Wakenya mko rada?
The Ministry of Health imechukua hatua kali baada ya kubaini baadhi ya peanut butter brands zina aflatoxin levels hatari sana way above the safe limit ya 15ppb.
Brands zilizoathirika ni Nutie, Kismat, Pannaj na Muleka. Imagine, Nutie batch moja ilipatikana na 934ppb hii ni...