amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Nkobe

    Israel kagusa mzizi, muda si mrefu mashariki ya kati itapata amani ya Muda mrefu, uenda kizazi chetu kisione tena machafuko

    Iko wazi kuwa Iran ndie sponsor mkubwa wa vikundi vya kupambana na Israel huko Mashariki ya kati, Iran ndie supplier mkubwa wa silaha kwa Hamas, Hezbollah na Houthi. Katika safari ya vita ya Israel, alianza kupambana na matawi kwanza (makundi ya kigaidi) kabla ya kuhamia kwenye sponsor wao...
  2. Bwege2030

    Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili

    Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili** Salamu zangu kwenu nyote! Leo, nimefurahi sana kushiriki na nyie mawazo yangu kuhusu somo muhimu sana: jinsi ya kujilinda na kuepuka athari mbaya za wivu, chuki, ubaya, na ukatili katika maisha yetu. Katika...
  3. Chifu mkuu

    Sheikh Kassim Mafuta awaasa Waislamu kuilinda amani ya Nchi

    Sheikh Kassim Mafuta awaasa waislamu kuilinda amani ya nchi. Waislamu nchini wameaswa kuilinda amani ya nchi na kuwakataa wale wote wanaohamasisha fikra za uvunjifu wa amani kwa sababu na visingizio vyovyote sawasawa watu hao watakuwa viongozi wa dini au viongozi wa kisiasa. Hayo yamebainishwa...
  4. mshale21

    Oktoba linda kura ni kauli mbiu inayoashiria uchochezi na uvunjifu wa amani wakati wa uchaguzi, waliotoa kauli hii wadhibitiwe haraka

    Ni wazi kabisa ACT wazalendo walisaini maadili ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 mwezi October kuonesha kuwa walilidhia kanuni hizo, wanajua kanuni hizo ziliwaelekeza kuwaelimisha wafuasi wao kuwa hawataruhusiwa kuwa na simu eneo la uchaguzi wakat uchaguzi ukiendelea, pia wanajua wazi kuwa...
  5. E

    Kiuwezo Iran kazidiwa mbali sana na Israel Aache wananchi wake waishi kwa Amani

    Kama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi . Umeshindwa kujilinda lakini pia umeshindwa hata kushambulia ,na aibu zaidi wewe unategemea Drones za kizamani .
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Camillus Wambura: Jeshi la Polisi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi. "Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025...
  7. Just Pray

    PreGE2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani atishika na 'No reforms no election' asema jambo la msingi ni kulinda amani 'kuna vita huko duniani'

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mbunge wa Jimbo la Babati vijijini Daniel Sillo amewahakikishia Wananchi wa Jimbo Lake kuwa serikali itaendelea kuwasogezea huduma zote muhimu na wapinzani wasiotaka uchaguzi watajua wenyewe. Akizungumza kuelekea uchaguzi mkuu Sillo amesema jambo la msingi...
  8. Tlaatlaah

    PreGE2025 'No reform, no elections' ni sawa na kelele za chura kwenye maji ambazo hazimzuii mwenye kiu kunywa maji kwa uhuru, amani na uwazi

    Makelele na mayowe ya mitandaoni yaliyopambwa na dhana potofu ya no reform no elections, hayana faida wala athari zozote kwenye uhuru na haki za wananchi kukamilisha maandalizi ya mwisho ya kujiandikisha kupiga kura na hatimae kushiriki kikamilifu katika zoezi la uchaguzi mkuu wa kihistoria...
  9. funaku

    Amani ya bwana amani nawaachieni. Tunachopenda kukisikia kutoka kwa Maaskofu!

    Bila shaka hiki ndio tunachokipenda kusikia baada ya uchovu mkubwa wa kelele za kidunia.Mungu awabariki sana.
  10. M

    Haya ya kwa wasiokuwa waislam. Waislam watu wa amani sasa

    Kuna kanisa leo kutwa nzima wanapiga kwaya tu tena kwa kutumia sauti za nje. Wenyewe wapo majumbani lkn wameweka flush, licha ya leo.kuwa eid Waislam watu wa amani sana, maana uvumulivu kwa dini nyengine haupo
  11. Waufukweni

    Kanisa la KKKT Makete lamzawadia Rais Samia Tuzo ya Amani na Umoja

    Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia. Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na...
  12. M

