amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Komeo Lachuma

    Ili tuishi kwa amani na furaha. Tupatieni majina ya Wachezaji wa Simba tuwazike na Mtujulishe wamefikia wapi kwa sasa

    Tayari uongozi umepitisha. Ijumaa tunaenda maliza match ya Mikia. Wallah wabillah hawa mikia hawatachukua Kombe. Labda siyo mimi Komeo la Chuma. Uongozi umetoa fungu la kutosha kufanikisha zoezi hili. Wachezaji wa Simba wazikwe. Yanatakiwa majina yao kamili na tarehe zao za kuzaliwa. Hii...
  2. Tajiri Tanzanite

    Serikali mmezailishwa na CAF,bora mtangaze mkutano wa kiserikali hiyo tar 25.05.2025 pale Amani Complex

    Hapo vip!! Niwazi yakwamba pamoja na jitahada za serikali na club ya Simba kuishawishi CAF match ipigiwe pale kwa Mkapa,eti CAF wamewaona serikali na club ya Simba ni wababaishaji wasiojielewa. Sasa ni bora serikali imwage ugali,itangaze pale Amani kuna mkutano wa kiserikali pale Amani...
  3. Z

    Tuwe makini kuna wimbi la wakenya wameingia nchini kwa lengo la kufanya uchochezi na fujo kwa lengo la kuharibu amani ya nchi yetu

    Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wawe makini na raia wa kigeni wanao ingia nchini katika kuelekea uchaguzi mkuu, wengi wao ni Wakenya ambao ni wazoefu wa kuhamasisha vurugu wapo wengi sana. Na baadhi yao ni wataalamu wa IT wanafuatiliwe kwa makini hadi chooni. TCRA kuweni macho, wadukuzi...
  4. Wakusoma 12

    Tetesi: Kenya imeamua kulivalia njuga suala la Lissu, wakenya walinusuru maisha yake na Sasa wanapambabia uhuru wake. Mungu hutumia wageni kuleta amani nyumba

    Wakuu si jambo la kushangaza kwa hiki kilichopo hapa nchini maandiko yanasema kuwa Mungu huwatumia watu wengine kuleta amani. Wakati taifa letu likiwa linapitia katika kipindi Cha majaribu makubwa ya haki, uongozi na utu jirani zetu Kenya wameonesha kuguswa na mateso yetu. Sina mambo mengi Hilo...
  5. Poppy Hatonn

    Siasa za vurugu zimepitwa na wakati, Watanzania tudumishe amani

    Leo ni siku nyingine tena ambayo kesi ya Lissu itatajwa mahakamani. Ni matumaini yetu wote kwamba amani itatawala. Amani tu ndiyo inayoweza kutusaidia. Haki zote tunazidai, mabadiliko tunayoyatafuta, tusifanye vurugu . Be still, and know God. Kama unataka kumsikia Mungu lazima utuliie.
  6. Crocodiletooth

    Hakuna kitu cha maana hapa duniani kama kutafuta amani na Furaha yako!

    Mengine mengi ni upuuzi mtupu, muda wetu hapa duniani ni mfupi sana, jipiganie upate amani, Furaha, na vichache kwa ajili ya vijana wako kwa hapo baadae ispokuwa wape vijana elimu kweli maana ndiyo msaada wao mkubwa sana, mali zitapita, majumba yatapita, magari yatapita lakini uzao bora wenye...
  7. M

    Askofu Kassala: Hameni kwa amani, na muendako nendeni kwa amani

    Askofu wa Jimbo la Geita katika hitimisho la Ibada ametoa kauli nzito ya kufikirisha na kuzingatiwa na wanasiasa wanaohama vyama kwenda kwingine. Ombi na ushauri wa baba huyu wa kiroho ni kwamba wanaohama vyama kama CHADEMA wahame kwa amani na wanakoenda waende kwa amani. Ni kauli iliyobeba...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla (CCM): Mzee Wasira hajakata moto, hana jambo lolote ni ratiba tu ya mapumziko

    Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Masato Wasira.
  9. Tlaatlaah

    Jinamizi la G55 laitesa na kuikosesha chadema amani

    Jinamizi la kutoaminiana kwa viongozi waandamizi ndani ya chadema latanda na kuwatia hofu, kiwewe na mashaka viongozi wote waandamizi, wanachama na mashabiki wa chama hicho nchi, na wasijue cha kufanya dhidi ya kinachotokea zaidi ya kuropoka tu. Haijulikani anaefuata kujiondoa chadema anatoka...
  10. Ojuolegbha

    Tanzania na Finland kuimarisha Ushirikiano katika Usimamizi wa Amani na Usuluhishi wa migogoro

    Tanzania na Finland kuimarisha Ushirikiano katika Usimamizi wa Amani na Usuluhishi wa migogoro Rais wa Jamhuri ya Finland, Mhe. Alexander Stubb amesema Serikali ya Finland itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania ili kuhakikisha juhudi za pamoja zinatekelezwa katika usimamizi wa amani na...
  11. D

    TFF ongeeni na bodi ya uwanja Zanzibar mtoe taarifa kwamba uwanja wa amani upo kwenye marekebisho mtume CAF

    Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho. Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana. Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika...
  12. third eye chakra

    Hekima Haitafuti mahakama bali hutafuta mazungumzo kwa njia ya Amani

    Hekima: Msingi wa Maisha Yenye Amani na Ustawi Katika safari ya maisha, hekima ni nyenzo muhimu inayoweza kuleta utulivu, maendeleo, na mafanikio. Dunia yetu inakabiliwa na changamoto nyingi—migogoro ya kifamilia, kisiasa, kijamii, na hata kidini. Lakini je, tunatafuta suluhisho sahihi kwa...
  13. Right Marker

    Epuka mihemko ya kijinga ili kulinda amani ya nchi yako

    UZI MAALUM Ikiwa taifa lolote litaingia kwenye machafuko (vita au mapigano ya wenyewe kwa wenyewe) kwasababu ya siasa, dini, makabila, n.k - yafuatayo ni baadhi ya matokeo ambayo yanaliandama taifa lililoingia kwenye machafuko. Kabla sijaorodhesha matokeo hayo kwanza rejea mataifa ya Afrika...
  14. U

    Amani itapatikana Mashariki ya Kati kwa Wapalestina kukiri Israel ni Familia teule, takatifu yenye baraka zote za Mungu wao aliye wa kweli

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa ndugu zetu Wapalestina na waarabu kwa ujumla wao Njia pekee ya kumaliza vita Mashariki ya kati na kuishi kwa amani ni kutambua na kukubali kuwa Mayahudi ni taifa teule lenye baraka zote za Mungu Watambue kuwa kushindana na wsteule hao...
  15. DELETED ACCOUNT

    Kiongozi wa Yanga atishia kuvuruga amani na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    Nimesikiliza kwa umakini maelezo ya wanaoitwa viongozi wa Baraza la Wazee na wa matawi ya Yanga. Bila kusema mengi, kuna huyu jamaa mmoja ambaye sijamfahamu jina ila nadhani ni mmoja wa viongozi wa matawi alisema maneno yafuatayo "Sisi ni klabu kubwa, na ukubwa wetu unaakisi katika kila angle...
  16. Pascal Mayalla

    Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

    Wanabodi Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/tumpongeze-rais-samia-sambamba-na-wanahabari-ila-tukaze-uzi-5030938 Tarehe 3 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa wiki nzima, iliyopita, nimekuwa jijini Arusha kwenye hoteli...
  17. M

    PreGE2025 Video: Watoto hawa wa shule gani? Kwanini waingizwe kwenye siasa?

    Hawa wa shule gani?
  18. Tman900

    Haki na Amani

    Haki na Amani. Wanasiasa wa Africa, au Tanzania malazote Kwenye majukwaa utakuta wanazungumzia tudumishe Amani. Swali Huwa najiuliza, Mbona awazungumzii swala la Haki na Usawa, Maana Palipo Na Haki Amani utamalaki pia Haki ni ngao kubwa ya Amani, Kwa Nini Amani Imekua kama kichaka cha...
  19. Pascal Mayalla

    Amani ya Nchi:Mhimili wa Serikali, Bunge, Mahakama Kimya! Mhimili wa 4 The Media Hatunyamazi, Leo Saa 3:30 Angalia Star TV, Usikose!

    Wanabodi Kuna hali tete fulani ya amani na usalama nchini, mihimili 3 ya Serikali, Bunge na Mahakama, hawawezi kuzungumzia, sisi Media ambao ni mhimili wa 4 usio rasmi, tunuweza kuzungumzia jambo lolote ambalo serikali hawawezi, Bunge haliwezi, na mahakama haiwezi. Moja ya jambo hilo ni hili...
  20. ChoiceVariable

    PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

    Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga. Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini. Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari. Niite wito...
Back
Top Bottom