We Mzee si huwa unatoa ajira kwa vijana, au unafanya tu udalali?Dahhh....
Nishaikosa nafasi tayari wallah....🙄
Sio mimi mkuu...🫤We Mzee si huwa unatoa ajira kwa vijana, au unafanya tu udalali?
We si una mashimo yako ya dhahabu huko Makongorosi, Chunya mkuu.Sio mimi mkuu...🫤
Sio mimi mkuu, zaidi ya kuwa kapuku mimi ndie mwana Jf ambae hajaweza kumiliki ndinga humi ndani...😜We si una mashimo yako ya dhahabu huko Makongorosi, Chunya mkuu.
Mkuu DM yako mbona kama imefungwaAnahitajika kijana wa kutunza shamba, awe na uzoefu kwenye kilimo na ufugaji. Eneo ni Mvuha Morogoro. Atapewa nyumba ya kulala na bima ya afya. Wasiliana nami DM
Nakuja PM kuomba kazi. Andaa kabisa maswali ya kuniuliza kabla hujanipa kazi...Sio mimi mkuu, zaidi ya kuwa kapuku mimi ndie mwana Jf ambae hajaweza kumiliki ndinga humi ndani...😜
Atakuwa akifanya kazi zipi ?Anahitajika kijana wa kutunza shamba, awe na uzoefu kwenye kilimo na ufugaji. Eneo ni Mvuha Morogoro. Atapewa nyumba ya kulala na bima ya afya. Wasiliana nami DM
Aisee!Nashukuru mkubwa wangu.Naomba uwe refa wangu.Huwezi jua.Naweza nikaanza kama shamba-boy halafu nikapata umilionea humohumo.Niombee dua njema tu.
Moisemusajiografii njoo mdogo wangu Kuna ajira hapa
Kwani umepoteza kalamu ya kuandikia maombi ya kazi?Dahhh....
Nishaikosa nafasi tayari wallah....🙄
MzaramooKwani umepoteza kalamu ya kuandikia maombi ya kazi?
Sema mgogo wa kisukuma.Mzaramoo