ama

Āma was a medieval Indian king who ruled the Kingdom of Kannauj and surrounding areas during the 8th and the 9th centuries. According to the Jain chronicles, he was the son and successor of Yashovarman.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna connection kubwa kati ya polisi na wezi ama matapeli

    Sometimes unaweza kusema tofauti yao ni uniform tuu Mwaka 2005 vibaka/wezi waliruka ukuta wakavunja mlango wakaiba jikoni na sebuleni kisha wakaenda kufanya karamu kwenye gari Kulipokucha nikaenda police kuripoti, baada ya mahojiano askari akanijulisha kuwa wezi wangu wanatoka eneo fulani...
  2. JamiiForums Tanzania Furaha isiyo na raha..! Ama raha isiyo na furaha..hakuna ladha!

    Madomo zege hawawezagi kutongoza wao hutumia kumwaga pesa na kuonesha mikogo ya kila aina.. Ufahari usio kipimo chap Domo zege yuko tayari kunuka madeni ili aoneshe uwezo na ukwasi.. Bingwa wa kukopa mgumu kulipa Ukitaka kuona hasira take muite domo zege kibamia Kitandani hamna kitu pia.. Vile...
  3. JamiiForums Tanzania Generali Ulimwengu: "Kama hupati take home ya 6m au 7m na ukataka kuendesha gari lako dsm, kuna mawili, labda we ni mwizi ama mtumwa"

    Hii code ya mtumwa amemaanishi nini?
  4. JamiiForums Tanzania Kipi bora Truck Mechanics ama Electronics

    Shalom, Kati ya Truck Mechanics (ass job) na Electronics ipi bora kwa ngazi ya VETA? Na ipi inaweza kuwa na muendelezo mzuri hadi kufikia levels za juu? (Specialisation sio lazima diploma ama degree) Na inawezekana kuhama kutoka Chuo kimoja cha VETA kwenda kingine kwa kozi tofauti? Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Angalieni wenzenu wanavoadamana vizuri, ama nyie hampendi maadamano kama haya

    https://www.tiktok.com/@brutofficiel/video/7579183083396533526 Tindo
  6. JamiiForums Tanzania Ama kweli maisha kuwahiana

    Umekaa zako tu hivi unawaza nikimtoa kafara mzazi vip, maisha yawe mepesi unasema hapana. Kumbe mzazi nae anawaza sina nguvu za kutafuta ndoto sijafikia.. ngoja niamakiza tu watoto unamaliziwa dadeki Mke kumbe hakundi anakumaliza anaolewa na mwingine daaaa ni noma. Sema Tanzania tunaenda...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Polisi msiuingie mtego wa kuzuia maandamano ya 9D ama kwa makusudi au kwa bahari mbaya.

    Wenzenu watakuwa nje ya nchi na familia zao wakiwaangalia kwenye TV, wakati ninyi mnapambana na raia ambao hata baada ya masaa ya kazi mnaenda kuishi nao huko mitaani. Mwenye masikio na asikie. Tarehe 9D siyo siku ya utani. Polisi atakayeliona onyo hili amtaarifu na mwenzie.
  8. S

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Je, mvua kunyesha wakati jua linawaka ni ishara ya kuwa simba anazaa? Ama uhalisia ukoje?

    Wakuu Nimekumbuka ile dhana ya muda mrefu kuwa mvua ikinyesha basi ni ishara kuwa simba anazaa huko porini. Je wewe ulisikia nini kuhusu jambo hilo? Na je uhalisia ni upi?
  9. JamiiForums Tanzania Tiktok, Twitter, VPN, P*rn Sites zafunguliwa rasmi Tz. Ama TCRA aliyekuwa night shift amejisahau?

    Nimeamka leo asubuhi VPN yangu ikawa imejizima nilipolala. Kabla sijaiwasha kwa bahati mbaya nikawa nimebonyeza notification moja ya Twitter. Heeeh, cha kushangaza ikafunguka, narudi nyuma na kurefresh TL yangu nashangaa kila kitu kinafanya kazi bila shida. Nikaingia Tiktok nako vilevile, kila...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wetu unakielewa ulichokiongea kuhusu Mange ama unataka kumfurahisha aliyekuteua?

    Nilimskiliza Mwanasheria wetu wa Serikali akiongea kuhusu Mange Kimambi kufanya jinai kwa kuhamasisha Maandamano, na akaendelea kwa kusema anafanya jitihada zozote hata za Kidiplomasia Mange arudishwe kujibu mashitaka. Ni aibu sana kwa mwanasheria msomi kuongea PUMBA kama hizi. Ninapata wasiwasi...
  11. JamiiForums Tanzania Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu

    Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu
  12. JamiiForums Tanzania Dunia imeisha! Stori ya mwanamke aliyetokea nchi ya Torenza ambayo haipo duniani

    Who is the Torenza Passport woman and why is the JFK Airport video going viral? Explained. A viral video showing a woman at JFK presenting a passport from the nonexistent country ‘Torenza’ has sparked theories of AI-generated misinformation. A bizarre video from John F Kennedy International...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…