
📧 wilsonbernard255@gmail.com

Kwa mtu aliye tayari, tafadhali wasiliana nami ili tuzungumze zaidi kuhusu kazi, mazingira na utaratibu wa kazi.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom