amefariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa Marekani Donald Trump amefariki?

    Wakuu Hivi mmepita huko X hivi karibuni Duru zinasema kuwa Donald Trump amefariki japo hakuna confirmation kutoka kwenye sources ambazo ni rasmi. Kwanza hajaonekana kwa siku takriban mbili na pia hii weekend yote hana any official meeting au schedule, kitu ambacho sio cha kawaida Lakini...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wazaramo walivyokuwa wanatafuta mchawi iwapo ndugu yao amefariki, na jinsi walivyomuadhibu

    NDAGU, KITALA NA ADHABU YA MCHAWI NDAGU maana yake ni ‘ramli'. Kwa desturi, baada ya kuondoa matanga, ndugu waliofiwa huenda kwa mganga wa ramli ili awajulishe sababu ya kifo kilichotokea. Ziko namna nyingi za ndagu, kwa mfano, ndagu ya kifo, ndagu ya ugonjwa, yaani ramli ya kubashiri maradhi...
  3. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania JamiiForums inafahamuje ikitokea mwanajukwaa amefariki na kumuwekea RIP?

    Naomba kufahamishwa kuhusu hili maana nimeona kuna baadhi ya members wenzetu, wamewekewa RIP kwenye profiles zao.
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika; Yule Shangazi aliyenihonga Shamba la heka 20 amefariki leo asubuhi.

    Hamjambo Wote! Leo nimepokea kwa Masikitiko makubwa Taarifa ya Msiba wa Aunt Dory, Moja ya Wamama ambao walikuwa wananikubali Sana enzi za uhai wake. Taarifa hiyo nilipoipata moja kwa moja ikanirudisha Mwaka 2015 nilipokuwa Udsm Mwaka wa Pili. Nikiwa na hekaheka, za ujana kukimbizana na kila...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia

    Mwanasimba mwenzetu na mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia. Muda mfupi uliopita nimeongea na mke wake amenithibitishia kuwa Eric hatunaye. Eric alikuwa shabiki na mpenzi mkubwa wa Simba na Liverpool ya England. BWANA ametoa na BWANa ametwaa jina lake lihimidiwe Amen
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha

    Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha. - Hulk Hogan alikuwa miongoni mwa nyota maarufu zaidi katika historia ya mieleka lakini pia alikuwa mmoja wa watu waliowagawa sana mashabiki. - Tukio lake la kumbwaga Andre the Giant litasalia katika...
  7. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa mshindi wa Quran 2024 amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16

    Inalilah waina ilahi rajiun Ibrahim sow kutoka Ivory coast. Aliekuwa mshindi wa Quran mwaka Jana pale uwanja wa mkapa amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16. ==== Mshindi wa Mashindano ya Quran Tukufu Ibrahim Sow raia wa Ivory Coast amefariki. Taarifa kutoka vyombo mbalimbali Nchini Ivory...
  8. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nyota wa Muziki Connie Francis aliyeimba "Pretty little baby" amefariki dunia

    Connie Francis, nyota wa muziki wa pop aliyejizolea umaarufu miaka ya 1950 na 1960 kwa nyimbo kama “Pretty Little Baby”, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 Taarifa za kifo chake zimetolewa na rafiki yake pamoja na msemaji wake, Ron Roberts, ingawa hakutoa maelezo zaidi mara moja Francis...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Zimamotto: Inasadikika mtoto mmoja Magomeni Kota DSM amefariki Dunia

    Leo hii majira ya saa 11 jioni katika Block Namba 4 ghorofa ya Saba, Kota za Magomeni Jijini Dar es Salaam imeungua moto ambao chanzo chake, kwa mujibu wa Jeshi la Polisi na Uokoaji Mkoa wa Kinondoni umetokana na mtoto kuchezea kiberiti. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Mdude Nyagali wanatia huruma. Haijulikani kama yupo hai au amefariki

    Inatia huruma sana
  11. ubongokid

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki Kampuni ya TOP Maasai Company Limited, Joram Lukumay amefariki Dunia

    Habari nilizopata Usiku huu ni kwamba Mmiliki na Mwanzilishi wa Kampuni ya TOP Maasai Company Limited Ndugu Joram Lukumay Amefariki Dunia. Bwana Lukumai alikuwa mfanyabiashara katika Sekta za Nishati na Sekta za Madini Mkoani Arusha. Mwenye taarifa zaidi naweza kutupa zaidi.Ila nimpe Pole...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania UPDATE yangu kuhusu Tetesi za Rais wa Rwanda Paul Kagame kuugua na kufa huko Munich Germany

    Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli Wafichuka, Albert Ojwang’ Alifikishwa Hospitali Akiwa Tayari Amefariki

    Video ya ulinzi (CCTV) iliyopatikana hivi punde imethibitisha kuwa Albert Ojwang’ alikuwa tayari amefariki wakati alipofikishwa katika Hospitali ya Mbagathi na maafisa wa polisi kutoka Kituo Kikuu cha Polisi, kinyume na kauli za awali zilizotolewa na polisi kwamba mwalimu huyo alikimbizwa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanadada Azra Ronaldo akutwa amefariki chumbani kwake

    Mwanadada anayefahamika kama Azra (Maarufu kama Ronaldo) amekutwa amefariki dunia ndani kwake kisarawe huku mwili wake ukiwa umevimba, tukio hilo limetokea leo Jumatano Juni 11, 2025 baada ya majirani kubaini harufu katika chumba chake. Mdau wa Michezo Seleman Kaniki ambaye alikuwa akimfahamu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kama nisingempeleka Ulaya kutibiwa mngesikia huyu Member JF amefariki. Mwenzie alisema amekuja kwangu Akhera

    Mara nyingi nimekuwa nikipenda waalika Mabalozi na diplomats nyumbani kwangu kwa vyakula either bfast,lunch au dinner. Nliona niwe nafanya hivi ili wasijisikie upweke na pia wawe wanapata lishe nzuri wailetee sifa Tanzania. Nligundua mabolozi na diplomats wengi pamoja na mawaziri. Hawapati...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God, Dkt. Immanuel Lazaro amefariki Dunia

    Tutaendelea,kuwapatia taarifa zaidi! TANZIA: Askofu Mkuu wa kwanza mstaafu wa Tanzania Assemblies Of God (TAG) Dkt.Emmanueli Lazaro amefariki Dunia Mei 17,2025 . Akitoa taarifa za kifo hicho Makamu Askofu Mkuu wa TAG, Magnus Mhiche amesema kuwa Hayati Dkt.Emmanuel Lazaro alifariki hapo jana...
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Msanii Carina , hajarogwa na mtu yeyote ila amefariki kifo cha kawaida.

    Msanii Carina , hajarogwa na mtu yeyote ila amefariki kifo cha kawaida.
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu

    Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu. Pia nyie wanawake mnaosema mtaendelea kuwakomesha Michopuko yetu kwa ulozi acheni Mara moja. Maana sio rahisi Mwanaume amuone Mwanamke Mrembo na amuache hivi hivi.
  19. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Double agent Oleg Gordievsky afariki akiwa na umri wa miaka 86

    Huyu bwana oleg Gordievsky alikuwa ni jasusi wa KGB aliyeifanyia kazi MI6 ya uingereza , amefariki tokea mwezi march halafu mimi hata sikukumbuka kufuatilia habari zake. (of course nilikuwa offline almost a 2 weeks ). Oleg Gordievsky, the long-standing KGB double agent who defected to...
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyakazi wa Azam Tv, Rahabu Fungo amefariki Dunia

    TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio. Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya...
Back
Top Bottom