    Shekhe wetu leo katika swala ya Idil Adh Ha amezungumzia Amani amani tu, akasema msiniulize swala la haki

    Leo kuna Shekhe wetu mmoja alisimama kutusulimiana ktk swala ya idil adh ha na kutwambia kwamba umechaguzi umekaribia na ameagizwa aje kutwambia swala la amani, kaongea mengi kuhusu umuhimu wa amani, amani amani amani, mwisho akasema msiniulize swala la haki, hapo msikiti mzima wakacheka...
  13. erasto Samwel

    HAKI ni Mama wa AMANI

    Viongozi wa dini mnao hamasisha Amani Mnashindwa nini kuhamasisha Haki. Haki ikitawala mambo Mengine yote yatafuata ikiwepo hiyo amani mnayoihamasisha. Kiongozi wa dini unaanzaje kuiona amani ukaicha haki. Siwaoni mkiichambua haki mnakimbilia kwenye amani tu. Kwani Amani chanzo chake ni nini...
  14. H

    Viongozi wa Dini Acheni Unafiki. Tanzania ina Amani Gani?

    Kiongozi yeyote wa dini anayesema eti tulinde amani tuliyo nayo, ni kiongozi mnafiki, mwongo, anayetumika na waovu. Kiongozi wa namna hiyo tumpuuze. Watu wanatekwa Watu wanauawa Watu wanapigwa, wanatiwa ulemavu wanatupwa maporini. Watu wanakamatwa wanapigwa na kuawitiwa. Halafu anatokea mtu...
  15. Pro Mwl

    AMANI IWE JUU YENU......NAOMBA KUELEWESHWA KUHUSU TOYOTA COROLLA FIELDER NA RUMION IPI NZURI ZAIDI BONGO, ULAJI WA MAFUTA, VIPURI NA UIMARA

    AMANI IWE JUU YENU......NAOMBA KUELEWESHWA KUHUSU TOYOTA COROLLA FIELDER NA RUMION IPI NZURI ZAIDI BONGO, ULAJI WA MAFUTA, VIPURI NA UIMARA
  16. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa ahimiza Waandishi wa Habari kuhamasisha Amani na Usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, ametoa wito kwa Waandishi wa habari kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuwaelimisha na kuwakumbusha Watanzania juu ya umuhimu wa tunu ya amani na usalama, ambayo ni urithi kutoka kwa waasisi wa taifa letu, Tanzania. Ametoa wito huo...
  17. P

    Ujumbe wangu kuhusu amani

    Mimi ni mwalimu, juzi kati nikiwa nafundisha kuhusu topic ya Promoting Peace” wanafunzi walikuwa na maswali mengi sana. Maswali yao yalikuwa ya kutaka kujua 1. kwa nini kuna nchi zipo vitani 2. kwa nini vita hutokea 3. Na ni namna gani vita uanza Mfumo wa ufundishaji wangu ni wa kuwafanya...
  18. W

    Pakistan na India waliishia wapi, kwanini wahindi wamekasirika Modi kukubali amani kwa ceasefire ?

    Nikiingia mitandaoni naona wahindi wengi wanalamlalamikia waziri mkuu kukubali amani yaishe kwa cease fire ambayo ilikuwa pendekezo la Trump.
  19. T

    Watanzania hatuna amani ni uoga tunadanganywa

    Watu wanafanya mambo ya hovyo kwa kisingizio ya kulinda amani na utulivu wa nchi. Najiuliza hiyo amani iko wapi kama tu ukitoa maoni unaanza kuwindwa, watu wakitekwa na kuuwawa polisi wanakaa kimya kwa kupumbaza watu uchunguzi unaendelea lakini mtu akisema ukweli polisi wanatumwa kwake kuzingira...
  20. Royal Son

    Watu wanaongoza kutokuwa na amani/furaha

    Watu Wanaoongoza Kukosa Amani 1. Wanasiasa Hasa wale wa upinzani, mara nyingi hukosa amani katika nchi nyingi za Afrika na zile zinazoongozwa kwa misingi ya kidikteta. Wanakumbwa na ukandamizaji, vitisho, na hata vifungo kwa sababu ya msimamo wao wa kisiasa. 2. Wakosoaji wa Serikali Watu...
Back
Top Bottom